SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, ameitaka mamlaka ya Serikali Wilaya ya Chato mkoa wa Geita, kukamilisha haraka mchakato wa kuifanya Chato...
By Kelvin MwaipunguMarch 26, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, madaktari wanaomhudumia Suzana, mama mzazi wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, wataendelea...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021RAIS Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli (61), alikuwa...
By Mwandishi WetuMarch 26, 2021ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...
By Regina MkondeMarch 24, 2021NYUMBANI ni nyumbani. Hivi ndivyo unaweza kuelezea, jinsi wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameupokea kishujaa mwili wa Dk. John...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2021SAFARI ya miaka 10 ya ndoa ya Suzana Ndaga Mtuwa na Denis Mtuwa iliyofungwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Kimara jijini...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021MARAIS tisa katika nchi za Bara la Afrika, wameshiriki shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, alimwambia hapendi kusafiri nje ya nchi, kwa...
By Kelvin MwaipunguMarch 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, amesema siku chache kabla ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Hayati John Pombe Magufuli kufariki dunia,...
By Mwandishi WetuMarch 22, 2021SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, kukamilisha ndoto za aliyekuwa rais wa taifa hilo, Hayati John...
By Kelvin MwaipunguMarch 22, 2021VIKOSI vya usalama vimeimarisha ulinzi kila mahali, waombolezaji na watu mbalimbali wanaingia kwa kutumia mlango mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Kila anayeingia eneo...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2021WANASIASA wakongwe nchini Tanzania, Mzee Joseph Butiku na Jaji Mstaafu Joseph Warioba, wamesema watamkumba aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli kutokana...
By Kelvin MwaipunguMarch 19, 2021MWENYEKITI wa Baraza la Wazee Wilaya ya Chato mkoani Geita, Samuel Magambo, amewaomba viongozi waliobaki madarakani kutowatenga pia, kutotelekeza wilaya hiyo, badala...
By Kelvin MwaipunguMarch 19, 2021RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amekwenda kuifariji familia ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John Pombe Magufuli, jijini Dar...
By Kelvin MwaipunguMarch 19, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amepiga marufuku kufanyika kwa sherehe yoyote ile ndani ya mkoa huo kwa...
By Kelvin MwaipunguMarch 19, 2021RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka Watanzania kuzika tofauti zao na kwamba, sasa ni wakati wa kujiamini kama Taifa. Anaripoti...
By Regina MkondeMarch 19, 2021RATIBA yamazishi ya Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeelekeza kiongozi huyo atazikwa tarehe 24 Machi...
By Regina MkondeMarch 19, 2021MAMA Samia Suluhu Hassan, ameapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, jijini Dar es Salaam. Anaandika Regina...
By Regina MkondeMarch 19, 2021VIONGOZI wa kimataifa wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Rais Magufuli...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021KUFUATIA kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021SERIKALI ya Tanzania, amewaagiza wenye viwanda nchini humo, kuajiri wataalamu wa mazingira ili kukidhi matakwa ya kisheria. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Agizo hilo,...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021SERIKALI na jamii wametakiwa kuhakikisha wanatenga bajeti yenye mlengo wa kijinsia, ili kutokomeza ukatili wa kijinsia. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021VIONGOZI kadhaa ulimwenguni, wamechanjwa kwa ajili ya kujikinga na virusi hatari vya corona (Covid 19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Miongoni mwa wanaotajwa kuwa tayari...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka wanawake nchini humo, kujitosa kwenye nafasi za uongozi kwenye sekta binafsi, ili...
By Regina MkondeMarch 8, 2021BAA maarufu ya La Chaaz, iliyoko Sinza Mori, mkoani Dar es Salaam imeteketea kwa moto leo Ijumaa, tarehe 5 Machi 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2021WATU 10 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kwa tuhuma za kujihusisha na wizi wa pikipiki. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameonesha kufurahishwa na wimbo ya Joseph Haule maarufu Profesa Jay, na kutaka upigwe ili asikilize na kutazama....
