Wednesday , 8 May 2024
Home Gazeti Habari #LIVE- Miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar
HabariTangulizi

#LIVE- Miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar

Spread the love

 

LEO Jumanne tarehe 12 Januari 2022, Zanzibar inasherekea miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu yaliyotokea mwaka 1994. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi anawaongoza wananchi katika sherehe hizo kwenye Uwanja wa Aman.

Wageni mbalimbali wamehudhuria akiwemo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Fuatilia moja kwa moja kinachoendelea

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Kuanzia Agosti marufuku kutumia mkaa, kuni

Spread the loveRAIS Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mwendokasi Kigogo – Segerea kujengwa awamu ya 5

Spread the loveNaibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Festo Dugange...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaitaka TAKUKURU kuichunguza Chadema tuhuma alizoibua Lissu

Spread the loveCHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana...

Habari za SiasaTangulizi

Jacob, Malisa wapandishwa kizimbani kwa mashtaka ya uongo mitandaoni

Spread the loveMKURUGENZI wa Shirika la Haki, Godlisten Malisa na mwanachama wa...

error: Content is protected !!