Michezo
KIPUTE cha Ligi Kuu Bara kimeendelea tena leo tarehe 3 Oktoba 2021 kwa mechi tatu kupigwa katika viwanja vitatu tofauti na kushuhudia timu...
By Kelvin MwaipunguOctober 3, 2021Nyota wa Atletico Madrid, Luis Suarez amezidi kumfungulia mlango wa kutokea Kocha Mkuu wa Barcelona, Ronald Koeman baada ya kuiongoza timu yake...
By Kelvin MwaipunguOctober 3, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa uraia mchezaji...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 69 na mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagera dhidi ya Dodoma Jiji limerejesha furaha kwa mabingwa hao watetezi wa...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021SAA chache kabla ya Simba ya Dar es Salaam, kushuka dimbani kuumana na Dodoma Jiji, aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021MWANAMITINDO na mzazi mwenza wa Staa wa Bongofleva, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Faima Msenga ‘Fahyma au Fahyvanny’ ameweka wazi kuwa hana matatizo na...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 24 na kiungo hodari wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’ limetosha kupeleka shangwe kwa mashabiki wao ndani...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021HATIMAYE Staa wa Bongofleva nchini, Ali Salehe Kiba maarufu kama Alikiba ametangaza kuachia albam yake ya tatu inayokwenda kwa jina la ‘The...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021Mshambuliaji wa mpya wa klabu ya PSG Raia wa Argentina Lionel Messi amefungua rasmi akauti ya mabao katika klabu yake hiyo, mara...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021Klabu ya soka ya Yanga leo 29 Septemba 2021, itanza kutupa karata yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MOHAMED Dewji, Mkurugenzi wa Bodi ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ametangaza kuachia nafasi hiyo na kumteua...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya Dar es Salaam, imeanza msimu mpya wa ligi kuu 2021/22 kwa droo dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021Beki wa kati wa klabu ya Simba Josh Onyango pamoja na kiungo wa mkabaji Sadio Kanoute wataukosa mchezo wa leo wa Ligi...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021Pazia la Ligi Kuu Tanzania Bara limefunguliwa rasmi hii leo Septemba 27, 2021 kwa kupigwa jumla ya michezo mitatu kwa kuchezwa michezo...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021EZEKIEL Kamwanga, amehitimisha safari ya mkataba wake wa miezi miwili ndani ya mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Satrs’ Kim Poulsen amewaitaka kambini wachezaji 25 wawiwemo Jonas Mkude na John Bocco....
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021ALIYEKUWA golikipa namba moja wa mabingwa wa kihistoria Yanga ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, Metacha Mnata amesajiliwa na maafande wa...
By Masalu ErastoSeptember 27, 2021KATIKA kuunga mkono agenda ya kusaidia matibabu ya Fistula kwa kina mama wasio na uwezo, wafanyakazi wa Benki ya Exim Tanzania hii...
By Mwandishi WetuSeptember 26, 2021ANTHONY Joshua (31), raia wa Uingereza amepoteza ubingwa wa dunia uzani wa juu kwa kutwanga na Oleksandr Usyk wa Ukraine. Anaripoti Damas...
By Masalu ErastoSeptember 26, 2021KLABU ya Soka ya Yanga wameibuka kidedea kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya watani wao Simba Sc na kubeba Ngao ya...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021MSANII wa Bongo Fleva, Rosary Robert maarufu ‘Rosa Ree’ amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake, King Petrousse ambaye alimtambulisha kwa mashabiki...
By Mwandishi WetuSeptember 25, 2021KLABU ya Simba ya Dar es Salaam imesaini mkataba wa miaka minne na Kampuni ya Africarrier Group inayohusika na usambazaji wa magari...
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021TIMU ya Mtibwa Sugar ya Morogoro nchini Tanzania, imemtambulisha Omog Joseph Marious (49), raia wa Cameroon kuwa kocha mkuu wa timu hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 25, 2021KITENDO cha msanii wa Bongofleva kutoka lebo Wasafi Classic Baby (WCB) na mwanzilishi wa lebo Next Level Music, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ kutangaza...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ametamba kuwa Yanga itakuwa tishio ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla kutokana na wachezaji wazuri...
