SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza kupungua bei ya Petroli za rejareja kwa Sh.31, Dizeli ikipanda...
By Masalu ErastoJanuary 6, 2021WAZIRI wa Nishati, Dk. Medard Kalemani ameliagiza Shirika la Umeme wa Ugavi nchini (TANESCO), kuhakikisha umeme haukatiki. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Pia amelitaka shirika...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza waliokuwa watumishi wa Wakala wa Ukauzi wa Madini Tanzania (TMAA) kisha kuhamishiwa Tume ya Madini wapunguziwe mishahara...
By Regina MkondeDecember 11, 2020WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso amemtumbua Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (Duwasa), Mhandisi David Pallangyo akitaka apangiwa...
By Masalu ErastoDecember 10, 2020DHAHIR Kidavashari (56), Aliyekuwa kaimu Kamishna wa fedha na lojistiki wa Jeshi la Polisi Tanzania amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 17...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2020INSPEKTA Jenerali wa Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro amemtaka Tundu Lissu, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chadema katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020MIKE Pompeo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amegomewa kukutana na Papa Francis, Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Dunani. Inaripoti Shirika la...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania yatoa onyo kwa watu wanaowarubuni waliojiandikisha kupiga kura kwenye Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imemkamata Afisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mary Moyo kwa tuhuma za kuomba na...
By Mwandishi WetuSeptember 30, 2020WAGONJWA milioni moja duniani wamefariki kutokana na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mtandao wa worldometer umeripoti leo Jumanne tarehe 29 Septemba...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2020MARAIS John Pombe Magufuli wa Tanzania na Evariste Ndayishimiye wa Burundi wamesema, ushirikiano baina ya mataifa hayo yanayounda Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
By Mwandishi WetuSeptember 19, 2020KUELEKEA Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano 28 Oktoba 2020, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Selemani...
By Danson KaijageAugust 30, 2020DAKTARI Luis Shika, aliyepata umaarufu kutokana na kauli yake ya ‘900 itapendeza,’ amehitimisha safari yake hapa duniani kwa mwili wake kuzikwa jana Jumanne...
By Masalu ErastoAugust 26, 2020JACOB Paul Nyangusi, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) nchini Tanzania, itamfunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...
By Mwandishi WetuAugust 13, 2020TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29...
By Regina MkondeAugust 1, 2020RAIS wa Jamhuri, Dk. John Magufuli amesema, ana imani kubwa ya uchaguzi mkuu ujao wa rais, wabunge na madiwani, kuwa huru na haki. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 22, 2020DARIA Frank (55), Mkazi wa Mamba, Vunjo Mashariki katika Wilaya ya Moshi, Kilimanjaro anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuunguza kwa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kama ifuatavyo akiwemo mkuu wa mkoa (RC), katibu mkuu na mkuu wa...
By Mwandishi WetuJuly 17, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua wakiwemo wakuu wa mikoa ya Dar es Salaam na Manyara. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 16, 2020MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Francis Mutungi ameitaka Jukwaa la Katiba Tanzania (Jukata) kuhakikisha inapigia upatu sera ya siasa safi na...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020RAIS wa John Magufuli amewataka Watanzania kutodharau dawa za kienyeji katika kukabiliana na maradhi mbalimbali. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kiongozi huyo wa Tanzania ametoa...
By Mwandishi WetuJune 11, 2020BUNGE la Tanzania litapitisha azimio la kuibana Serikali ya nchi hiyo kutobadili uamuzi wa kuhamisha shughuli za Serikali kutoka jijini Dodoma kwenda kwingine....
By Mwandishi WetuJune 8, 2020WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango amebainisha changamoto tano ambazo zinaikabili wizara hiyo ikiwamo mlipuko wa ugonjwa wa homa...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020SERIKALI ya Tanzania imesema, kati ya Julai 2019 na Machi, 2020 imelipa mafao na pensheni kwa wastaafu wa Serikali 57,605, mirathi kwa warithi 1,006...
By Mwandishi WetuMay 15, 2020DAKTARI Nyambura Moremi, Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Jacob Lusekjelo, Meneja Udhibiti wa Ubora wamesimamishwa kazi kufuatia tuhuma...
By Regina MkondeMay 4, 2020BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifanyia maboresho fedha za noti, toleo la mwaka 2010, katika kipengele cha usalama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuApril 4, 2020MPAKA sasa, watu watatu wawaliokuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa corona, wamepona. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea) Taarifa iliyotolewa na Ummy Mwalimu, Waziri wa...
By Hamisi MgutaApril 3, 2020PIKIPIKI na Bajaji zinazosafirisha abiria, zimeruhusiwa kuingia katikati ya Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza changamoto ya usafiri katika kipindi cha mlipuko...
By Regina MkondeApril 1, 2020AHADI ya Rais John Magufuli kwamba, atahakikisha uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu unakuwa huru na haki, imeungwa mkono na Marekani. Anaripoti Martin Kamote,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 31, 2020MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Dk. Hassan Abbasi amesema, Tanzania inaendelea na majadiliano na Benki ya Dunia (WB), kuhusu mkopo wa Dola za Marekani...
By Regina MkondeJanuary 30, 2020RAIS John Magufuli, Amiri Jeshi Mkuu wa Nchi, ameyataka majeshi nchini kutokubali kuwekewa vikwazo, katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Martin Kamote…(endelea) Rais...
By Kelvin MwaipunguNovember 25, 2019TATIZO la vitambi na mlipuko wa ugonjwa wa Homa ya Dengue, umezua mjadala bungeni kufuatia wabunge kadhaa kuhoji mpango wa serikali katika kudhibiti...
By Regina MkondeMay 29, 2019SERIKALI imesema, bado inaangalia uwezekano kwa Watanzania waishio nje ya nchi, kupiga kura katika chaguzi mbalimbali zijazo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Kauli hiyo imetolewa leo...
By Regina MkondeMay 23, 2019