SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum imetambulishwa rasmi kwa jamii huku Waziri mwenye dhamana Dk. Dorothy Gwajima akijinadi...
By Danson KaijageJanuary 18, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wawili akiwemo Mcha Hassan Mcha kuwa Naibu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Damas Ndumbaro amezindua rasmi utafiti wa utalii wa ndani na mchango wa sekta hiyo katika uchumi...
By Danson KaijageJanuary 16, 2022WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamad Masauni anatarajiwa kuongoza maombi maalumu ya kuliombea Taifa amani na utulivu yanayotarajiwa kufanyika kesho...
By Danson KaijageJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku yakionesha somo la Basic Mathematics ndilo...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku wasichana wakiongoza katika kundi la...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022ULINZI juu ya taarifa za wateja umeteka mahojiano kati ya Meneja wa Kitengo cha Sheria cha Kampuni ya Mawasiliano ya Airtel Tanzania PLC,...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022TANZANIA imepokea msaada wa dawa pamoja na vifaa tiba vyenye thamani ya Sh.864 milioni vitavyosaidia kupambana dhidi ya magonjwa mbalimbali kutoka katika...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umehoji kwa nini Meneja wa Kitengo...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imepokea taarifa za miamala na usajili wa simu, kutoka...
By Regina MkondeJanuary 13, 2022Janny Sikazwe ni mwamuzi ambaye ameyatia doa mashinadano ya Mataifa ya Afrika (AFCON 2021) yanayoendelea huko nchini Cameroon baada ya kuitibua timu...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, ProfesaAdolf Mkenda amesema atatenga muda wa wiki tatu kuzungumza na watumishi wa wizara hiyo na kupitia...
By Danson KaijageJanuary 13, 2022WAZIRI wa Habari, Nape Nnauye, amesema amerudi katika wizara hiyo, ili kusimamia Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari ya 2016, aliyosimamia...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MBUNGE wa zamani wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge (CCM) leo tarehe 12 Januari, 2022 amechukua fomu za kuomba uteuzi wa kukiwakilisha Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MAWAZIRI wa Serikali ya Tanzania, wameahidi kutoa mchango wa fedha, kwa ajili ya kuzisaidia familia za wanahabari waliopoteza maisha ajalini, wakiwa katika...
By Regina MkondeJanuary 12, 2022KATIKA kudhibiti ajali za mara kwa mara sambamba na watoto kugongwa katika barabara Kuu ya Dodoma – Dar es Salaam eneo la...
By Danson KaijageJanuary 12, 2022ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera ametoa ujumbe wenye tahadhari wa kumpata spika mpya...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022WATANZANIA wametakiwa kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibari kwa kukumbuka kazi kubwa walizozifanya na waasisi wa Tanganyika na Zanzibar. Anaripoti Danson Kaijage Dodoma… (endelea)....
By Danson KaijageJanuary 12, 2022WADAU wa habari nchini Tanzania, wamesema uteuzi wa Nape Nnauye kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye wameupokea...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uchunguzi dhidi ya wimbi la wanahabari kupata ajali, wakiwa katika misafara ya viongozi wa umma. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 12, 2022WAUMINI wa Kanisa la Kiadventista la Boigesa lililopo katika eneo Bunge la Bobasi kaunti ya Kisii nchini Kenya, wamepigwa na butwaa siku...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi leo tarehe 12 Januari, 2022 ameongoza mamia ya Wazanzibar na...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) nchini Tanzania, Manawa Horera (22) amefariki dunia baada ya kujirusha kutoka ghorofani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022LEO Jumanne tarehe 12 Januari 2022, Zanzibar inasherekea miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu yaliyotokea mwaka 1994. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais wa Zanzibar,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022Bodi ya Ligi imefanya marekebisho kwa michezo 12 ya Ligi Kuu Tanzania Bara, ukiwemo mchezo ulioahirishwa kati ya Kagera Sugar dhidi ya...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2022MBUNGE wa Viti Maalum wa Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu kwa kuteuwa mawaziri, manaibu mawaziri na...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2022MWANAUME raia wa Marekani amekuwa mtu wa kwanza duniani kupandikizwa moyo wa nguruwe aliyebadilishwa vinasaba (GMO). Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Kwa mujibu...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2022Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake kujifunza mafunzo ya ufundi wa ushonaji wa nguo kwa kuwa ni mojawapo ya sekta...
By Kelvin MwaipunguJanuary 11, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, ameulizwa na upande wa utetezi katika kesi ugaidi nayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakukamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa sababu ya harakati za...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022WATU 14 wamefariki dunia wakiwemo waandishi wa habari sita wa Mkoa wa Mwanza baada ya gari waliokuwa wakisafiri kwenda Ukerewe mkoani humo kugongana...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2022WATOTO wawili wamefariki dunia jana Jumapili, tarehe 9 Januari 2022, baada ya kujifungia ndani ya gari huku wakiwa wamefunga vioo na kukosa...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ameondoka kwenda Lilongwe nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na...
By Kelvin MwaipunguJanuary 10, 2022NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amejitosa kuwania nafasi ya juu ya uongozi wa Bunge kwa kuchukua fomu ya...
By Danson KaijageJanuary 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2021, ametoa hotuba ya kuufunga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka mpya...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoingoza itautizama kwa umakini mwaka 2022 ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuDecember 31, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limesema, linaendele na uchunguzi dhidi ya tuhuma mbalimbali zilizotolewa na Kiongozi...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2021HATIMAYE zimesalia siku tatu 2021 kufika ukingoni usiku wa Ijumaa, tarehe 31 Desemba mwaka huu, huku dunia ikitikiswa na vifo vya watu...
By Kelvin MwaipunguDecember 28, 2021MKURUGENZI wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Erick Hamissi, anatajwa kuwa mmoja wa watuhumiwa muhimu kwenye mradi wa kitapeli wa...
By Mwandishi WetuDecember 10, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amewaonya mawakili wanaotumia mitandao ya kijamii, kushambulia utendaji wa mahakama na uamuzi unaotolewa na majaji....
By Regina MkondeDecember 10, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuanzisha mradi wa kuiuzia gesi Kenya. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo Ijumaa, tarehe 10...
By Kelvin MwaipunguDecember 10, 2021RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa wito kwa Watanzania kushirikia kikamilifu katika harakati za uwekezaji nchini badala...
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, ameomba neno haki, liongezwe katika wimbo wa taifa hilo, kwani...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021ASKOFU Mkuu mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Steven Munga, amewakingia kifua wachungaji sita....
By Kelvin MwaipunguDecember 7, 2021VIONGOZI wa dini kutoka madhehebu mbalimbali nchini Tanzania, wamehimiza Watanzania kuwa walinzi wa haki za binadamu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro…(endelea). Wito huo...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021RAIS mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume ameeleza kufarijika kuona namna Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021