SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
MADAI mapya ya ufisadi yaliyoibuliwa na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kwenye Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA), hayawezi kumwacha salama,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021Mgombea urais nchini Kenya ameahidi mikopo ya kati ya Dola za Marekani 4,400 (Sh milioni 10.1) na 8,800 (Sh milioni 20.20) kwa...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021DROO ya nane ya Kampeni ya ‘NMB Bonge la Mpango – 2merudi Tena,’ imefanyika mwishoni mwa wiki jijini Arusha, ambako Theofrida Masudi...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mahakama ya Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka mitano jela aliyekuwa mkurugenzi wa gereza kuu la Kigali, Innocent Kayumba kwa kosa la kuiba...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021MKUU wa Wilaya ya Kinondoni (DC), jijini Dar es Salaam, Godwin Gondwe amewataka wanawake wajasiriamali, kusimamia malengo yao, kuboresha bidhaa wanazozalisha na...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021WAANDISHI wa habari na watangazaji wamepata chanjo ya ugonjwa wa maambukizi ya korona (UVIKO-19), huku wakitakiwa kujali afya zao kwanza katika utendaji...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Elsewedy Electric East Africa Ltd kwa ukanda wa Afrika Mashariki, Mhandisi Ibrahim Qamar amesema katika awamu ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza watendaji wake wawaoneshe wawekezaji kuwa nchi imebadilika, kwa kuwa imeboresha mazingira ya uwekezaji. Anaripoti Regina...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuna mambo yaliyoanishwa katika Ilani ya Uchaguzi wa 2020 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hataweza...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021MGOGORO mwingine umelikumba Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), baada ya wachungaji watatu wa Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, kumtuhumu Askofu wao,...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021KAULI ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwa kuna makundi ndani ya Serikali yanaendekeza ubadhirifu na kuishutumu Serikali yake, imeibua wadau...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2021BARAZA la Vyama vya Siasa, limezungumzia miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, likisema nchi ina Katiba nzuri, pamoja na mihimili iliyo...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameanika ubadhirifu wa kutisha katika mikataba ya ujenzi wa meli tano za Kampuni za kuhudumia Meli Tanzania (MSCL)...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...
By Kelvin MwaipunguDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...
By Masalu ErastoDecember 4, 2021Wawekezaji zaidi ya 140 kutoka Italia wamewekeza katika miradi mbalimbali nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Takwimu hizo zimetolewa na Naibu Waziri Wizara...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wasaidizi wake, kutowabudhudhi wawekezaji hususan wazawa kwani kufanya hivyo kunachelewesha fursa za ajira....
By Regina MkondeDecember 3, 2021WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka husika kuchukua hatua kali za kisheria kwa watakaobainika kuwanyanyapaa na kuwabagua Watu Wanaoishi na Virusi vya...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, kila mwaka kuanzia 2022, wizara hiyo itakuwa ikitoa zawadi kwa wanafunzi...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021Serikali mkoani Mtwara imesema ipo tayari kuonesha ushirikiano zaidi na taasisi pamoja na wadau mbalimbali wenye nia thabiti na mipango inayolenga kuwasaidia...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali zinazogusa tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Regina MkondeNovember 16, 2021WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza hali ya hatari katika maeneo yote ya nchi hiyo baada ya waasi wanaopambana na wanajeshi...
By Mwandishi WetuNovember 3, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 3, 2021KLABU ya Soka ya Simba ya jijini Dar es Salaam, imevunja mkataba na aliyekuwa kocha wake Mkuu, Didier Gomes Da Rosa, mara...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021KIELEZO cha kwanza cha ushahidi wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha...
By Regina MkondeOctober 26, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Profesa Joseph Kazilwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Homboro. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021MBUNGE wa Arumeru Magharibi wa chama tawala nchini Tanzania-CCM, Lembris Noah, amemuomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi ya...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya ambaye amehukumiwa miaka 30 gerezani, kesho Jumatatu tarehe 18...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imerejea tena kwenye usukani wa kundi J, katika harakati za kutafuta tiketi za kufuvu fainali za...
By Kelvin MwaipunguOctober 10, 2021RAIS Samia amewaonya viongozi, watumishi na wazabuni watakaosimamia miradi itakayotekelezwa kwa kutumia fedha zilizotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa Tanzania,...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kuthibiti urasimu wa kupata msamaha wa kodi kwa vifaa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameiagiza Mamlaka ya Manunuzi ya Umma (PPRA) kutumia utaratibu wa manunuzi wa moja kwa moja ‘single source’ badala...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza watekelezaji wa miradi mbalimbali ya ujenzi wa shule na maji nchini, kuwatumia wakandarasi wa ndani kwa kuwa miaka...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021Rais SAMIA Suluhu Hassan ameomba sekta binafsi kumuunga mkono kwa kuchangamkia fursa zinazotokana na fedha zilizotolewa na Shirika la Fedha Duniani (IMF) zitakazotumika...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania (Idara ya Biashara) jijini Dar es Salaam imeagiza kukamatwa kwa wadeni watatu wa benki ya Exim Tanzania kwa kushindwa...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Omary Chingwile ili kupisha uchunguzi wa...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021Tanzania imepata nafasi ya kupeleka washiriki sita kwenye Fainali za Urembo, Mitindo na Utanashati kwa viziwi ya ngazi ya dunia yatakayofanyika Aprili...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021JUMLA ya Mawaziri nane wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatarajia kuanza ziara ya siku 15 katika vijiji 975 kwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021Maelfu ya wanawake nchini Marekani wameandamana katika zaidi ya miji 600 nchi hiyo kupinga kampeni ya kuzuia uavyaji (utoaji) mimba. Anaripoti Mwandishi...
By Kelvin MwaipunguOctober 3, 2021MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, amekula kiapo cha kutimiza ndoto ya mrithi wake, Maalim Seif Shariff Hamad ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa viongozi wa dini wa Kanisa la Anglikana Tanzania kurudi kwenye misingi ya kimaadili ya kanisa...
By Masalu ErastoSeptember 28, 2021ALIYEKUWA Jaji Mkuu wa Tanzania, Othuman Chande, ameteuliwa na Mwendesha Mashitaka Mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, inayojihusisha na uhalifu dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguSeptember 18, 2021MWILI wa Rais wa zamani wa Zimbabwe, aliyefariki dunia tarehe 6 Septemba, 2019 umeamriwa na mahakama nchini humo ufukuliwe na kuzikwa upya...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021WAFUNGWA wanne kati ya sita raia wa Kipalestina waliotoroka kutoka jela yenye ulinzi mkali mapema wiki hii huko nchini Israel wamekamatwa. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeanza ujenzi wa maeneo ya burudani kwa ajili ya watu kufanyia michezo na kupumzika katika mikoa ya Dodoma na...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021WIKI chache baada ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuitaka Serikali ya Tanzania ilipe deni la Bohari ya Dawa...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, wiki ya mwisho wa mwezi Septemba au mwanzo wa Oktoba 2021, itaanzisha wiki ya uchanjaji chanjo ya virusi...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali imeidhamini Bodi ya Mazao Mchanganyiko kupatiwa mkopo...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imeahidi kuboresha vigezo vilivyowekwa na wizara ya fedha kwenye uchambuzi wa miradi ya kimkakati. Anaripoti Patricia Kighono, TUDARCo…(endelea). Ahadi hiyo...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021