Friday , 3 May 2024

Habari

SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).

Habari

Hii hapa orodha ya vijana 470 waliochaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji Tanzania

  KAMISHNA Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, CGI Dk. Anna Makakala amewatangazia vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na Idara ya Uhamiaji kwa cheo cha Konstebo...

HabariTangulizi

Dk. Mpango awatwisha zigo mawaziri 5 uharibifu Bonde la Ihefu

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewaagiza mawaziri watano kuelekea katika Bonde la Ihefu na kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika...

HabariTangulizi

Prof. Lipumba awaangukia aliowakwaza mgogoro wake na Maalim Seif

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa  Ibrahim Lipumba amewaomba radhi watu aliowakwaza katika mgogoro wake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama...

HabariHabari Mchanganyiko

NGO’s 20 zajitosa sakata la Ngorongoro, zaomba uwazi, tume huru

  MASHIRIKA yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), 20 zinazojishughulisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameomba mgogoro wa ardhi katika Hifadhi ya...

HabariMichezo

TFF yawalima faini Manara, Bumbuli

MAAFISA kutoka Idara ya Habari na mawasilinao ya klabu ya Yanga, Hassan Bumbuli na Haji Manara wametozwa faini ya shilingi 500,000 na kamati...

HabariMichezo

Beki Yanga afungiwa mechi tatu na Faini

  BEKI wa kati wa klabu ya Yanga, Dikson Job amefungiwa michezo mitatu na kupigwa faini ya shilingi 500,000 kufuatia kumkanyaga kwa makusudi...

HabariMichezo

Beki wa zamani wa Yanga, Taifa Stars afariki Dunia, kuzikwa kesho

  MLINZI wa zamani wa klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Ally Mtoni maarufu kama Sonso amefariki Dunia...

HabariTangulizi

Zungu apitishwa bungeni kwa 98.35%, atoa ujumbe Uchaguzi 2025

  NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amewaeleza wabunge kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, uko mbioni hivyo washirikiane kutekeleza miradi ya Serikali....

BurudikaHabari

Harmonize kuwakutanisha jukwaa moja wasanii 50 wa Afrika Mashariki Dar

  WASANII zaidi ya 50 kutoka Afrika Mashariki wanatarajiwa kupanda jukwaa moja kwenye tamasha la ‘Afro East Carnival’ litakalofanyika Uwanja wa Tabata Shule,...

Habari

JOWUTA, MCT wapongeza Serikali kufungulia magazeti

  CHAMA cha Wafanyakazi wa Vyombo vya Habari Tanzania (JOWUTA) na Baraza la Habari Tanzania (MCT), wamepongeza Serikali ya nchi hiyo, kuyafungulia magazeti...

Habari

Profesa Kitila ashauri mfumo wa elimu ufumuliwe

  MBUNGE wa Ubungo jijini Dar es Salaam kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Profesa Kitila Mkumbo ameshauri kupitiwa na kupangwa upya kwa mfumo...

HabariMichezo

Simba waiwekea mipango mizito ASEC

  KUELEKEA mchezo wa hatua ya makundi wa michuano ya kombe la Shirikisho Afrika, klabu ya Simba imeonekana kuzamilia kufanya vizuri kwenye michezo...

HabariTangulizi

Rais AfDB azuru kaburi la Hayati Magufuli

RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Daktari Akinwumi Adesina, amezuru katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano,...

Habari

Majaliwa: Unahitajika umakini mkubwa kuigawa Tanesco

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema unahitajika umakini mkubwa sana kama itaonekana kuna haja ya kuligawa Shirika la Umeme nchin humo (Tanesco)....

Habari

CCM yamjulia hali Profesa Jay, yatoa ahadi

  DANIEL Chongolo, Katibu Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) amemjulia hali aliyekuwa mbunge wa Mikumo mkoani Morogoro kupitia...

Habari

Nape atangaza neema kwa vyombo vya habari, waandishi

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania, Nape Nnauye ameagiza taasisi za Serikali zilizokuwa zinasita kutoa matangazo kwa vyombo vya...

