May 27, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Dk. Mpango kumwakilisha Rais Samia mkutano SADC

Spread the love

 

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Philip Mpango ameondoka kwenda Lilongwe nchini Malawi kuhudhuria mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Dk. Mpango anakwenda kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika mkutano huo utakaofanyika Jumatano wiki hii, tarehe 12 Januari 2022.

Makamu huo wa Rais, ameondoka leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022 ambapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam, ameagana na viongozi mbalimbali akiwemo

error: Content is protected !!