January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Shule 10 bora kitaifa mtihani wa Kidato cha nne (2021) hizi hapa, Dar yachomoza

Spread the love

 

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam ukitoa shule tatu zilizoingia katika kundi la shule 10 bora kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo tarehe 15, 2022 na Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk. Charles Msonde yameonesha kuwa Shule ya Kemebos iliyokuwa na idadi ya watahiniwa 65 kutoka mkoani Kagera ndiyo iliyoongoza.

error: Content is protected !!