Saturday , 27 April 2024

Michezo

Michezo

Michezo

Simba wamlilia Akilimali Yahya

  KLABU ya Simba imepata pigo baada ya kuondokewa na mchezaji wake wa zamani Akilimali Yahya kilichotokea usiku nwa kumkia leo katika Hospitali...

Michezo

Simba wapewa Wazambia kombe la Shirikisho

  KLABU ya soka ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imepangiwa kumenyana na kikosi cha Red Arrows ya kutoka nchini Zambia, kwenye...

Michezo

Haya ndio mafanikio ya Gomes ndani ya Simba

  MARA baada ya kuchukua nafasi ya Sven Vandebroeck tarehe 24, Januari 2021, na kuanza kazi ya kukikonoa kikosi cha Simba katika kipindi...

HabariMichezoTangulizi

Simba yamtimua Gomes, Hitimana arithi mikoba yake

  KLABU ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja mkataba na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Didier Gomes Da Rosa, mara...

MichezoTangulizi

Simba yatolewa kimataifa kwa aibu, kuhamia Kombe la Shirikisho

  SIMBA ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania imetolewa katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kipigo cha 3-1, katika Uwanja wake...

MichezoTangulizi

Geita waishiwa uvumilivu, wamtimua Ndayilagije

  Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na aliyekuwa kocha wa kikosi hiko Ettiene Ndayilagije,...

Michezo

Super Sunday: Vigogo Ulaya kutifuana

  NI sikukuu ya wapenda soka. Siku kubwa na yenye mvuto wa aina yake ulimwenguni. Ndivyo unaweza kuielezea leo Jumapili, tarehe 24 Oktoba...

Michezo

Mshindi Maalim Seif CUP apatikana

  TIMU kutoka Wete Kaskazini Pemba imenyakua ubingwa wa Kombe la Maalim Seif linalojulikana kama ‘Maalim Seif CUP’ katika fainali iliyochezwa jana tarehe...

KimataifaMichezo

Staa wa movi aua mwanamke kwa bunduki wakati wa kutengeneza filamu

  MWANAMKE  mmoja amefariki dunia huku mwanaume mmoja akijeruhiwa baada ya muigizaji Alec Baldwin kufyatua risasi kwa kutumia bunduki ya maigizo wakati wakiandaa...

MichezoTangulizi

Simba yazisomba tuzo za TFF, Yanga kiduchu

TIMU ya Simba ya jijini Dar es Salaam imejizoelea tuzo kibao za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) huku watani zao wakiambulia...

MichezoTangulizi

Bocco mchezaji bora ligi kuu, Fei Toto shirikisho, Chama…

JOHN Raphael Bocco, Nahodha wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba, ametwaa tuzo ya mchezaji bora (MVP) wa msimu 2020/21. Anaripoti...

Michezo

Diamond kuwania tuzo za MTV EMA

  KIOO wa Bongofleva, Naseeb Abdul maarufu kama Diamond platnumz amechaguliwa kuwania tuzo za MTV EMA, akiwa ni msanii pekee kutokea Afrika mashariki...

Michezo

Man United wapindua meza, Ronaldo balaa

  KLABU ya Manchester United ya Uingereza jana tarehe 20 Oktoba, 2021 imenusurika kuambulia kipigo dhidi ya Atalanta wa Italia baada ya kutoka...

Michezo

Newcastle yaachana na kocha wake

  Klabu ya soka ya Newcastle United ya nchini Uingeleza imeachana rasmi na aliekuwa kocha wake Steven Bruce, baada ya makubaliano ya pande...

Michezo

UEFA yapamba moto, Salah usipime

  MSHAMBULIAJI wa Liverpool ambaye pia ni raia wa Misri, Mohamed Salah amezidi kupamba moto kila panapokucha baada ya jana tarehe 19 Oktoba,...

Michezo

Yanga yaendelea kukusanya pointi, yaipiga KMC

  TIMU ya Yanga ya jijini Dar es Salaam, imeendelea kuonesha makucha yake katika ligi kuu NBC Tanzania Bara 2021/22, kwa kujikusanyia pointi...

