January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Kigogo kujitosa kumrithi Ndugai

Spread the love

 

KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Kwa mujibu wa taarifa kutoka vyanzo vyetu, kikiwamo Chama Cha Mapinduzi (CCM), kigogo huyo anapewa nafasi kubwa ya kushinda nafasi hiyo, na amepanga kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo kupitia CCM.

“Kati ya leo na kesho, kama mambo yatakwenda kama yalivyo, basi kuna kiongozi mwandamizi serikalini na bungeni, anatarajiwa kuchukua fomu ya kuwania uspika. Hilo likitokea, basi fahamu kuwa huyo ndiye anayeweza kuwa Spika wetu mpya.”

Kigogo gani huyo, soma zaidi Gazeti la Raia Mwema la leo Ijumaa, tarehe 14 Januari 2022

error: Content is protected !!