MKUU wa Chuo cha Uhamiaji, Mrakibu Moses Lusamba, amesema jumla ya askari 818 wamehitimu mafunzo ya awali ya chuo cha uhamiaji huku...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022KAMSHINA Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji Dk. Anna Makalala amesema kuanzishwa kwa Chuo cha Uhamiaji kutakua ni chachu ya maendelo na usalama...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022MKUU wa mkoa wa Tanga, Omary Mgumba, amelezea faida za uwepo wa chuo cha mafunzo cha uhamiaji mkoani Tanga ikiwemo kuimarisha ulinzi...
By Masalu ErastoAugust 15, 2022RAIS wa Jamhurii ya uungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Kamishna Jenerali wa Jeshi La Uhamiaji, Dk. Anna Makakala, “kuwashughulikia” maofisa...
By Mwandishi WetuAugust 15, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wazazi na walezi wa mkoa wa Iringa kuacha kuwapa watoto wao pombe ya kienyeji aina ya...
By Gabriel MushiAugust 13, 2022MKUU wa mkoa Dar es salaam Amosi Makala awapa siku 14, kamanda wa kikosi cha usalama barabarani kanda maalumu ya Dar es...
By Masalu ErastoAugust 12, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania leo tarehe 12 Agosti, 2022, imesoma Hukumu ya Kesi namba 143 ya Mwaka 2017 iliyofunguliwa na Miza Bakari...
By Mwandishi WetuAugust 12, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kutokana na umuhimu wa barabara ya kuanzia Kibena-Lupembe-Madege mpaka Morogoro, Serikali imetenga kiasi...
By Masalu ErastoAugust 11, 2022MBUNGE wa jimbo la Makambako nchini Tanzania, Deo Sanga, amesema kujengwa kwa vituo vya afya takribani vitano katika halmashauri ya wilaya ya...
By Masalu ErastoAugust 11, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo cha nchini Tanzania, Zitto Kabwe, amesema Taifa la Kenya lipo mbele katika uwazi kwenye uchaguzi mkuu. Anaripoti...
By Masalu ErastoAugust 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaweka mtegoni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI),...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022RAIS Samia Suluhu Hassana amezindua mradi wa maji wenye thamani ya Sh. 2.8 bilioni uliopo katika Kata ya Makongolosi wilayani Chunya mkoani...
By Mwandishi WetuAugust 6, 2022WANANCHI wa Mbalizi mkoa wa Mbeya nchini Tanzania amemuhoji Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu kupanda kwa bei ya mafuta ambapo amewajibu kuwa...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema maji yangeuzwa kwa kuangalia gharama za miradi tone moja la maji lingeuzwa kwa Sh 3,000. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuAugust 5, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amemrejesha Eric Hamissi kuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) baada ya kumwondoa Mamlaka ya Usimamizi...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022HATIMAYE Mahakama Kuu Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, imemuachia huru aliyekuwa diwani wa Chadema katika Kata ya Isengule wilaya ya Tanganyika mkoa...
By Mwandishi WetuAugust 4, 2022MAREKANI imeipa nasaha Zanzibar kuendeleza moyo wa maridhiano ya kisiasa kwa kuamini kuwa ni fursa nzuri ya kuimarisha umoja na mshikamano ambao ni...
By Jabir IdrissaAugust 4, 2022TANZANIA na Zambia zimekubaliana kuanzisha mradi wa pamoja wa kuboresha reli ya TAZARA kwa kiwango cha kisasa (SGR). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2022RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amempa onyo Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila, ambaye amerejesha uongozini baada ya kumwondoa Juni...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango amemuagiza Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuacha ubahili na kuhakikisha wizara hiyo inatoa fedha za kutosha kufanya...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2022JUMLA ya Watanzania 8000 wamejisajili kujiunga na kampeni ya Shujaa wa maendeleo na ustawi wa jamii (SMAUJATA) yenye lengo la kupinga na...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 28 Julai, 2022 amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa wapya saba na kuwahamisha vituo vya...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2022KESI ya waliokuwa wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee na wenzake 18, ya kupinga kuvuliwa uanachama wa...
