Friday , 3 May 2024

Habari za Siasa

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Magufuli: Jitahadharini na corona

  RAIS John Magufuli amewataka Watanzania kujihadhari na ugonjwa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Ametoa wito...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif aliwahi kupigwa mawe Zanzibar –Ismal Jussa

  SAFARI ya Maalim Seif Sharif Hamad, katika harakati za kisiasa Visiwani, haikuwa rahisi. Ilipitia milima na mabonde; miamba na miba; dhuroba na...

Habari za SiasaTangulizi

Vigogo wazidi kukatika, Dk. Likwelile awafuata

  ALIYEKUWA katibu mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango, katika serikali ya Tanzania, Dk. Servasius Beda Likwelile, amefariki dunia. Anaripoti Saed Kubenea…(endelea)....

Habari za Siasa

Chanzo kifo cha Balozi Kijazi chatajwa

  ALIYEKUWA Katibu Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi (64), amefariki dunia kutokana na maradhi ya moyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atoboa siri yake na Balozi Kijazi

  SAFARI ya ushirikiano baina ya Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli na aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi wake, Balozi John Kijazi, ilianza tangu...

Habari za Siasa

Waziri Mpango mgonjwa, Magufuli asoma ‘sms’ aliyotumiwa

  JOHN Magufuli, Rais wa Tanzania, amelazimika kusoma hadharani ujumbe aliotumiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango, ili kukanusha taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asema Maalim Seif alifitinishwa

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, aligoma kukubali wito wa kukutana na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli atangaza siku tatu za maombi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ametangaza siku tatu za maombi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili tarehe 21 Februari 2021, ili Mungu atokomeze...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli aongoza Watanzania kumuaga Balozi Kijazi

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaongoza waombolezaji, kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (64), aliyefariki dunia tarehe 17...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif alivyoacha pigo ACT-Wazalendo, Zitto asema…

  KIFO cha aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea Jumatano tarehe 17 Februari 2021, katika Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Maneno ya mwisho ya Maalim Seif kwa Zitto

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, wosia wa mwisho aliopewa na aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad,...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif ahitimisha safari ya miezi 927 duniani

  MAALIM Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, amehitimisha safari yake ya miezi 927 duniani. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Lowassa: Maalim Seif ameacha ombwe kubwa

  WAZIRI Mkuu wa zamani wa Tanzania, Edward Lowassa amemtaja Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kwamba alikuwa mwanasiasa...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba afukua ya Maalim Seif mwaka 1975

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemueleza Maalim Seif Sharif Hamad kwamba Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kilimzuia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Kikwete aongoza maelfu ya wananchi kumuaga Maalim Seif

RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza maelfu ya wananchi jijini Dar es Salaam, katika ibada ya swala ya maiti ya mwanasiasa...

Habari za SiasaTangulizi

Balozi John Kijazi afariki dunia

  KATIBU Mkuu Kiongozi wa Serikali ya Tanzania, Balozi John Kijazi, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Anaripoti Hamis Mguta,...

Habari za Siasa

Maalim Seif kuzikwa leo Z’bar

  MWILI wa Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, aliyefariki leo Jumatano, tarehe 17 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...

Habari za Siasa

Simba, Yanga zamlilia Maalim Seif

  TIMU za Simba na Yanga za jijini Dar es Salaam, zimetoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif: Jabali la siasa lililoanguka

  MWAMBA wa kisiasa na vuguvugu la demokrasia barani Afrika, umeanguka rasmi na hauwezi tena kurejea ulingoni. Ni Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu...

Habari za SiasaTangulizi

Marekani yaomboleza kifo cha Maalim Seif

  UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umesema, Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (77), alikuwa kiongozi anayeweka mbele watu...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: Ni uchungu kumpoteza Maalim Seif

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania kimesema, kimeshtushwa na kifo cha mwenyekiti wake, Maalim Seif Sharif Hamad, kilichotokea leo Jumatano tarehe 17 Februari...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amlilia Maalim Seif

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliywekuwa Makamu wa Kwanza wa...

Habari za Siasa

Magufuli amtumbua DED Kinondoni

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni (DED) jijini Dar es Salaam, Aron Titus Kagurumjuli. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mwamakula aachiwa kwa dhamana

JESHI la polisi jijini Dar es Salaam, limemuachia kwa dhamana, Askofu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki na Mwenyekiti...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo wataka Askofu Mwamakula kuachiwa huru, asidhihakiwe

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani hatua ya jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam, kumkamata na kumshikilia Askofu Dk. Emmaus Mwamakula,...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Nimempoteza mtu wa karibu katika maisha yangu

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema, taifa limempoteza mzalendo wa dhati na mtetezi shupavu wa Mapinduzi ya Zanzibar, Dk....

Habari za Siasa

Mbunge Nditiye azikwa, ujumbe watolewa

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, sifa na maneno mazuri ambayo yamesemwa kuhusu aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye yatakuwa...

