Friday , 19 April 2024

Habari

SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).

HabariHabari za SiasaTangulizi

Adhabu mbadala, utaratibu watuhumiwa kujidhamini waja

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara yake inakwenda kuufumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa...

HabariMichezo

Rais Samia awamwagia pongezi Serengeti Girls

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa hilo ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kwa...

HabariHabari za Siasa

Wabunge wakumbushia ahadi za JPM bungeni

WABUNGE wameikumbusha Serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, ya kutoa fedha kwa ajili ya...

HabariMichezo

Tanzania yatinga kombe la Dunia kwa mara ya kwanza

  TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17, (Serengeti Gilrs), imefanikiwa kutinga kwa mara ya kwanza kwenye fainali za...

HabariMichezo

Uchebe azua hofu kurejea Simba, alia upweke

KOCHA mkuu wa klabu ya AFC Leopards inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kenya, Patrick Aussems maarufu kama ‘Uchebe’ ameondoka nchini humo kabla ya msimu...

HabariMichezo

Lacazette aaga Arsenal, awaachia ujumbe mzito

MSHAMBULIAJI matata wa Arsenal, Alexandre Lacazette amewaachia ujumbe mzito mashabiki wa timu hiyo ya Ligi Kuu England baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa...

HabariMichezo

Antonio Rudiger atua Real Madrid

BEKI matata kutoka Ujerumani, Antonio Rudiger amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kuelekea Real Madrid. Tarehe 2 Juni, 2022 The Blues walimuaga Rudiger baada...

HabariKimataifa

Mkuu Umoja wa Afrika amwangukia Putin, ‘Afrika ndio wahanga’

MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall ambaye pia ni Rais wa Senegal amemtaka Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuchukua hatua kutoka...

Habari

ARU yabuni teknolojia ya ujenzi rafiki kwa mazingira

CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kupitia Taasisi yake ya Utafiti ya Nyumba wamebuni teknolojia ya ujenzi wa gharama nafuu kwa kutumia matofali  ambayo ni rafiki...

HabariMichezo

Rasmi Pogba aondoka Manchester United

  KLABU ya Manchester United imeachana rasmi na kiungo wake Paul Pogba, mara baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo ambayo...

HabariHabari za Siasa

Chongolo awapa ujumbe viongozi wote wa CCM

KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongoloamewataka viongozi ngazi zote nchini kuhakikisha wanashiriki vikao vya mashina ili...

AfyaHabari

Kiwanda cha Dawa Kairuki chapongezwa, SADC yatajwa

KAMATI Afya ya Bunge la Zambia imepongeza uwekezaji wa wazawa wa Kiwanda cha Kutengeneza Dawa cha Kairuki nchini Tanzania wakisema ni njia ya...

HabariHabari Mchanganyiko

Pollicy wazindua mtaala wa ‘Vote Women’ kuwapiga msasa madiwani wanawake kukabili ukatili mitandaoni

KATIKA kuwajengea uwezo wanasiasa wanawake kuhusu matumizi sahihi ya majukwaa ya mitandaoni, Shirika la Pollicy limezindua mtaala unaofahamika kwa jina la ‘Vote Women’...

AfyaHabari

Katibu mkuu afya ashauri Mganga mkuu wilaya Kigoma atumbuliwe

KATIBU Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ameshauri kuondolewa kwa Mganga Mkuu wa  Wilaya Kigoma kutokana na kushindwa kutekeleza maagizo ya kuboresha...

AfyaHabari

Milioni 250 tozo za simu zajenga kituo cha Afya – Misha

TOZO za miamala ya simu iliyoanza kutozwa mwaka jana, imeendelea kuwafaidisha Watanzania ikiwamo wananchi 7000 wa Kata ya Misha mkoani Tabora baada ya...

HabariHabari za Siasa

Msukuma: Mbowe alipa-miss Ikulu

MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM) amesema sio wanawake tu wanaofurahia utendaji wa Rais Samia Suluhu Hassan bali hata wanaume wanamfurahia. Anaripoti...

BurudikaHabari

Apple Music yasherehekea mafanikio ya Bara la afrika

JUKWAA la muziki la Apple Music, linasherehekea uzuri wa kipekee na mandhari ya Bara la Afrika kupitia muziki katika Africa Month (Mwezi wa...