By Masalu ErastoSeptember 24, 2021LIGI kuu ya Hispania maarufu kama ‘La liga Santander’ jana tarehe 22 Septemba imeendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali huku mshambuliaji wa...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021MICHUANO ya Carabao Cup inayoshirikisha timu za ligi kuu England na ligi za chini za nchini humo imezidi kupamba moto na kufikia...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021WAANDAAJI wa tuzo za Afrimma (Afrian Music Magazine Awards) wametoa orodha mpya ya wasanii watakaowania tuzo hizo kwa mwaka 2021 huku Tanzania...
By Masalu ErastoSeptember 23, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam imeipiga bao Simba kwa kuingiza mashabiki wengi viwanjani pamoja...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021MSANII wa Bongofleva, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize au Kondeboy amewaomba radhi mashabiki wake baada ya kubadili ratiba ya ‘tour’ (ziara) yake...
By Masalu ErastoSeptember 22, 2021KLABU ya soka ya Simba imeingia mkataba na kampuni ya Emirates Aluminium leo 21 septemba 2021 katika makao makuu ya Emirates Aluminium...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021MASHINDANO ya Ngoma za Jadi ‘Tulia Traditional Dances Festival’ yanayohusisha tamaduni kutoka mikoa mbalimbali yataanza Alhamisi hii tarehe 23 hadi 25 Septemba...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021JOTO la miamba ya soka nchini Tanzania maarufu Kariakoo Derby limeanza kushika kasi kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutangaza viingilio ambavyo...
By Masalu ErastoSeptember 21, 2021KLABU ya Yanga imerejea nchini usiku wa kuamkia leo ikitokea Nigeria ilikokwenda kupepetana na River United ikiwa ni mchezo wa marudiano wa...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021WAKATI fununu za aliyekuwa Kocha mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kwamba anarejea jangwani zikiendelea kushika kasi, kocha huyo amefunguka ujumbe mzito unaoashiria...
By Masalu ErastoSeptember 20, 2021KUELELEKEA kwenye tamasha la Simba maarufu kama ‘Simba Day’ kocha mkuu wa klabu hiyo, Didier Gomes amesema atacheza kwa heshima kubwa dhidi...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2021KIKOSI cha wachezaji 23 wa timu ya TP Mazembe ya Congo kinawasili nchini Tanzania leo Jumamosi, tarehe 18 Septemba 2021. Anaripoti Hunda...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021TIMU ya soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, itacheza na Jwaneng Galaxy FC ya Botswana katika michuano ya...
By Masalu ErastoSeptember 18, 2021KLABU ya soka ya Yanga leo imeingia makubaliano maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii kwa viwani Zanzibar na Mlima wa Kilimanjoro kupitia...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021UONGOZI wa Klabu ya Simba SC na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara ambao utakuwa na...
By Masalu ErastoSeptember 17, 2021KOCHA msaidizi wa Simba, Thiery Hitimana ameiomba radhi klabu ya Mtibwa sugar kwa kile kilichotokea baina yake na viongozi wa timu hiyo....
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021PAZIA la michuano ya Klabu Bingwa Ulaya limefunguliwa rasmi tarehe 14, 15 Septemba mwaka huu na kushuhudia mastaa namba moja duniani, Lionel...
By Masalu ErastoSeptember 16, 2021MSANII wa muziki nchini Tanzania, Diamond Platinum ametumia jukwaa la burudani kuwasisitiza wananchi wa Taifa hilo, kujiandaa kuandikishwa katika sensa ya watu...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021ALI Kiba, msanii wa muziki nchini Tanzania, ametumia takribani dakika tatu kutumbuiza mbele ya mamia ya wananchi wakiongozwa na Rais wa Taifa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwapambanisha manguli wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz na Alikiba ambao imekuwa nadra kukutana kuperfome katika jukwaa moja....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021HAJI Sunday Manara, Msemaji wa Mabingwa wa Kihistori wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam amesema, wema aliooneshwa na...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021TIMU ya Real Madrid imeitandika Celta Virgo mabao 5-2, jana tarehe 12 Septemba, 2021 kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu liliopo jijini Madrid Hispania....
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam wameanza vibaya safari ya michuano ya klabu bingwa Afrika...
By Kelvin MwaipunguSeptember 12, 2021