KATIKA kuchukua tahadhari dhidi ya kusambaa kwa maambukizo ya virusi vya corona (COVID-19), Sahle – Work Zewde, Rais wa Ethiopia amepimwa joto...
By Hamisi MgutaJanuary 25, 2021MAMA Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Anaripoti Brightness Boaz … (endelea). Akizungumza wakati wa...
By Masalu ErastoJanuary 24, 2021KASSIM Majaliwa, Waziri Mkuu wa Tanzania ametaka watu wanaosumbua wawekezaji kwa kuwaongezea gharama, waripotiwe. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa…(endelea). Na kwamba, wawekezaji hao...
By Mwandishi WetuJanuary 24, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), David Silinde ameagiza halmashauri zote nchini Tanzania, kuhakikisha hakuna mwanafunzi...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021ALIYEKUWA mgombea Udiwani wa Saranga Jimbo la Kibamba, Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, Frank Rugwana ametangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Hamisi MgutaJanuary 23, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha Sh.18.9 milioni, kati ya hizo, Sh.10 milioni zimetolewa na...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimemsihi Joe Biden, Rais wa Marekani kupingana pia kuchukua hatua dhidi ya mataifa ya Kiafrika yanayokandamiza demokrasia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali itahakikisha changamoto zote zilizokuwa zinawakabili wakulima wa zao la mkonge nchini humo, ikiwemo ya kuibiwa...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesihi Wazanzibari kuendelea kustahamili shida kabla ya kutarajia matokeo ya haraka ya...
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021MHANDISI Deusdedit Kakoko, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari (TPA) amesema, yeye ni miongoni mwa watu wanaochunguzwa katika sakata la kuisababishia hasara serikali....
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021TUME ya taifa ya uchaguzi nchini (NEC), imeitaka serikali ya Marekani kueleza, ni namna gani uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Hamisi MgutaJanuary 21, 2021MARTHA Jachi Umbulla, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 21 Januari 2020....
By Masalu ErastoJanuary 21, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeitaka Marekani kueleza namna Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulivyoingiliwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ameziagiza Halmashauri zinazolima mkonge nchini pamoja na wakulima wakubwa wa mkonge, watenge ekari kumi kwa akili ya...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2021WAZIRI wa Afya nchini Tanzania, Dk. Dorothy Gwajima, amewasimamisha watumishi watano wa Hospitali ya Wilaya ya Nansio Ukerewe jijini Mwanza, kupisha uchunguzi wa...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021KAMPUNI ya LZ Nickel Limited ya nchini Uingereza, imefuata nyayo za Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corparation, kwa kuingia ubia na Serikali...
By Regina MkondeJanuary 19, 2021PAMOJA na mmiliki wa sasa wa mgodi wa dhahabu wa Buzwagi, kampuni ya Acacia Mining, kutangaza kutaka kufunga mgodi wake, serikali ya Tanzania...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2021HATIMAYE Naghenjwa Kaboyoka, aliyekuwa mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), amerejeshwa tena kuongoza nafasi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma...
By Danson KaijageJanuary 19, 2021ALIYEKUWA katibu mkuu wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), nchini Tanzania, Grace Tendega, amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Kamati...
By Danson KaijageJanuary 18, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kujenga vyuo vya ufundi stadi vitakavyokuwa chini ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), katika kila...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ameutaka uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam, kuhakikisha inamaliza tatizo la wanafunzi wa Shule ya Msingi,...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Matumizi ya Ardhi, Dk. Steven Nindi. Anaripoti...
By Hamisi MgutaJanuary 17, 2021CHAMA cha NCCR- Magezi, nchini Tanzania, kimefanya mabadiliko makubwa katika uongozi wake wa kitaifa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Katika mabadiliko hayo, Martha Chiomba, ambaye alikuwa...