Habari

Rais Samia ateswa na sauti ya Magufuli

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema amekuwa akisumbuliwa na sauti ya mtangulizi wake Hayati John Magufuli juu ya utekelezaji wa miradi aliyoianzisha. Anaripoti...

HabariMichezo

Sakho mchezaji bora wa mashabiki mwezi Januari, akabithiwa tuzo yake.

  KIUNGO mshambuliaji wa klabu ya Simba Raia wa Senegal, Pape Sakho amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashabiki mwezi januari, (Emirate Aluminium ACP...

HabariMichezo

Zouma matatani kwa kumpiga paka teke ‘kama mpira’

  MCHEZAJI nyota wa Ligi Kuu ya Uingereza, Kurt Zouma anaweza kufunguliwa mashtaka baada ya kurekodiwa kwenye video akimpiga paka wake kama mpira...

Habari

Chemba wapigwa msasa huduma ya afya ya mama na mtoto

  TAASISI ya Benjamini Mkapa Foundation imeendelea kuyanoa makundi manne ndani ya wilaya ya Chemba Mkoani Dodoma kwa lengo la kuwapatia elimu kuhusu...

HabariTangulizi

Mabula aapishwa kumrithi Lukuvi

  WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameapishwa kushika wadhifa huo ambao awali ulikuwa chini ya Wiliam Lukuvi. Anaripoti...

HabariMichezo

Yanga walia na waamuzi Ligi Kuu, wataka haki itendeke

  KLABU ya soka ya Yanga imeibuka na kulalamikia mwenendo wa waamuzi kwa baadhi ya michezo kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara na kutaka...

HabariMichezo

Morrison Pasua Kichwa, asimamishwa kwa muda Simba

  UONGOZI wa klabu ya soka ya Simba umemsimamishwa kwa muda, kiungo mshambuliaji wake Bernad Morrison Raia wa Ghana kufuatia kuwa na matatizo...

HabariTangulizi

Serikali yataja sababu tatu mkanganyiko mgawo wa umeme

WIZARA ya Nishati imesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza mgawo wa umeme usiwe mkali, wizara ilikaa na watalaam wake na kupata...

Habari

Mpina aibu mapya ucheleweshwaji Bwawa la Nyerere, amgomea waziri

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amefichua kuwa moja ya sababu iliyochelewesha Bwawa la Nyerere kutojazwa maji kwa muda uliopangwa ni mkandarasi...

Habari

Rais Samia aifagilia TLS “tutakwenda sambamba”

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali itakwenda sambamba na Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kwa kuwa inajitambua na inaelekea...

Habari

Polepole aibuka na tiba asili bungeni, ataka majaribio dawa za Corona

  SAKATA la tiba asili na tiba mbadala katika matibabu ya magonjwa ya upumuaji ikiwamo virusi vya Corona, limeibuka bungeni baada ya Mbunge...

Habari

TLS yazungumzia utawala wa sheria, Spika Tulia ajibu

  CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri wananchi washirikishwe kikamilifu katika michakato ya utungwaji sheria, kwani jambo hilo linawafanya waridhie mfumo wa...

Habari

Paul Makonda kizimbani kesho

  ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, kesho Alhamisi, tarehe 3 Februari 2022, atapanda kizimbani katika Mahakama ya...

HabariMichezo

Lampard kocha mpya Everton

  Kiungo wa kati wa zamani wa klabu ya Chelsea Frank Lampard, ameteuliwa kuwa kocha mpya wa klabu ya Everton kwa mkataba wa...

Habari

Luteni Urio adai mashtaka ya kina Mbowe  sio ya kutungwa 

  SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, Luteni Denis Urio, amedai mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama...

HabariMichezo

Simba hali mbaya, wakubali kipigo mbele ya Kagera

  KLABU ya soka ya Simba imejikuta kwenye wakati mgumu kufuatia kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar kwa...

Habari

Majawali awapa ujumbe wazazi, agusia gharama za kuunganisha umeme

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wazazi wote washirikiane na walimu kuweka mazingira mazuri ya kitaaluma ili wahakikishe watoto wa Kitanzania...