ElimuHabari

Rais Samia afanya mapinduzi ya elimu Tabora, madarasa 74 yajengwa

IMEELEZWA kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, imefanya mapinduzi ya elimu kwa mkoa wa Tabora baada ya...

HabariHabari za Siasa

Haya hapa mapendekezo ya CUF kuhusu katiba, tume huru

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeshauri mchakato wa katiba mpya uanze mara moja, kikishauri muundo wa Serikali upewe kipaumbele katika kupitiwa upya pamoja na...

HabariHabari MchanganyikoTangulizi

Walimu Sekondari ya Aga Khan wagoma kisa ubaguzi wa rangi

ZAIDI ya walimu 50 wenye asili ya Kiafrika kwenye shule ya Sekondari ya The Agha Khan Mzizima wamegoma kuingia darasani kufundisha wanafunzi kwa...

HabariHabari za Siasa

CUF yawasilisha mapendekezo kikosi kazi cha Rais kwa shingo upande

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimewasilisha kwa shingo upande maoni na mapendekezo yake katika Kikosi Kazi kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwa ajili...

ElimuHabari

Rais Samia aokoa wanafunzi 271 kutoka ‘zizini’

JUMLA ya Sh milioni 40 zilizotolewa na Serikali kupitia mkopo nafuu wa mapambano dhidi ya Uviko-19 zimeweka historia kwa wanafunzi 271 wa Shule...

AfyaHabari

Milioni 250 za tozo zajenga kituo cha Afya Vumilia

ZAIDI ya Sh milioni 250 zinazotokana na tozo za miamala ya simu nchini zimetumika katika ujenzi wa Kituo cha Afya Vumilia kilichopo katika...

Habari

DAWASA yafikisha maji Mongolandege, wananchi wapongeza

  WAKAZI wa Mongolandege wapatao takribani kaya 4,000 wameanza kunufaika na huduma ya majisafi kupitia mradi wa maji Mongolandege unaotekeleza na Mamlaka ya...

BiasharaHabari

Bosi utalii atoa ujumbe wa mikopo nafuu ya NMB

  KATIBU Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania, Dk. Francis Michael amewataka wadau wa utalii jijini Arusha kutumia fursa ya...

Habari

Kaya 300 zabainika kuwa na makazi ndani eneo la mapito wanyamapori Babati

  Kaya zaidi ya 300 zimebainima kuishi ndani ya eneo la Ikolojia ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Manyara nchini Tanzania ambalo...

BiasharaHabari

NMB yavutia wabunifu suluhisho za kifedha, Dk. Mpango agusia vijana

  MFUMO wa majaribio wa suluhishi za kifedha ulioandaliwa na Benki ya NMB umefungua wigo wa kuwawezesha wabunifu kujaribu suluhisho zao. Anaripoti Mwandishi...

HabariMichezo

Kim aita 28 Stars

  KOCHA wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Kim Poulsen ameita wachezaji 28 watakaojiunga na kambi, kwa ajili ya maandalizi ya...

Habari

Idadi vyombo vya habari yaongezeka Tanzania

IDADI ya vyombo vya habari nchini Tanzania imeendelea kuongeza mwaka hadi mwaka ambapo kwa mwaka 2021/22 idadi hiyo imeongezeka kwa kasi. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Wizara ya Habari yapokea asilimia 53 fedha za maendeleo

  HADI kufikia tarehe 30 Aprili, 2022 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (Fungu 68) imepokea jumla ya Sh. bilioni 129.7...

Habari

Bunge lataka sekta ya mawasiliano iimarishwe

  KAMATI ta Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeishauri Serikali kuimarisha sekta ya habari na mawasiliano, kwa kuwa ni chachu ya maendeleo ya...

Habari

Bunge laingilia kati malalamiko matumizi ya bando

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeishauri Mamlaka ya Mawasiliano ya Tanzania (TCRA), ifanye majadiliano na kampuni za simu ili kutafuta...

HabariMichezo

Mauya miwili tena Yanga

  KIUNGO mkabaji wa klabu ya Yanga Zawadi Mauya ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia klabu ya Yanga utakaomfanya kusalia ndani ya...

BiasharaHabari

NMB Nuru Yangu yazinduliwa, 200 kunufaika

BENKI ya NMB nchini Tanzania imetangaza rasmi kuanza kupokea maombi ya ufadhili wa masoko kwa wanafunzi wa kidato cha tano na wa vyuo...

