SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
SERIKALI ya Tanzania inampango wa kujenga shule 26 za wasichana na shule 1,000 za sekondari kwenye kata zisizo na shule hizo. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Watanzania kutimiza wajibu kwa kufuata sheria za usalama barabarani kukabiliana na ajali za...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuendelea kutangaza ajira katika vyombo mbalimbali vya dola...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amepiga marufuku ufanyaji wa biashara maeneo watembea kwa miguu hifadhi ya barabara...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021KAMPUNI ya Usafirishaji ya World Logistics (WLC), imeanzisha huduma mpya ya kuagiza na kufikishia bidhaa kwa mteja (Corgo Pickup & Delivery Services),...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, tozo zitakazotozwa katika miamala ya simu Septemba na Oktoba 2021, zitakwenda kujenga vyumba vya madarasa...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi (DED) wapya 69 walioteuliwa kufika...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021WAZEE wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imuache huru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe,...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2021ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amewataka wakazi wa Jimbo la Buhigwe, Kigoma wasitishike na watu wanaowashinikiza kuchagua mgombea wa Chama Cha...
By Mwandishi WetuMay 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro, akomeshe vitendo vya uhalifu katika Mkoa...
By Mwandishi WetuMay 7, 2021WAZEE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ianzishe utaratibu wa kundi hilo kuwa na...
By Regina MkondeMay 7, 2021BARAZA la Wazee la Mkoa wa Dar es Salaam, limemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aongeze juhudi katika uimarishwaji misingi ya...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021KOCHA msaidizi wa Simba Suleiman Matola, awataka washabiki wa simba wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani...
By Kelvin MwaipunguMay 7, 2021MCHEZO war obo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika kati ya Kaizer Chief dhidi ya Simba rasmi sasa utachezwa...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Aprili 2021 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara huku kocha...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021JESHI la Polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam limetoa masharti matano kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Simba...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2021Klabu ya Manchester United ya nchini England ipo tayari kutoa kiasi Euro 90 milioni sawa na shilingi 250.8 bilioni, kwa jili ya...
By Kelvin MwaipunguMay 5, 2021NAIBU waziri wa utumishi na utawala bora Deogratius Ndenjembi amesema kuwa kuna baadhi ya viongozi wa timu mbalimbali hapa nchini wakifungwa na Yanga...
By Kelvin MwaipunguMay 4, 2021WACHEZAJI watatu wa klabu ya Yanga, Feisal Salum, Tonombe Mukoko pamoja na Michael Sarpong watarejea Uwanjani kwenye mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi...
By Kelvin MwaipunguMay 3, 2021DANIEL Chongolo, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, amethibitishwa na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuApril 30, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imepokea na itayafanyia kazi malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu wa ukaguzi unaofanywa kwenye...
By Kelvin MwaipunguApril 30, 2021MONICA Nyabyamari, mama mzazi wa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) wa Tanzania, Simon Sirro, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi, tarehe 10...
By Kelvin MwaipunguApril 10, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere amesema, nyaraka za fedha za kughushi zimetumika katika Jeshi la Zimamoto na...
By Kelvin MwaipunguApril 8, 2021MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amebaini Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), ililipa Sh.3.92 bilioni kugharamia...
By Mwandishi WetuApril 8, 2021RIPOTI za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka 2019/20, zimewasilishwa bungeni jijini Dodoma huku taasisi kumi zikipata...
By Regina MkondeApril 8, 2021JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewataka wananchi wasimpelekeshe Rais Samia Suluhu Hassan, hasa wale wanaotaka mchakato wa katiba mpya...
By Danson KaijageApril 7, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro, ameagiza makamanda wa jeshi hilo hasa katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufanya mabadilio ya sheria....
By Mwandishi WetuApril 7, 2021KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi, amepinga maagizo ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ya...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021WAGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamechuana vikali katika kueleza sera zao, ili kuwashawishi wapiga kura kuwachagua. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2021ASKOFU Alfred Maluma wa Jimbo Katoliki la Njombe nchini Tanzania, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, katika...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021DAKTARI Edward Hoseah amesema, kilichomng’oa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ni kusema ukweli juu ya sakata la mkataba kati...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limempongeza Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kwa kuagiza vyombo vya habari vyote vilivyofungiwa kufunguliwa. Anaripoti...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021KLABU ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza(MPC), imempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuvifungulia vyombo vya habari vilivyoungwa kwa...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanzisha salamu mpya ambayo atakuwa akiitumia katika shughuli mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Samia...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021LEO Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, ni siku ya mwisho ya maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk....
By Regina MkondeApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amejishangaa jinsi ambavyo amekuwa akilitaja jina la Bunge la Katiba, badala ya Bunge la Bajeti. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amewataka wateule wa Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuchapa kazi kwani kiongozi huyo...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua akiwemo Balozi Hussein Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kufanyia mapitio kanuni za sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, ili kuondoa changamoto ya makato...
By Kelvin MwaipunguMarch 31, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19), duniani yamefikia milioni 128.8, waliopona milioni 103.9 na waliofariki dunia wakiwa milioni 2.8. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, imesema imepekua nyumbani kwa aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit...
By Kelvin MwaipunguMarch 30, 2021SAFARI ya siku zaidi ya 90 ya mkutano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inaanza kesho Jumanne saa 3:00 asubuhi,...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021HATUA ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), kuwaomba radhi Watanzania, imewaibua wanasiasa na wanaharakati. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguMarch 29, 2021ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...
By Regina MkondeMarch 29, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...
By Regina MkondeMarch 29, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitaamua ndani ya saa 48, kuanzia leo Jumatatu, kama kitajitosa katika uchaguzi wa ubunge wa Muhambwe,...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2021ASASI za kiraia (AZAKI) nchini Tanzania, zimeomba kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kujadiliana nae masuala mbalimbali ikiwemo ufufuaji wa...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameeleza ugumu aliopitia katika kumpitisha Hayati John Pombe Magufuli (61), kuwa mgombea urais wa Chama...
By Kelvin MwaipunguMarch 26, 2021