Saturday , 4 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Kifo cha Loya, Zitto amlilia

  MTENDAJI Mkuu wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Daniel Loya amefariki dunia asubuhi ya leo Jumatano, katika Hospitali ya Lugalo alikokuwa anapatiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aivuruga serikali, waziri amvaa

  HALIMA Mdee, mbunge asiye na chama bungeni, amekosoa Mpango wa Maendeleo wa Serikali, kwamba ‘hakuna kitu.’ Anaripoti Mwandshi Wetu, Dodoma…(endelea). Akichangia mpango huo...

Habari za Siasa

Siku 100 za Dk. Mwinyi madarakani

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi amesema katika siku 100 za uongozi wake, amefanikiwa kuimarisha umoja wa Wazanzibari na kuongeza ukusanyaji mapato....

Habari za Siasa

Nape: Biashara zinafungwa, kodi kubwa

  KIWANGO kikubwa cha kodi kwa wafanyabiashara, kimesababisha biasharanyingi kufungwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Nape Nnauye, Mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Moto Katiba Mpya wachipuka upinzani

  KASI ya kutaka Katiba Mpya kabla ya uchaguzi mkuu 2025, imevisukuma vyama vya upinzani kutaka kuungana. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Ajenda 5 zimewapeleka ACT-Wazalendo bungeni

  CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kimewapeleka wanachama wake wanne bungeni ili wakasimamie ajenda tano za chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Polepole: JPM hatoongeza muda, itabaki hivyo

HUMPHREY Polepole, mbunge wa kuteuliwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema mwenyekiti wake Rais John Magufuli hatoongeza...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mdee, wenzake: Prof. Safari, Lissu watofautiana

  WAKATI Tundu Lissu, Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), akieleza chama hicho ‘kujivuwa’ kuwapeleka mahakamani Halima Mdee na wenzake,...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Mwinyi atumia mbinu ya JPM kuwabana mafisadi Z’bar

  HATUA iliyochukuliwa na Rais John Magufuli kuanzisha Mahakama ya Mafisadi mwaka 2016, mahakama hiyo sasa inaanzishwa visiwani Zanzibar. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ‘aichana’ serikali

JOSEPH Msukuma, Mbunge wa Shinyanga Vijijini amesema, serikali imekuwa ikiwekeza mabilioni ya fedha katika miradi ambayo haina faida kwa Taifa. Anaripoti Mwamdishi Wetu,...

Habari za Siasa

Mbunge CCM akumbushia ahadi ya Magufuli bungeni

AHADI aliyoitoa Rais wa Tanzania, John Magufuli wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, Itigi mkoani Singida, kwamba atajenga barabara za...

Habari za Siasa

Mrithi wa Umbulla aapishwa bungeni

YUSTINA Rahhi, Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), ameapishwa leo Jumatatu tarehe 8 Februari 2021, kuchukuna nafasi ya Martha Jecha Umbulla aliyefariki dunia tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Mjadala JPM kuongezewa muda uachwe huru – Butiku

  JOSEPH Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ametaka mjadala wa Rais John Magufuli kuongezewa muda wa kutawala, uachwe huru. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Bunge lazidi kuwakingia kifua waliofukuzwa Chadema

  TUHUMA kwamba Bunge la Tanzania nidhaifu zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), zimepingwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Katiba Mpya, Tume Huru,Masheikh Uamsho, vyatikisa Bunge

MALALAMIKO kuhusu katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, muungano na masheikh wa Uamsho viliibuka bungeni wakati wa mjadala wa Hotuba ya Rais John...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu abadili mbinu kumng’oa Mdee, wenzake bungeni

  TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amebadili mbinu ya kuwakabili Halima Mdee na wenzake 18 kuwazuia kuhudhuria...

Habari za SiasaTangulizi

Lema arusha dongo bungeni

  LICHA ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na wabunge kutoka upinzani, Godbless Lemba ambaye alikuwa Mbunge wa Arusha Mjini...

Habari za Siasa

Miaka 44 ya CCM: Dk. Bashiru ‘hatujapotea’

DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ametetea chama chake kwamba hakijapetea katika misingi ya demokrasia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai aeleza kinachowaangusha wabunge kurejea bungeni

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ametahadharisha wabunge, wasikae kimya vinginevyo watashindwa kurudi bungeni mwaka 2025. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

AfyaHabari za Siasa

Ndugai ashtushwa gharama mashine za upumuaji

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshtushwa na gharama kubwa za mashine za kusaidia upumuaji kwa watu wenye tatizo hilo, zinazotolewa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Safari afurahia Kiswahili kutumika mahakamani, atahadharisha

  PROF.  Abdallah Safari, wakili wa Mahakama Kuu nchini Tanzania na gwiji wa sheria za jinai katika Afrika Mashariki anasema, ni uamuzi sahihi...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kupangua wakurugenzi makao makuu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanyia mabadiliko makubwa muundo wake wa sektarieti ya Kamati Kuu (CC), kwa lengo la kujipanga ili...

Habari za Siasa

Mdee, wenzake wamchokonoa Lissu

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara, Tundu Antipas Lissu, amekosoa hatua ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,...

Habari za Siasa

Rais Magufuli akerwa na wizara ya Dk. Mwigulu

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameonesha kukerwa na hatua ya Wizara ya Katiba na Sheria, inayoongozwa na Waziri, Dk. Mwigulu Nchemba kwa...

Habari za Siasa

Safari matumizi ya Kiswahili mahakamani yaanza

  WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, wizara yake imezungumza na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kwa ajili...

