January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Wanafunzi 10 bora kitaifa mtihani wa Kidato cha nne (2021) hawa hapa, wasichana waongoza

Wanafunzi wa kidato cha sita wa Shule ya Sekondari ya Maposeni, Ruvuma, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mtihani

Spread the love

 

Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku wasichana wakiongoza katika kundi la watahiniwa 10 bora kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)

Katika matokeo hayo yaliyotangazwa leo tarehe 15, 2022 na Katibu mtendaji wa Baraza la Mitihani (Necta), Dk. Charles Msonde yameonesha kuwa jumla ya wanafunzi wa kike nane kati ya 10 wameingie kwenye kundi hilo.

Aidha, Shule ya Sekondari ya Wasichana St. Francis iliyopo mkoani mbeya ndiyo iliyotoa wanafunzi watano bora kitaifa kuanzia mshindi wa kwanza.

error: Content is protected !!