SECONDARY STORY: A picture & 5 paragraphs (300 words maximum).
VIJANA wa Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, wameeleza kufaidika na fedha za mradi wa ujenzi wa madarasa na ofisi za walimu baada ya...
By Gabriel MushiMay 17, 2022WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia nchini Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ameishukuru Benki ya NMB kwa kushiriki na kudhamini maonesho ya Kitaifa ya Wiki...
By Gabriel MushiMay 17, 2022RAIS wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amesema kuwa wanafanya kila wawezalo kuhakikisha wanawaondosha wanajeshi wao, waliojeruhiwa katika jimbo la Mariupol. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Gabriel MushiMay 16, 2022HATIMAYE mpeperusha bendera wa Muungano wa Azimio la Umoja-katika Uchaguzi Mkuu nchini Kenya, Raila Odinga amemtangaza Martha Karua kama mgombea mwenza wake. Anaripoti...
By Gabriel MushiMay 16, 2022WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula leo tarehe 16, Mei, 2022 amesaini kitabu cha maombolezo katika...
By Gabriel MushiMay 16, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakijapokea wito wa mahakama kuhusu kesi inayodaiwa kufunguliwa na wanachama wake 19 waliofukuzwa hivi karibuni ndani...
By Gabriel MushiMay 16, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu ameukosoa vikali uamuzi wa Spika Tulia Ackson kuwabakisha bungeni Halima...
By Gabriel MushiMay 16, 2022BUNGE la Tanzania limesema wabunge 19 wa viti maalumu waliofukuzwa uanachama wa Chadema, wataendelea kutumikia mhimili huo hadi pale Mahakama Kuu, itakapotoa uamuzi...
By Gabriel MushiMay 16, 2022HATIMAYE klabu ya Simba imempa mkono wa kwaheri kiungo wake mshambuliaji Bernard Morrison, Raia wa Ghana ambaye atakauwa nje ya kikosi hiko...
By Kelvin MwaipunguMay 13, 2022SERIKALI ya Marekani imeahidi kutoa ushauri wa kitaalamu kuhusu ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, kama Tanzania itakubali kupokea msaada huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Gabriel MushiMay 12, 2022RUFAA za Halima Mdee na wenzake 18 za kupingwa kufukuzwa uanachama na kamati kuu ya Chadema zimetupiliwa mbali na wajumbe wa Baraza...
By Mwandishi WetuMay 12, 2022MWENYEKITI wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku ametoa wito kwa vijana nchini kutokubali kudanganyika na kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani...
By Gabriel MushiMay 11, 2022MWENYEKITI wa chama cha ACT-Wazalendo Juma Duni Haji, amesema upinzani ukishirikiana uchaguzi ujao 2025 utaweza kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiMay 11, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amedai misingi ya katiba na sheria haikufuatwa katika uongozi wa Awamu ya Tano,...
By Gabriel MushiMay 11, 2022NAIBU Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kishiriki katika mikutano ya vyama vya siasa, ili...
By Gabriel MushiMay 11, 2022UFARANSA imeonesha kuridhishwa na hatua zilizochukuliwa na zinazochukuliwa na Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji nchini Tanzania....
By Gabriel MushiMay 10, 2022SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson amemuonya Mbunge Sengerema, Hamisi Tabasamu (CCM) baada ya kudaiwa kutweza mchango wa Mbunge wa Momba, Condester Sichwale...
By Gabriel MushiMay 10, 2022BENKI ya Exim Tanzania imezindua huduma mpya ya bima ya maisha iitwayo ‘Pamoja Hadi Mwisho’ mahususi kwa ajili ya vikundi rasmi na visivyo...
By Gabriel MushiMay 9, 2022JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza kidato ya...
By Gabriel MushiMay 8, 2022WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa watumishi 30 wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa...
By Gabriel MushiMay 8, 2022MJADALA kuhusu lugha gani itumike kufundishia kati ya kiingereza au Kiswahili umeendelea kutikisa baada ya asilimia kubwa ya wabunge kushauri kuwa kiingereza kitumike...
By Gabriel MushiMay 7, 2022Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba, Henock Inonga amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player...