Habari za Siasa

Ni mbwembwe, ‘wabunge wa Chadema’ wakitinga bungeni

  WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewakaribisha wabunge kutoka Chama cha ACT-Wazalendo na wale waliotimuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya North Mara: Kiswahili champandisha cheo Jaji

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amempandisha cheo Jaji Zepharine Galeba, Jaji wa Mahakama Kuu, Kanda ya Musoma kuwa Jaji wa Mahakama ya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba aibua mjadala Katiba mpya mbele ya Magufuli

  PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), amemkumbusa Rais wa Tanzania, John Magufuli kutekeleza ahadi yake aliyoitoa Mwaka 2015 ya...

Habari za SiasaTangulizi

Makamo wa  Kwanza wa Rais Zanzibar, athibitika kuugua Corona

  MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, amepata maambukizi ya virusi hatari vya Corona (Covid 19). Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Serikali: JPM atakuwa mkali zaidi

  WATUMISHI wa serikali na wale wanaopewa kazi na serikali, wametakiwa kuzifanya kwa ufanisi mkubwa kwa kuwa, Rais John Magufuli atakuwa mkali zaidi...

Habari za Siasa

COVID-19: Serikali ‘hatuwezi kuepuka’

  SERIKALI imeeleza kwamba, kutokana na muingiliano na mataifa mengine duniani, haiwezi kuepuka tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari za Siasa

JPM: Hakuna vya bure

  RAIS John Magufuli amewaambia wakazi wa Bahi, Dodoma na Tanzania kwa ujumla kwamba, ‘hakuna vya bure.’ Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Bawacha wajipanga ‘kuwazika’ Mdee na wenzake

  BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), linapanga mkakati mzito unaolenga kumzika kabisa kisiasa, aliyekuwa mwenyekiti wao wa taifa,...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi unaoaminika, hauwezi kusimamiwa na wanaotiliwa shaka – Dk. Amani Karume

  WIKI mbili zilizopita, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dk. Amani Abeid Karume, alizungumzia kwa kirefu historia ya Mapinduzi Visiwani. Akakumbusha jinsi mwafaka wa...

AfyaHabari za Siasa

Magufuli aagiza madaktari waliokimbia kazini watafutwe

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza madaktari wanaopangiwa ajira katika hospitali za umma kisha wanakimbilia kwenye hospitali binafsi kwa kigezo cha masilahi...

Habari za Siasa

Dk. Mwinyi awakumbusha wajibu wao wateule wake

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi amewasisitiza viongozi aliowateua kwenda kwa wananchi kuwasikiliza changamoto walizonazo na kuyatafutia ufumbuzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...

Habari za Siasa

COVID-19: CUF, ACT-Wazalendo ‘waifuata’ serikali

  SIKU chache kupita baada ya viongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania kutoa mwongozo kuhusu kujikinga na maambukizi mapya ya virusi vya corona, Chama...

Habari za Siasa

Madiwani CCM wabaini uchafuzi mazingira Makurumla, Mzimuni

  MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Makurumla Manispaa ya Ubungo, Bakari Kimwanga na mwenzake wa Mzimuni Manispaa ya Kinondoni, Manfred Lyoto...

Habari za Siasa

Chadema: Hatujapokea hata senti moja ya ruzuku

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa...

Habari za Siasa

Magufuli ampongeza Waziri Aweso, amuonya ‘ningekufukuza’

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amemuagiza Waziri wa Maji, Jumaa Aweso kutowachekea wakandarasi wanaoshindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Vitambulisho vipya vya machinga 1 Aprili, Ma-RC, DC wapewa maagizo

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, vitambulisho vipya vya Wamachinga vilivyofanyiwa maboresho vikiwa na picha ya muhusika na baadhi ya kumbukumbu...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Maambukizi ya corona: Taifa njia panda

  MKANG’ANYIKO wa taarifa juu ya virusi hatari vya corona (Covid-19), nchini Tanzania, unazidi kuwaweka wananchi njia panda. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Ziara ya JPM: DED Kahama anusurika, aipandisha hadhi

RAIS wa Tanzania, John Magufuli amemsamehe kumfuta kazi, Anderson Msumba, Mkurugenzi wa Halmshauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga aliyetuhumiwa kununua gari kinyume...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wajifungia Zanzibar, Kina Mdee…

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimejifungia Visiwani Zanzibar, kuweka mkakati wake wa kisiasa, ili kuweza kukabiliana na Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Mbatia: Tuchukue tahadhari ya corona

  JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, ameshauri wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya maambukizi ya virusi...

Habari za SiasaTangulizi

Corona: JPM ‘hatutegemei kujifungia’

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema, hana mpango wa kuifungia nchi (lock down), kutokana na hofu ya maambukizi ya virusi vya corona...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asamehe wafungwa, mahabusu 1,787 wa Ethiopia

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametangaza msahama wa wafungwa na mahabusu 1,789 wa Ethiopia wanaoshikiliwa katika mahabusu na magereza mbalimbali nchini...

Habari za Siasa

Dada wa Spika Ndugai afariki, azikwa

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshiriki mazishi ya Mary Ndugai, dada wa Spika wa Bunge, Job Ndugai. Anaripoti Mwandishi Wetu, Mpwapwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Ethiopia apimwa joto, ‘apakwa’ vitakasa mikono Chato

  KATIKA kuchukua tahadhari dhidi ya kusambaa kwa maambukizo ya virusi vya corona (COVID-19), Sahle – Work Zewde, Rais wa Ethiopia amepimwa joto...

Habari za Siasa

Mama Samia: Amani inatokana na haki

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Anaripoti Brightness Boaz … (endelea). Akizungumza wakati wa...

error: Content is protected !!