Habari za Siasa

Z’bar ‘yawabana’ watalii kulinda utamaduni

  SERIKIALI ya Mapinduzi Zanzibar imewataka watalii kuzingatia miiko na maadaili ya Mzanzibari hasa katika mavazi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Pigo CCM, Mzee Seif Khatibu afariki

  DAKTARI Mohmmed Seif Katibu, aliyewahi kuwa Mkuu wa Oganizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na waziri katika Serikali ya Jamhuri ya Muungano...

Habari za Siasa

Mwili wa Nditiye waagwa bungeni

  MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhandisi Atashasta Nditiye (52), umeagwa bungeni jijini Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...

Habari za Siasa

Magufuli amlilia mbunge Nditiye

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia kifo cha Mbunge wa Muhambwe (CCM), mkoani...

Habari za SiasaTangulizi

Mwanasiasa mkongwe Bakari Mwapachu afariki dunia

  HARITH Bakari Mwapachu (81), waziri mwandamizi wa zamani amefariki dunia alfajiri ya kuamkia leo Ijumaa tarehe 12 Februari 2021, Hospitali ya Taifa...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli amsulubu hadharani mbunge Abood

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameeleza kutamani mfanyabiashara Rostam Azizi kugombea Jimbo la Morogoro Mjini, ili kumng’oa Abdul-Aziz Abood, mbunge wa jimbo...

Habari za Siasa

Mbunge CCM aliyenusurika kifo kwa ajali, afariki kwa ajali

  MBUNGE wa Muhambwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Kigoma, Mhandisi Atashasta Nditiye, amefariki dunia leo asubuhi Ijumaa tarehe 12 Februari...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ang’oa vigogo ZRB, PBZ

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametengua uteuzi wa Kamishna wa Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB), Joseph Meza na Mkurugenzi Mwendeshaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee ‘apindua’ kauli ya Rais Magufuli

  WAKATI Rais wa Tanzania, John Magufuli akisisitiza kwa wananchi ataendelea kutoa elimu bure, Halim Mdee ambaye ni mbunge asiye na chama baada...

Habari za SiasaTangulizi

Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema…

  KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka, amesimamishwa kazi na chama hicho, kupisha uchunguzi wa tuhuma za...

Habari za Siasa

Spika Ndugai: CCM ilitaabika uchaguzi mkuu 2020

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amelieleza Bunge, katika uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 28 Oktoba 2020, Chama Cha Mapinduzi (CCM), ‘kilitoka...

Habari za SiasaTangulizi

Kisasi cha TRA: Gambo ahoji hatma St. Jude, Spika ataka majibu

  SAKATA la Shule ya St. Jude, iliyoko jijini Arusha, kukabiliwa na ukata uliosababishwa na fedha zake kuzuiliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania...

Habari za Siasa

Mbunge ataka elimu bure kidato tano na sita, serikali yamjibu

  BONIFACE Mwita Getere, Bunda Vijijini (CCM), ameitaka serikali kueleza, kwamba ina mpango gani wa kukamilisha dhana ya elimu bure. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

ElimuHabari za Siasa

Waraka wa corona wamponza Prof. Bisanda wa Chuo Kikuu

WARAKA kuhusu tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), uliotolewa na Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo ‘wamtesti’ Dk. Mwinyi

  CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimemshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda “tume ya maridhiano” ili kutibu vidonda vya uchaguzi mkuu uliyopita,...

Habari za SiasaTangulizi

Wapinzani washangaa wabunge CCM kujipendekeza kwa Magufuli

KASI ya “kujipendekeza” ya baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli, imeshangaza waengi, wakiwamo viongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Simulizi ya mwanasiasa mkongwe wa upinzani, Anthony Komu

  ANTHONY Calist Komu, mwanasiasa mkongwe nchini Tanzania amesema, ndoto zake zilikuwa awe padre, lakini akajikuta anakuwa mwanasiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Ahadi ya Kikwete abebeshwa Rais Magufuli

  MBUNGE wa Same Magharibi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), David Mathayo David, amehoji ni lini Serikali ya awamu ya tano inayongozwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Arcado Ntangazwa afariki dunia

  WAZIRI wa zamani katika serikali za awamu ya Kwanza, Pili na Tatu, Arcado Ntagazwa (75) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi akwepa kumzungumzia Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amekwepa kuzungumzia hali ya makamu wake wa kwanza, Maalim Seif Sharif Hamad. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari za Siasa

Kifo cha Loya, Zitto amlilia

  MTENDAJI Mkuu wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Daniel Loya amefariki dunia asubuhi ya leo Jumatano, katika Hospitali ya Lugalo alikokuwa anapatiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aivuruga serikali, waziri amvaa

  HALIMA Mdee, mbunge asiye na chama bungeni, amekosoa Mpango wa Maendeleo wa Serikali, kwamba ‘hakuna kitu.’ Anaripoti Mwandshi Wetu, Dodoma…(endelea). Akichangia mpango huo...

Habari za Siasa

Siku 100 za Dk. Mwinyi madarakani

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema katika siku 100 za uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha umoja wa Wazanzibari na kuongeza ukusanyaji mapato....

error: Content is protected !!