SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka Kampuni ya Kimataifa ya Kuhudumia Makontena Tanzania (TICTS) kuimarisha utendaji kazi wake ikiwemo kuacha kuchelewesha...
By Mwandishi WetuApril 8, 2022KOCHA wa klabu ya Simba Pablo Franco amechaguliwa kuwa kocha bora wa LigI Kuu Tanzania Bara mwezi Machi mara baada ya kumshinda...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimetoa mapendekezo manne kwa Serikali ili kuimarisha sekta ya kilimo nchini na kuwakomboa wakulima katika wingu la umasikini....
By Mwandishi WetuApril 6, 2022BAADHI ya wabunge wameomba uchunguzi huru ufanyike dhidi ya sakata la uchafuzi wa maji ya Mto Mara, baada ya kutoridhishwa na ripoti...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, hadi kufikia Februari 2022 Serikali imekwisha kulipa malipo ya awali ya ununuzi wa ndege mpya...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema, itaendelea kutoa kipaumbele katika kusimamia na kuendeleza rasilimali za maji na usafi wa mazingira vijijini na mijini unakwenda kwa...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali imeendelea kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO- 19) kwa kuanzisha rasmi utekelezaji wa...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022Serikali imesema wiki ijayo itatangaza nafasi za ajira 32,000 katika sekta ambazo zina upungufu mkubwa wa watumishi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)...
By Mwandishi WetuApril 6, 2022KIUNGO wa klabu ya Simba Clatous Chama amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara mwezi Machi kufuatia kuonesha kiwango bora akiwa...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022WAZIRI mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Kassim Majaliwa, ameipongeza klabu ya soka ya Simba kwa kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022MTENDAJI mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amekili kuwa, huwenda winga wao Bernad Morisson atakosekana kwenye mchezo wa marudiano wa kombe...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2022Klabu ya soka ya Simba Tanzania imepangiwa kukutana na Orlando Pirates ya nchini Afrika kusini katika robo fainali ya kombe la shirikisho...
By Masalu ErastoApril 5, 2022VIUNGO wa klabu ya Yanga Feisal Salum ‘Fei Toto’ sambamba na Khalid Aucho hawatakuwa sehemu ya kikosi cha klabu hiyo kitakachoshuka dimbani...
By Kelvin MwaipunguApril 5, 2022MAOFISA Ughani nchini watamilikishwa pikipiki zinazotolewa na Serikali baada ya kuzitumia kwa miaka miwili katika kutoa huduma kwa wakulima. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Hatua...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema zaid ya pikipiki 7000 zitagawiwa kwa maafisa ughani kote nchini ili kuwawezesha kuwafikia wakulima kwa urahisi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 4, 2022RAIS SamiaSuluhu Hassan ameiagiza Taasisi yaKuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) “kuwashughulikia kisawasawa” wezi wa pembejeo za ruzuku na fedha za vyama vya...
By Kelvin MwaipunguApril 4, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, George Simbachawene, amesema nchi ikijengwa miundombinu ya madaraja na barabara za juu ‘Fly Over’, bila...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2022HOFU imetanda kwa madiwani na watetezi wa haki za binadamu waishio kwenye Hifadhi ya Ngorongoro, baada ya baadhi ya madiwani kuhojiwa na...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uzinduzi wa daraja jipya la Tanzanite lililopo jijini Dar es Salaam anauchukulia kama sehemu ya kumuenzi mtangulizi...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2022DOREEN Kimbi, mke wa mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania, Augustino Lyatonga Mrema amesema umri baina yake na mumewe mwenye miaka 77 si tatizo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2022Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), kimesogeza mbele kongamano la haki, amani na maridhiano, hadi tarehe 4 na 5 Aprili 2022, sababu zikitajwa...
By Regina MkondeMarch 24, 2022KOCHA wa Timiu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Polusen ameonekana kukoshwa na bao la pili kwenye mchezo wa kimataifa wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 24, 2022WAZIRI wa Maliasiri na utalii Dkt Damas Ndumbalo ameimwagia sifa klabu ya Simba katika jitihada zao za kutangaza utalii na kuefunguka juu...
