Michezo

Michezo

Chelsea, Manchester City wapigwa faini

HATIMAYE chama Soka England (FA) imezipiga faini klabu za Manchester City na Chelsea kufuatia wachezaji wao kuhusika kwenye vurugu wakati wa mchezo wa ligi kuu uliokutanisha klabu hizo Disemba 3 ...

Read More »

Utata juu ya tuzo ya Ronaldo

SIKU chache baada ya mshambuliaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo kushinda tuzo ya mchezaji bora wa dunia inayotolewa na moja ya gazeti nchini Ufaransa ...

Read More »

Kiungo Genk kuchukua nafasi ya Kante Leicester City

MABINGWA watetezi wa ligi kuu nchini England, Leicester City wanatarajia kukamilisha usajili wa kiungo Wilfred Ndindi raia wa Nigeria anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Ubergiji katika dirisha dogo ...

Read More »

Arsenal yatupwa tena kwa Bayern UEFA

HATIMAYE droo ya Ligi ya Mabingwa Ulaya katika hatua ya 16 bora imefanyika mchana wa leo, nakushuhudia timu vigogo zitakazomenyana katika hatua hiyo kuelekea fainali ya kombe hilo Juni 3 mwakani ...

Read More »

Benzema afikisha mabao 50 UEFA

BAADA ya jana kupachika mabao mawili katika mchezo uliowakutanisha timu yake ya Real Madrid dhidi ya Borussia Dortmund uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2 katika dimba la Santiago Bernabeu, hatimaye ...

Read More »

Saanya, Mpenzu waondolewa Ligi Kuu

WAAMUZI waliochezesha mchezo namba 49 kati ya Yanga na Simba katika mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Martin Saanya na Samwel Mpenzu wametolewa katika ratiba ya michezo ya ...

Read More »

Sanchez apata ‘dili’ nono China

LICHA ya Arsenal kumpa ofa nono ya pauni laki mbili, Alexis Sanchez kwa wiki kama akikubali kuongeza mkataba wake ambao umebakisha miezi 18, lakini kiungo huyo amepata ofa kutoka kwenye moja ya klabu inayo ...

Read More »

Ratiba FA Cup hadharani

HATIMAYE ratiba ya mzunguko wa tatu wa Kombe la Chama cha Soka England (FA CUP) tayari imetolewa, anaandika Kelvin Mwaipungu. Jumla ya michezo 32 itapigwa kati ya tarehe 6-9 Januari ...

Read More »

Simba kujichimbia Morogoro

KATIKA kujiandaa na mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara hatimaye kikosi cha Simba kitakwenda kuweka kambi kwa wiki mbili mkoani Morogoro chini ya makocha wao Joseph Omog na ...

Read More »

Nape atuma salamu za rambirambi

WAZIRI wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ametuma salamu za rambirambi kwa familia, ndugu na jamaa pamoja na wanamichezo wote kufuatia kifo cha mchezaji wa timu ya vijana ...

Read More »

Urefu wa Fellain haukumsaidia Mourinho

BAADA ya kutoka sare katika mchezo wa jana wa Ligi Kuu England dhidi ya Everton, hatimaye kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ametoa ufafanuzi kwanini alifanya maamuzi ya kumuingiza Marouane ...

Read More »

Mlinda mlango wa Chapecoense astaafu soka

MLINDA mlango wa klabu ya Chapecoense, Jose Nivaldo (42) ametangaza kustafu mchezo wa soka kufuatia ajali ya ndege iliyotokea nchini Colombia juzi nakupoteza maisha ya baadhi ya nyota na viongozi ...

Read More »

Woodburn avunja rekodi ya Owen

KINDA wa klabu ya Liverpool, Ben Woodburn (17), ameweka rekodi ya kuwa mchezaji aliyefunga goli akiwa na umri mdogo katika historia ya klabu hiyo toka kuanzishwa kwake, anaandika Kelvin Mwaipungu. ...