By Kelvin MwaipunguMay 6, 2022WAZIRI wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikai imefanya tathimini ya upandaji wa bei za bidhaa nchini na kuchukua hatua...
By Mwandishi WetuMay 6, 2022Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...
By Mwandishi WetuMay 5, 2022KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...
By Mwandishi WetuMay 2, 2022LICHA ya kwenda sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa watani wa jadi, uliowakutanisha klabu za Simba na Yanga kwenye dimba la...
By Kelvin MwaipunguMay 2, 2022FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya kupatia idadi ya mipira...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MWILI wa aliyekuwa Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Rukwa nchini Tanzania, Irene Ndyamkama, utazikwa mkoani Rukwa, Ijumaa ya tarehe 29 Aprili...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, awaondoe madarakani viongozi wa umma hasa wa vyombo vya ulinzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2022HATIMA ya Halima Mdee na wenzake 18 kuendelea kuwa wabunge wa viti maalumu itajulikana tarehe 11 Mei 2022, wajumbe wa Baraza Kuu...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022VIONGOZI mbalimbali wa Benki ya NMB nchini Tanzania wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022KLABU ya Soka ya Simba imeziomba mamlaka husika kuwapatia ulinzi wa kutosha wakati wa safari yao kuelekea nchini Afrika Kusini kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022Spika wa Bunge la Tanzania, Tulia Akson, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuzindua makala maalumu ya kutangaza vivutio vya utalii nchini...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022CHAMA kipya cha siasa nchini Tanzania kinachojinasibisha na ‘Rais wa Wanyonge’, John Magufuli, kimeanza kuleta sintofahamu ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuApril 19, 2022Wanajeshi wawili wamewaua raia 15 kwa kuwapiga risasi katika mashambulio tofauti mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Anaripoti Rhoda Kanuti kwa...
By Masalu ErastoApril 19, 2022UTATA umeibuka juu ya kifo cha Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Yohanne Paul II, iliyoko Mbezi Mshikamano, Dar es Salaam, Padri Francis...
By Mwandishi WetuApril 18, 2022RAIS Samia haikuwa bahati mbaya kuzindulia filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania duniani, Royal Tour nchini Marekani bali ni kutokana na nchi...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ametaja mambo mawili yanayoweza kufanyika ili kupunguza wizi ama...
By Mwandishi WetuApril 15, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania, Charles Kichere amebaini ufanisi duni kwenye mchakato wa utoaji leseni kwa waendeshaji...
By Kelvin MwaipunguApril 15, 2022KLABU ya Orlando Pirates ya nchi Afrika Kusini, mpaka sasa haijatoa taarifa kuwa ni lini inatarajia kuingia nchini, kwa ajili ya mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 14, 2022MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema, mvua za masika Machi- Mei mwaka 2022 zinatarajiwa kuwa chini ya wastani hadi wastani...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022MBUNGE wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai ameituhumu Serikali “inawawekea vikwazo vya kimaendeleo” wananchi wa Tarafa ya Ngorongoro mkoani Arusha kwa kuhamisha fedha za...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022OFISI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imebaini kiasi cha Sh bilioni 22.64 kilichohamishwa kutoka makao makuu ya Mamlaka...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022Mbunge wa Kongwa na Spika Mstaafu wa Bungela Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kwa mara ya kwanza amehudhuria vikao vya...
By Mwandishi WetuApril 13, 2022KLABU ya soka ya Simba imezindua rasmi kampeni ya hamasa kuelekea mchezo wa hatua ya robo fainali wa michuano ya kombe la...
By Kelvin MwaipunguApril 12, 2022MARA baada ya kuibuka mjadala kwenye mitandao ya kijamii juu ya ubora wa mshambuliaji wa klabu Yanga Fiston Mayele, Meneja Habari na...
By Kelvin MwaipunguApril 12, 2022MBUNGE wa Ubungo, Profesa Kitiola Mkumbo amewasha moto bungeni kutokana na Serikali kutochukua hatua yeyote juu ya kupanda bei ya nishati ya...
By Mwandishi WetuApril 8, 2022