Michezo

Kocha Yanga ang’aka kutumika wachezaji nane wa kigeni mchezo mmoja.

  KOCHA mkuu wa klabu ya Yanga, Mohmed Nabi ameonekana mbogo, kutokana na kanuni ya kutumia wachezaji nane wakigeni katika mchezo mmoja, kitu...

Michezo

Simba yaitisha mkutano mkuu

KLABU ya soka ya Simba kupitia bodi ya wakurugenzi, imeitisha mkutano mkuu wa mwaka ambao utafanyika Tarehe 21, Novemba 2021 kwenye ukumbi wa...

Michezo

TFF yawapa ahueni Biashara United

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limesongeza mbele mechi kati ya Tanzania Prisons dhida ya Biashara United iliyokuwa ichezwe kesho Jumanne...

Michezo

Mlinzi Yanga apata pigo

  BEKI wa kulia wa timu ya wananchi- Yanga SC. Paul Godfrey Nyang’anya maarufu kama ‘Boxer’ amepata pigo baada ya kuondokewa na baba...

Michezo

Samia awapa neno wanaohoji ziara zake nje, mikopo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema haendi nje ya nchi kucheza, bali anakwenda kutafuta fursa za maendeleo ya nchi. Anaripoti Mwandishi...

Michezo

Simba yatumia dakika 3 kuwaua Wabotswana

  DAKIKA tatu zimetosha kwa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba kuanza safari vyema ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika...

Michezo

Ligi Kuu bara kurejea leo, viwanja viwili kuwaka moto

  NBC PremierLeague inarejea leo Jumamosi tarehe 16 Oktoba, 2021 kwa michezo miwili kupigwa katika viwanja viwili tofauti. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Michezo

Kocha atoboa siri ya ushindi Biashara United

  KOCHA wa kikosi cha Biashara United, Moses Odhiambo amesema kuwa ubora wa wachezaji wake ndio siri kubwa ya kupata ushindi dhidi ya...

Michezo

Yanga yaibadilishia gia angani Azam FC

KLABU ya soka ya Yanga, imebadili gia angani kwa kurudisha mchezo wao dhidi ya Azam FC, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

Michezo

Simba ruksa mashabiki Klabu bigwa

  SHIRIKISHO la mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeruhusu klabu ya Simba kuingiaza mashabiki, kwenye mchezo wa klabu Bingwa Barani Afrika dhidi...

Michezo

Mugalu , Mhilu kuwakosa wa Botswana

  Washambuliaji wawili wa klabu ya soka ya Simba Chriss Mugalu na Yussuf Mhilu wanatarajiwa kuikosa Mechi Kati ya Simba na Jwaneg Galaxy...

Michezo

Mtibwa asitegemee mteremko Geita

TIMU ya Geita Gold imezipiga mkwara timu shiriki za Ligi Kuu Tanzania bara, kwamba zisitegemee mteremko kwa mechi zake zitakazochezwa uwanja wake wa...

Michezo

Wachezaji 13 kuwania tuzo Ligi Kuu 2020/21

  JUMLA ya wachezaji 13 wamechaguliwa kuwania tuzo mbalimbali za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mimu wa 2020/21, katika vipengele tofauti tofauti. Anaripoti...

Michezo

Bishara united mguu sawa kuwavaa walibya, kumkosa nahodha wao

  UONGOZI wa klabu ya Soka ya Biashara United kutoka mkoani Mara, umesema kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo wa kombe...

MichezoTangulizi

Manara kuifikisha Simba Mahakamani

  ALIYEKUWA Afisa Habari wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Simba, Haji Manara amepanga kuifikisha klabu hiyo mahakamani kwa kuwadai...

Michezo

Nyumba ya mchezaji wa Simba kupigwa mnada

  KAMPUNI ya udalali ya Greenlight kwa idhini ya Mahakama ya Mwanzo ya Wilaya ya Kinondoni kituo cha Ukonga, jijini Dar es Salaam,...

Michezo

Ushindi mabao 5 Ureno, Ronaldo aweka rekodi mpya

  NAHODHA wa Timu ya Taifa ya Ureno na Staa wa Manchester United Cristiano Ronaldo, ameweka rekodi mpya mara baada ya kupachika mabao...