Read More »

Kiganja anafichua kilichofichika

UNAIKUMBUKA habari iliyoandikwa na gazeti hili katika toleo Na. 361 la Oktoba 17-23, 2016, iliyokwenda kwa maneno ‘Rais Magufuli ashtukia dili.’ Kama haukubahatika kuisoma itafute isome zaidi ya mara moja, ...

Read More »

‘Buriani Thomas Mashali’

THOMAS Mashali, aliyekuwa bondia mashuhuri nchini Tanzania, amezikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashabiki, wapenzi wa ndondi, wananchi na wanafamilia kwa pamoja leo ...

Read More »

Bondia Mashali kuzikwa leo

THOMAS Mashali, mmoja kati ya mabondia mashuhuri nchini Tanzania, atazikwa leo kwenye makaburi ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mashali ambaye ana rekodi ya kipekee kwenye mchezo ...

Read More »

Wenger: Ramsey yupo fiti kurejea uwanjani.

Kocha wa klabu ya Arsenal ya nchini England Arsene Wenger amethibitisha kiungo wake raia wa Wailes Aaron Ramsey atarejea dimbani katika mchezo unaofuta wa ligi dhidi ya Sunderland baada ya ...

Read More »

Plujim Kurejea tena Yanga?

HATIMAYE uongozi wa Klabu ya Yanga umeandikia barua ya kumuomba Hans Van De Plujim, aliyekuwa kocha kabla ya kujiuzulu afute maamuzi hayo na kurejea tena kuendelea kuinoa klabu hiyo, anaandika Kelvin ...

Read More »

Man City yairudia rekodi yao mbovu

SAHAU kupoteza mchezo kwa kukubali kipigo cha bao 1-0 dhidi ya Manchester United na kutupwa nje kwenye Kombe la Ligi, lakini Manchester City haikufanikiwa kupiga shuti hata mmoja liliolenga lango ...

Read More »

Kapombe fiti kuivaa Kagera Sugar

BEKI wa kulia wa Klabu ya Azam FC, Shoamri Kapombe anatarajia kurejea dimbani Ijumaa hii katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar baada ya kusumbuliwa na ...

Read More »

Man City kumweka Mourinho njia panda

BAADA ya kutofanya vizuri kwa takribani michezo mitatu kwenye Ligi Kuu ya England, Manchester United ikiongozwa na Jose Mourinho wapo kwenye kibarua kingine leo kwa kuwakaribisha mahasimu wao Manchester City ...

Read More »

Mwenyekiti Yanga akubali amri ya Mahakama

MWENYEKITI wa klabu ya Yanga ametangaza kuahirisha Mkutano Mkuu wa dhalura wa wanachama, uliokuwa ufanyike kesho tarehe 23 Oktoba, 2016 katika Uwanja wa Kaunda uliopo makao makuu ya klabu hiyo ...

Read More »

Samatta amlilia Farid Mussa

MSHAMBULIAJI wa KRC Genk na nahonda wa timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amekuwa katika sintofahamu juu ya Farid Mussa mchezaji wa Azam FC kwenda kucheza soka la kulipwa ...

Read More »

Hagreves: Carrick ndio mtu sahihi wa kucheza na Pogba

KIUNGO wa zamani wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Uingereza, Owen Hagreves amesema Maichael Carrick ndio mchezaji sahihi wa kucheza na Paul Pogba katika eneo la ...

Read More »

BMT yatia mchanga ‘kitumbua cha Yanga’

Baraza la Michezo hapa nchini (BMT), kupitia kwa Mohammed Kiganja, Katibu Mkuu wake, limetangaza kutotambua ukodishwaji wa Klabu ya Yanga  na kusema kuwa ni kinyume na Katiba ya klabu hiyo, ...