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021MWILI wa aliyekuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), unazikwa leo Alhamisi tarehe 25 Februari 2021, katika...
By Kelvin MwaipunguFebruary 25, 2021ALIYEKUWA Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. Benno Ndullu (71), amefariki dunia. Prof. Ndullu, alizaliwa tarehe 23 Januari 1950. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguFebruary 22, 2021WAWEKEZAJI na wafanyabiashara nchini wameshauri wa kuibua fursa zinazofungamana na sekta ya madini ili ajili kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeFebruary 22, 2021BASTOLA ya Nape Nnauye, Mbunge wa Mtama (CCM) iliyoibwa tarehe 15 Februari 2021, katika eneo la Kawe Beach, jijini Dar es Salaam,...
By Hamisi MgutaFebruary 18, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam nchini Tanzania, linaichunguza Hospitali ya Aga Khani, jijini Dar es Salaam, kwa tuhuma...
By Kelvin MwaipunguFebruary 18, 2021MWILI wa Katibu Mkuu Kiongozi nchini Tanzania, Balozi John Kijazi, umeagwa leo Alhamis tarehe 18 Februari 2021, katika Hospitali ya Benjami Mkapa,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 18, 2021BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), limewataka waumini wake kufanya toba ya kweli ili kubadili mioyo mibovu. Anaripoti Ragina Mkonde, Dar es...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametangaza siku tatu za maombolezo ya Kitaifa kuanzia leo Jumatano tarehe 17 Februari 2021, ambapo bendera zote zitapepea...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametangaza kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad (77), Makamu wa Kwanza wa Rais, Zanzibar, kilichotolea leo Jumatano...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Huduma za Ufundi wa Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi...
By Kelvin MwaipunguFebruary 17, 2021SERIKALI ya Tanzania imeeleza, haijawahi kusema haina maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19). Anaripoti Regina Mkonde …(endelea). “Hatujawahi kusema, hatuna virusi vya...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma, wasikate tamaa kwa vile mishahara mipya haijatangazwa na badala yake amewasihi waendelee...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2021JESHI la Magereza nchini Tanzania, limeshauriwa kukamata mawaziri ama makatibu wakuu kwenye taasisi zilizoshindwa kulipa maeni yao. Anaripoti Regina Mkonde, …(endelea). Kauli...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021KUNTI Majala, Mbunge Viti Maalumu mkoani Dodoma, ameiomba serikali kupeleka walimu wa kike katika Shule za Msingi Birise na Donsee, zilizoko mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021WATUMISHI waliogoma kuhamia kwenye maeneo ya halmashauri zao, wamevunja agizo la Rais John Magufuli hivyo, wasakwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Waziri...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, bado anaendelea kupata matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, Visiwani Unguja....
By Regina MkondeFebruary 4, 2021MBUNGE wa Vunjo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Charles Kimei, amefikisha bungeni kilio cha waongoza watalii katika Mlima Kilimanjaro, kuhusu kutolipwa...
By Kelvin MwaipunguFebruary 3, 2021KATIBU Tawala Mkoa wa Arusha (RAS), Richard Kwitega, amefariki dunia leo Jumatano saa 9:30 alasiri, tarehe 3 Februari 2021, katika ajali ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2021MBUNGE Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Cecilia Pareso, amehoji Serikali itataifisha lini mashamba ya wawekezaji yasiyoendelezwa, ili yakabidhiwe kwa wananchi kwa ajili...
By Danson KaijageFebruary 3, 2021WAZIRI wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amesema, magonjwa mengi ya akili, yanatokana na ugumu wa...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza wasajili wa Mahakama ya Rufaa, kutosajili kesi za rufani zenye lengo la kuchelewesha utekelezwaji wa uamuzi...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amewaondoka kazini zaidi ya wahasibu 80 kwa tuhuma za kuchezea rafu mifumo ya ukusanyaji wa mapato. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 26, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amesema, katika hatua anazochukua kuondoa ‘uchafu’ katika Serikali yake, ‘asiyekuwemo hatoingizwa.’ Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea). Akizungumza wakati wa...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2021