Michezo

Yanga yapigwa faini ya milioni 11 na CAF

  KLABU ya Soka ya Yanga, imepigwa faini ya Dola za kimarekani 5,000 sawa na Sh. 11 milioni za kitanzania, na Shirikisho la...

Michezo

Dulla Mbabe ajiweka kando na masubwi

  BONDIA wa Tanzania, Abdallah Pazi maarufu kama ‘Dulla Mbabe’ ametangaza rasmi kujiweka kando na masuala ya masubwi mpaka mwakani hii. Anaripoti Damas...

HabariMichezo

Stars yakaa kileleni kundi J

TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imerejea tena kwenye usukani wa kundi J, katika harakati za kutafuta tiketi za kufuvu fainali za...

MichezoTangulizi

Tyson Fury amtwanga Wilder kwa mara ya pili, achota bilioni 23

  Bondia Tyson Fury kutoka Uingereza leo tarehe 10 Oktoba, 2021 amemtwanga kwa knock out katika raundi ya 11 bondia Deontay Wilder kutoka...

MichezoTangulizi

Twiga Stars yafanya kufuru COSAFA, Rais Samia aimwagia sifa

  TIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imenyakua ubingwa wa michuano ya nchi za ukanda wa kusini mwa Afrika (Cosafa)...

Michezo

Rashford atunukiwa tuzo ya Heshima na chuo kikuu

MSHAMBULIAJI wa klabu ya Manchester United Marcus Rashford, ametunukiwa tuzo ya juu ya Udokta wa heshima, iliyotolewa na Chuo Kikuu cha Manchester kutokana...

Michezo

 Newcastle yaupiga mwingi

  Klabu ya soka ya Newcastle ya nchini Uingereza jana Oktoba 7, 2021 imekamilisha dili la kuuza hisa zake katika kampuni la Saudi...

Michezo

Mauya achukua nafasi ya Mzamiru Stars, apaa kwenda Benin

KIUNGO mkabaji wa klabu ya Yanga, Zawadi Mauya amejmuishwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kilichosafiri kuelekea Benin mara...

MichezoTangulizi

Kipigo Stars. Kocha alia na Refa

MARA baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Benin kwa bao 1-0, kocha wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim...

Michezo

Twiga Stars yaichapa Zambia, yatinga fainali COSAFA

  TIMU ya soka ya wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imetinga fainali ya michuano ya COSAFA inayofanyika nchini Afrika Kusini. Anaripoti Damas Ndelema,...

Michezo

Mashabiki 10,000 kuiona Stars

   Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) limeruhusu mashabiki 10,000 kuingia uwanjani kwenye mchezo wa kufuzu fainali kombe la Dunia kesho...

MichezoTangulizi

NBC yatumia bilioni 2.5 kudhamini ligi kuu

  SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imeingia mkataba na Benki ya NBC wenye thamani ya Sh.2.5 bilioni bila Kodi ya Ongezeko la Thamani...

MichezoTangulizi

Utovu wa nidhamu wamuondoa Mkude kambini Stars

  KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude ameondolewa kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kutokana na matatizo ya...

Michezo

Kibwana Shomari aongezwa Stars achukua nafasi ya Kapombe

  BEKI wa kulia wa klabu ya Yanga, Kibwana Shomari ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kuchukua nafasi...

Michezo

Mwamnyeto, Kapombe hati hati kuivaa Benin

  KUELEKEA mchezo wa kufuzu kwa michuano ya Kombe la Dunia dhidi ya Benin mlinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Tanzania...

Michezo

Twiga Stars yatinga nusu fainali COSAFA

  TIMU ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania ‘’Twiga Stars’’ imeendeleza ubabe katika michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Ukanda...

Michezo

Mchezaji aliyeishiwa nguvu baada ya kufunga, arejea kambini

  CRISPIN Ngush, mchezaji wa Mbeya Kwanza nchini Tanzania, aliyefunga bao maridadi kisha kuishiwa nguvu na kupelekwa hospitalini, ameruhusiwa kurejea kambini kuungana na...

error: Content is protected !!