Read More »

Mkataba wa Yanga kukodishwa huu hapa

  BODI ya Wadhamini wa klabu ya Yanga, umeweka hadharani mkataba wa kuikodisha timu hiyo kwa miaka 10 kwa mkodishwaji, anaandika Kelvin Mwaipungu. Ufuatao ni mkataba kamili wa kuikodishwa klabu ...

Read More »

Viungo Simba, Yanga kuamua matokeo

Mara nyingi ukifuatilia historia ya michezo ya mahasimu wa mji mmoja ‘Derby’ baina ya Simba na Yanga, matokeo ya mchezo huo mara nyingi huamuliwa na ufundi unaooneshwa eneo la kati ...

Read More »

‘Hisabati’ za Simba na Yanga kuelekea Oktoba Mosi

  KUELEKEA mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga katika Ligi Kuu soka Tanzania Bara, siku ya Oktoba Mosi mwaka huu utakaofanyika katika uwanja wa Taifa jijini Dar es ...

Read More »

Wabunge wa Simba na Yanga vitani

WABUNGE wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambao ni mashabiki wa klabu za Simba na Yanga, wanatarajia kucheza mchezo maalum wa mpira wa miguu wenye lengo la kukusanya ...

Read More »

Simba yaomba kulikimbia ‘shamba la bibi’

BAADA ya kuutumia Uwanja wa Uhuru kwa michezo mitatu ya ligi kuu soka ya Tanzania Bara, uongozi wa klabu ya Simba umeandika barua kwa Shirikisho la soka nchini (TFF) na ...

Read More »

Yanga kwazidi kufukuta, Akilimali atimuliwa

VIONGOZI wa Umoja wa Matawi wa Klabu ya Yanga umemsimamisha uanachama Ibrahim Akilimali, Katibu wa Baraza la Wazee wa klabu hiyo katika kikao cha dharula kilichofanyika Jangwani asubuhi ya leo, ...

Read More »

Basata lamfungia Nay wa Mitego

BARAZA la Sanaa la Taifa (Basata) limemfungia kwa kipindi kisichojulikana Emamnuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, msanii wa muziki wa kizazi kipya, anaandika Regina Mkonde. Godfrey Mngereza, Katibu Mtendaji BASATA amesema, ...

Read More »

JK: ‘Nilimpaisha’ Diamond

DK. Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu amesema kuwa, yeye ni miongoni mwa ‘waliompaisha’ Nasibu Abduli maarufu kwa jina la Diamond Platinum, anaandika Dany Tibason. Amesema, akiwa madarakani amemsaidia kumuunganisha na wasanii ...

Read More »

Baba Kundambanda afariki Dunia

ISMAIL Issa Makombe ‘Baba Kundambanda’, msanii maarufu wa vichekesho na aliyekuwa mgombea Ubunge wa Jimbo la Masasi kwa tiketi ya CUF, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, anaandika Hamisi Mguta. Akizungumza ...

Read More »

Mahakama yamsaka meneja wa Diamond ‘Babu Tale’

  MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetoa hati ya kukamatwa kwa Hamis Tale ‘Babu Tale,’ ambaye ni meneja wa mwanamuziki wa bongo fleva, Diamond Platnumz, anaandika Faki Sosi. Mahakama ...

Read More »

Vodacom yadhamini ziara ya wahariri Nairobi

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, ambayo ndiyo wadhamini wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, imekabidhi hundi ya Shilingi Milioni sita kwa ajili ya kudhamini ziara ya mafunzo ...

Read More »

Mohammed Ali afariki dunia

MOHAMMED Ali, aliyekuwa bondia wa kwanza maarufu na mwenye asili ya Kiafrika, Raia wa Marekani, amefariki leo asubuhi. Bondia huyo amefariki leo akiwa na umri wa miaka 74. Taarifa kutoka ...

