May 20, 2022

Uhuru hauna Mipaka

La Chaaz yateketea

Spread the love

 

BAA maarufu ya La Chaaz, iliyoko Sinza Mori, mkoani Dar es Salaam imeteketea kwa moto leo Ijumaa, tarehe 5 Machi 2021. Anaripoti Matrida Peter…(endelea)

Chanzo cha moto huo, bado hakijajulikana.

Endelea kufuatilia mitandao yetu kwa habari zaidi

error: Content is protected !!