By Hamisi MgutaJanuary 17, 2021MRISHO Gambo, Mbunge wa Arusha Mjini anapiga yowe kwamba, anahujumiwa na baadhi ya viongozi wa Serikali ya Chama Chama Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021HOSPITALI ya Uhuru, Dodoma inayojengwa kwa gharama ya Sh. 3.9 Bilioni, imeanza kutoa huduma kwa wagonjwa wa nje. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kauli hiyo imetolewa...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021RAIS John Magufuli amewataka Watanzania, kulima mazao hasa ya chakula, ili kuzisaidia nchi ambazo zinashindwa kulima kutokana na kufungiwa ndani, kujikinga na maambukizi...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021KAZI ya kumwaga sumu ya ubaguzi miongoni mwa Wazanzibari, inayofanywa na Dk. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na makamu wake wa kwanza...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021JOSEPH Mafuru, Mkurugenzi wa Jiji la Dodoma, amewataka wananchi wanaokwenda kununua ardhi jijini humo kutuliza akili, vinginevyo watanunua sehemu zilizotengwa kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJanuary 17, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, NCCR-Mageuzi “Katiba Mpya ni takwa la lazima kwa Watanzania, penda usipende.” Anaripoti Hamis Mguta, Dar es...
By Hamisi MgutaJanuary 16, 2021MAOFISA kadhaa wa ngazi ya juu, kutoka vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wamesimamishwa kazi kwa tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2021JENISTA Mhagama, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Sera, Ajira, Vijana na Wenye ulemavu amemwagiza Msajili wa Vyama vya Wafanyakazi na...
By Danson KaijageJanuary 15, 2021JOSEPH Haule, maarufu Profesa Jay amesema, yeye ni mbunge nje ya Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema hayo leo...
By Masalu ErastoJanuary 14, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Iringa kimetengeneza utaratibu mpya wa kuwapima madiwani na wabunge wake. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa … (endelea). Sasa...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021DAKTARI John Magufuli, Rais wa Tanzania amemwomba Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar kumsaidia Dk. Hussein Ali Mwinyi, rais...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar kushirikiana na Serikali yake kufanya mageuzi ya kiuchumi, ili kuyaenzi mapinduzi matukufu ya tarehe 12 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, ametoa msamaha kwa wafungwa 49, waliokuwa wakitumikia magereza ya Unguja na Pemba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar … (endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli amesema Wilaya ya Chato iliyoko mkoani Geita, ilianza kujengwa na Baba wa Taifa, Hayati Julius Nyerere. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaJanuary 11, 2021MARAIS John Magufuli wa Tanzania na Filipe Nyusi wa Msumbiji, wametoa maagizo kwa watendaji wanaosimamia ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Chato...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, amewataka watumishi wa ofisi yake, wanakuwa nadhifu kuanzia mavazi mpaka maeneo yao...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2021DAKTARI Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amekinzana na kauli aliyoitoa Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
By Mwandishi WetuJanuary 9, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Baraza la Taifa na Waziri wa Mambo ya Nje wa...
By Masalu ErastoJanuary 8, 2021UAMUZI wa Chama cha ACT-Wazalendo kushiriki katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani Zanzibar (SUK), unaonekana kuwa wa busara. Anaandika Mwandishi Wetu, Zanzibar…(endelea)....
By Mwandishi WetuJanuary 8, 2021DK. Aman Abeid Karume, rais mstaafu wa Zanzibar amesema, kukosekana kwa wawakilishi wa vyama vya upinzani bungeni na Baraza la Wawakilishi, kunachochea Serikali...
By Masalu ErastoJanuary 8, 2021MAALIM Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ameeleza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa ajira ikiwa ni hatua za kutibu ubaguzi...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2021RAIS mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume, amesifu hatua ya Maalim Seif Sharif Hamad, kukubali kujiunga katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa visiwani...
By Masalu ErastoJanuary 7, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amewataka Watanzania waliosimama na upinzani katika uchaguzi mkuu uliopita mwaka 2020, wasiogope. Anaripoti Mwamdishi...
By Hamisi MgutaJanuary 5, 2021HATUA ya Bernard Membe, aliyekuwa mshauri mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, kukitelekeza chama hicho, imekera viongozi wake. Anaripoti Brigthness Boaz, Dar es Salaam...
By Masalu ErastoJanuary 4, 2021MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar …...
By Mwandishi WetuJanuary 2, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea). Katika...
By Yusuph KatimbaJanuary 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu, amevishauri vyama vya siasa vya upinzani nchini humo, kutoshiriki...
By Mwandishi WetuJanuary 1, 2021