Read More »

Van Gal ‘out’, Mourinho ‘in’ Man Utd

KLABU ya Manchester United imetangaza kuachana na Kocha wake, Luis van Gaal, huku nafasi yake ikitarajiwa kuchukuliwa na Jose Mourinho muda wowote kuanzia sasa, anaandika Kelvin Mwaipungu. Pamoja na Van ...

Read More »

Mkwasa atangaza kikosi cha Stars

KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Boniface Mkwasa ametaja kikosi cha wachezaji 26 kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi ya kirafiki dhidi ya Kenya na ile ya kufuzu kwa ...

Read More »

Snura awaomba radhi Watanzania kwa video ya Chura

BAADA ya wimbo wake wa Chura kufungiwa na Serikali jana, Msanii Snura Mushi, leo ameibuka na kuomba radhi na kuahidi kutekeleza maagizo ya serikali, anaandika Regina Mkonde. Wimbo huo ulipigwa ...

Read More »

Katiba yawasumbua mpira wa mikono

CHAMA cha mpira wa mikono Tanzania (TAHA) kimetakiwa kufuata sheria na taratibu za usajili wa katiba wanayoitaka kama walivyoagizwa na Msajili wa vyama vya michezo nchini, anaandika Aisha Amran. Rai ...

Read More »

Waliopanga matokeo washushwa daraja, wafungiwa maisha

KAMATI ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imetoa hukumu ya timu za daraja la kwanza zilizokuwa zinatuhumiwa kupanga matokeo katika michezo yao ya mwisho ya Kundi ...

Read More »

Mbeya City yaididimiza Coastal, Mwadui hoi nyumbani

HALI ya Coastal Union imedizi kuwa mbaya baada ya kukubali kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Mbeya City katika mchezo uliocheza kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, anaandika Kelvin Mwaipungu. ...

Read More »

Yanga, Azam zatinga nusu fainali.

KLABU za Azam FC na Yanga zimetinga robo fainali baada ya kufanikiwa kusonga mbele nkwenye fainali za kombe la Shirikisho baada ya kupata ushindi katika Michezo yao iliyochezwa  leo ya ...

Read More »

Misri, Nigeria zaishusha pumzi Stars

SARE waliyoipata Nigeria na Misri imepunguza presha ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, kufuzu kucheza Fainali za Kombe la Mataifa Afrika 2017 (AFCON)zilizopangwa kufanyika nchini Gabon, anaandika Kelvin Mwaipungu. Mchezo ...

Read More »

Niyonzima kuwakosa Al-Ahly

HARUNA Niyonzima ataukosa mchezo wa kwanza wa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati kikosi chake cha Yanga kitakapovaana na Al-Ahly ya Misri Aprili 9, mwaka huu, kwenye Uwanja wa Taifa, ...

Read More »

Azam FC yawasambaratisha Wasauzi

AZAM FC imefanikiwa kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, baada ya kuiadhibu Bidvest Wits ya Afrika Kusini kwa mabao 4-3, mchezo uliyochezwa kwenye Uwanja wa Azam Complex, ...

Read More »

Yanga yasonga mbele Ligi ya Mabingwa Afrika

[pullquote][/pullquote]PAMOJA na klabu ya Yanga kushindwa kutamba katika Uwanja wa nyumbani kwa kulazimishwa rase ya bao 1-1 dhidi ya APR ya Rwanda lakini wamesonga mbele katika Ligi ya Mabingwa Afrika, ...

Read More »

Robo fainali Uefa, Europa hadharani

SHIRIKISHO la Soka Barani Ulaya (Uefa) limetoa ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya droo iliyochezeshwa leo mapema, anaandika Erasto Masalu. Katika ratiba hiyo, Manchester City ...

Read More »

Nape kuzindua Miss Tanzania 2016

NAPE Nnauye, Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo anatarajia kuwa mgeni rasmi katika shindano la urembo la Miss Tanzania 2016 katika Hoteli ya Ramada Resort jijini Dar es Salaam, ...

Read More »
error: Content is protected !!