Habari

Rais Samia aombwa kuingilia kati mgogoro wa ardhi Ngorongoro

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameombwa kuingilia kati mgogoro wa muda mrefu kati ya mamlaka za hifadhi, wahifadhi na wananchi, wilayani...

HabariTangulizi

Wamachinga wampa mapendekezo 5 Rais Samia, awajibu

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi mapendekezo matano, yaliyotolewa na wafanyabiashara wadogo nchini ‘wamachinga’, ili kuiboresha sekta hiyo. Anaripoti Regina Mkonde,...

HabariKimataifa

Jeshi latangaza kutwaa madaraka Burkina Faso

  Jeshi nchini Burkina Faso limetangaza kutwaa madaraka baada ya kufanya mapinduzi. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Tangazo hilo la jeshi limetolewa kupitia...

HabariMichezo

8 wapoteza maisha mechi ya Cameroon vs Comoro

  Watu nane wameripotiwa kufariki na mamia kujeruhiwa katika msongamano uliotokea nje ya uwanja uliotumika katika kinyang’anyaro cha wenyeji Cameroon na Comoro waliofuzu...

HabariTangulizi

Majaliwa amfagilia Rais Samia, azungumzia wateja wapya wa umeme

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuifungua Tanzania kwa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali nchini...

HabariMichezoTangulizi

Mukoko atimkia Mazembe, Yanga yampa mkono wa kwaheri

  KIUNGO mkabaji Raia wa Jamhuri ya Congo, Mukoko Tonombe amekamilisha usajili wake na kijiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini mwao,...

HabariMichezo

KMC waitangazia vita Ruvu shooting kombe la FA

  MARA baada ya kuvuna pointi nne kwenye michezo miwili ya Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Mbeya Kwanza na Tanzania Prison, kikosi...

HabariTangulizi

Majaliwa aipa MSD siku 14

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wiki mbili kwa Bohari ya Dawa (MSD) ihakikishe kuanzia leo Jumapili tarehe 23 hadi 5...

Habari

Baba mzazi wa DED Kiteto, Balozi Nchimbi afariki dunia

  JOHN Alphoso Nchimbi, baba mzazi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kiteto (DED), Mkoa wa Manyara, John Nchimbi amefariki dunia, katika Taasisi ya...

Habari

Dk. Salim afikisha miaka 80, marais Samin Ramaphosa wamtakia kheri

  MWANADIPLOMASIA mashuhuri nchini Tanzania, Dk. Salim Ahmed Salim leo Jumapili, tarehe 23 Januari 2022, ametimiza miaka 80 tangu alipozaliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....

HabariTangulizi

Rais Samia atuma salamu za pole kwa kaka’ke Dk. Mpango, mkewe Shigela

  Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kufuatia kifo cha kaka yake Askofu Mstaafu...

Habari

Jafo aagiza wanafunzi kupanda miti milioni 14

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo amewaagiza maofisa mazingira nchini kuhakikisha wanafunzi wa shule za...

Habari

Halmashauri zatakiwa kuongeza ukusanyaji mapato kupunguza utegemezi

  SERIKALI imeziasa Halmashauri kuongeza kasi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani na kutenga asilimia 40 ya mapato yao kukamilisha miradi ya maendeleo...

Habari

Ummy Mwalimu asisitiza utoaji huduma bora za afya

  WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amekutana na viongozi wa idara ya kinga na kufanya mapitio ya pamoja kuhusu mafanikio, changamoto na vipaumbele...

Habari

Mke wa Sabaya apanda kizimbani kumtetea mme wake

  MKE wa mfungwa, Lengai ole Sabaya, aitwaye Jesca Nassari (28) ameieleza Mahakama kuwa namba ya simu 0758707171 inayodaiwa kuwa ya Sabaya, amekuwa...

HabariTangulizi

Adaiwa kujifanya polisi kwa miaka saba

  MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...

HabariTangulizi

Mrithi wa Ndugai: CCM kufyeka wagombea 67

  KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...

error: Content is protected !!