By Mwandishi WetuMarch 23, 2022CHUO cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA) nchini Tanzania kimesema, Rais Samia Suluhu Hassan katika mambo aliyofanikiwa kuyafanya ndani ya kipindi cha...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022MAELFU ya Watu Wamenyanyaswa , kutishwa na kufunguliwa mashitaka kwa kuwa na maoni muhimu kuhusu Serikali ya Rwanda , Humani Raght Watch [HRW]...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022Rais Samia Suluhu Hassan amesema ataizindua mwenyewe miradi yote inayotekelezwa Wilayani Chato mkoani Geita kama ambavyo angefanya mtangulizi wake Hayati Dk. John Magufuli....
By Kelvin MwaipunguMarch 17, 2022NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu ameishukuru Benki ya NMB kwa kuwakumbuka wamachinga na kuwasaidia kukua. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Zungu...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2022KATIKA kuelekea kutimiza mwaka mmoja wa uongozi wake, toka alipoingia madarakani, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameonekana...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022KLABU ya soka ya Yanga, imemualika Rais wa Jamhuri ya Muungano Samia Suluhu Hassan, kuwa mgeni rasmi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema chama hicho hakiko tayari kujiunga na Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK),...
By Regina MkondeMarch 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali imetenga Shilingi trilioni moja katika mpango mahususi wa kuwezesha mabenki kukopesha kwa riba ndogo isiyozidi asilimia 10....
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022MKUU wa Majeshi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo amewasamehe vijana 853 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa makambini April 12, 2021 kutokana...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2022KAMPENI ya NMB MastaBata inayoelekea ukingoni imebakiwa na zawadi ya Sh.100 milioni baada ya Sh.140 milioni kati ya Sh.240 milioni kunyakuliwa na washindi...
By Gabriel MushiMarch 3, 2022TAKRIBAN wanajeshi 70 wameuawa katika shambulio la mizinga lililofanywa na wanajeshi wa Urusi katik miji muhimu ya Ukraine. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022BABA mzazi wa mfanyabiashara maarufu na mfadhiri wa klabu ya Yanga, Ghalib Said Mohammed (GSM), mzee Said Mohamed amefariki Dunia leo Jumanne tarehe...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2022RAIS wa Chama cha Soka Poland, Cezary Kulesza amesema taifa hilo litakataa kuchuana na Urusi katika mechi ya mchujo ya kuwania Kombe la...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2022UONGOZI wa klabu ya Soka ya Yanga umesema kuwa, katika mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara wanahitaji pointi 35 tu,...
By Kelvin MwaipunguFebruary 26, 2022NI kama swala la muda tu kikosi cha klabu ya Soimba kushuka dimbani kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi...
By Mwandishi WetuFebruary 26, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema uanzishwaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere itakwenda kujibu...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema, Hashim Issa Juma, aliyekamatwa...
By Regina MkondeFebruary 23, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema sekta ya madini imeendelea kukua kwa kasi na kuwa na mchango mkubwa kwa maendeleo ya...
By Mwandishi WetuFebruary 23, 2022KWA mara nyingine tena, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaokosoa hatua ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufunguliwa mashtaka...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022NCHI za Marekani na Uingereza, kupitia balozi zake nchini Tanzania, zimepongeza hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kufanya mazungumzo na Makamu Mwenyekiti...
By Regina MkondeFebruary 17, 2022WANASAYANSI jana Jumatano tarehe 16 Februari 2022, wametangaza ufanisi wao wa kumponya mwanamke wa kwanza aliyekuwa anaishi na Virusi Vya Ukimwi (VVU),...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022MADAKTARI nchini Uganda wamethibitisha kuwa mwanamke aliyekuwa akifanya kazi za nyumbani nchini Saudi Arabia, aliondolewa figo yake ya kulia na sio ajali...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2022Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania “TFF” limemfungia mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF Shaffi Dauda miaka mitano kujihusisha na soka ndani...
By Masalu ErastoFebruary 16, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, Serikali anayoiongoza ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kuzalisha chanjo ya korona (UVIKO-19) na maradhi...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2022KLABU ya Soka ya Yanga hii leo itashuka dimbani kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora dhidi ya Biashara United kutoka mkoani...
By Kelvin MwaipunguFebruary 15, 2022KLABU ya soka ya Simba imeanza vizuri kampeni yake kwenye michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika, kufuatia kuibuka na ushindi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 13, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Joyce Ndalichako amesema vijana ni...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022