HabariMichezo

Nabi: ubingwa bado, subirini kidogo

  Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga, Mohammed Nasredine Nabi amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutulia kwa sasa kuhusu suala la ubingwa, kwani...

BurudikaHabari

Mastaa wa muziki Afrika waachia African Lullabies Part 2 kwa kishindo

KIKOSI kazi cha kusherehekea mwezi wa Afrika kwenye mkusanyiko wa nyimbo zenye mahadhi ya Kiafrika zilizopewa jina la African Lullabies Part 2, kimeachia...

HabariHabari Mchanganyiko

Marekebisho sera ya elimu, mitaala kukamilika Desemba 2022

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolph Mkenda, amesema marekebisho ya sera ya elimu na mitaala, yatakamilika Desemba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

HabariHabari Mchanganyiko

Kigwangalla ataka mabadiliko mgawanyo wa ajira

MBUNGE wa Nzega Vijijini, Dk. Hamisi Kigwangalla (CCM), ameishauri Serikali ibadili mfumo wa utoaji ajira za watumishi wa umma, akitaka iajiri watu kutoka...

HabariHabari Mchanganyiko

DC Nzega: Sh bilioni 24.4 zimezunguka kwa wazawa

MKUU wa Wilaya ya Nzega, ACP Advera Bulimba amesema kiasi cha Sh bilioni 24.4 ambacho fedha za mapambano ya Uviko-19 zilizopelekwa kutekeleza miradi...

HabariMichezo

Frankfurt mabigwa wapya wa Europe League

  Klabu ya soka ya Frankfurt ya nchini Ujerumani imefanikiwa kutwaa ubigwa wa Europa League msimu huu wa 2021/2022 baada ya jana kuifunga...

HabariHabari Mchanganyiko

ACT Wazalendo walia na tozo, kodi za mazao

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema kodi na tozo za mazao zinachangia kurejesha nyuma maendeleo ya sekta ya kilimo na wakulima kwa ujumla. Anaripoti Rhoda...

HabariHabari MchanganyikoTangulizi

Mazungumzo KKKT Konde yaahirisha kesi hadi 31 Mei

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya imeahirisha kesi namba 3/2022 na kesi namba 14/2022 inayohusu mgogoro wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...

HabariHabari za Siasa

Rais Samia atoa maagizo matatu Tabora

RAIS Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo matatu kwa wizara na taasisi za Serikali, yenye lengo la kuchochea maendeleo ya wananchi. Anaripoti Regina Mkonde,...

HabariHabari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi umaliziaji maboma yaliyoanzishwa na wananchi

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake kupitia Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI, itaandaa mradi wa kumalizia maboma yaliyoanza kujengwa na wananchi, ikiwemo...

BiasharaHabari

Waziri Bashe uso kwa uso vigogo NMB bungeni

WAZIRI wa Kilimo nchini Tanzania, Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi mbalimbali wa Benki ya NMB akiwemo Mkuu wa Idara ya...

HabariKimataifa

Goodluck Jonathan kuwania urais tena

ALIYEKUWA rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan ametangaza kuwania urais wa taifa hilo na kubadili mpango wa awali wa kutowania tena wadhifa huo. Anaripoti...

BiasharaHabari

Benki ya Exim yazindua ‘Wajasiriamali Akaunti’ kuwasaidia wafanyabiashara wadogo

BENKI ya Exim imezindua huduma maalum kwa ajili ya wafanya biashara wadogo wadogo na wajasiriamali ijulikanayo kwa jina la ‘Exim Wajasiliamali Akaunti’ ikilenga...

HabariKimataifa

Hospitali yakanusha madai maiti ya msanii kuimba Ekwueme usiku

HOSPITALI ya Kitaifa ya Abuja nchi Nigeria imekanusha madai kuwa maiti ya mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili, Osinachi Nwachukwu, ilikuwa ikiimba ‘Ekwueme’...

HabariMichezo

Yanga waiweka Simba mtegoni

WAKATI ligi Kuu Tanzania Bara ikiwa ukingoni, huku bado kukiwa na vita ya ubingwa Kati ya mafahari wawili wa soka la Tanzania, kkabu...

HabariMichezo

Kocha Mbeya Kwanza afungiwa miaka mitano

  KOCHA wa klabu ya Mbeya Kwanza inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, Mbwana Makata pamoja na meneja wa kikosi hiko David Naftari wamefungiwa...

error: Content is protected !!