By Faki SosiJuly 28, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amewateuwa Raphael Chegeni, aliyekuwa Mbunge wa Busega na Peter Serukamba, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Mjini, kwenye wadhifa wa ukuu...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2022MBUNGE wa Buyungu, wilayani Kakonko, Mkoa wa Kigoma, Aloyce Kamamba, ameiomba Serikali itoe fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara inayounganisha mkoa...
By Regina MkondeJuly 27, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, ametaka wanachama wanawake wapewe kipaumbele katika chaguzi za nafasi mbalimbali za uongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2022KIONGOZI Mwandamizi wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa muda mrefu wa Mtambile, Masoud Abdalla Salim amefariki dunia leo. Anaripoti...
By Jabir IdrissaJuly 25, 2022CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema endapo Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitatumia Rasimu ya Katiba Pendekezwa katika mchakato wa upatikanaji Katiba mpya, watahamasisha wananchi waikatae...
By Gabriel MushiJuly 23, 2022HALIMA Mdee na wenzake 18, wamefungua kesi katika Mahakama Kuu Masijala Kuu ya Dar es Salaam kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, baada...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022RAIS wa Jamhuri ya Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyatta amesema wananchi wa Jumuiya hiyo wakiungana na kushirikiana...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2022RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kuwa ngeni rasmi katika sherehe za kumbukumbu ya mashujaa itakayofanyika kitaifa...
By Danson KaijageJuly 22, 2022WAKUU wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamesema ili mataifa hayo yaendelee inatakiwa kuwe na miundombinu bora ya usafirishaji pamoja...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezihimiza nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Masharik (EAC), kuboresha sekta ya kilimo, ili uzalishaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauriwa kushirikisha wadau katika uundaji wa kamati ya kushauri namna bora ya ufumuaji wa vyombo vya haki jinai...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2022WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali...
By Faki SosiJuly 20, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati ya watu 12 na sekretarieti ya watu watano kwaajili ya kuchunguza na kumshauri muundo mzuri wa...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2022WAZIRI wa Sheria na Katiba, Dk. Damas Ndumbaro amesema licha ya kuwa Katiba iliyopo inafaa lakini ina mapungufu yake ndio maana Serikali imetoa...
By Gabriel MushiJuly 20, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Cleopa Msuya amesema ingependeza iwapo mchakato wa Katiba mpya ungefikia mwisho, ili kuruhusu Watanzania kufanya kazi, huku akisisitiza elimu ya...
By Gabriel MushiJuly 19, 2022RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amesema ameridhishwa na kazi zinazofanywa na Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) na kuahidi kutoa kazi nytingi...
By Mwandishi WetuJuly 18, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amechambua uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassana ambapo amesema kwa kipindi cha mwaka mmoja...
By Gabriel MushiJuly 17, 2022CHAMA cha NCCR-Mageuzi upande unaongozwa Haji Ambar Khamis umesema chombo cha habari kinachomtambua James Mbatia kama Mwenyekiti, watakishtaki. Anaripoti Faki Ubwa… ( endelea)....
By Gabriel MushiJuly 17, 2022MWANASHERIA Mkuu mstaafu wa Tanzania(AG), Andrew Chenge, amesema mapendekezo ya mfumo na muundo uliopendekezwa kwenye rasimu ya Katiba mpya kupata wajumbe wa...
By Seleman MsuyaJuly 15, 2022MBUNGE wa Viti Maalum CCM, Neema Lugangira ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Uchaguzi kupitiwa upya ili kuleta usawa...
By Seleman MsuyaJuly 15, 2022MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Dk. Edmund Mndolwa, meupiga madogo uongozi uliopita kwa kile alichoeleza kuwa ni kupitia kipindi kigumu...
By Danson KaijageJuly 15, 2022MWENYEKITI wa Chama cha (TLP), Augustine Mrema amesema ili kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na haki ni lazima kuwepo tume huru ya uchaguzi,...
By Seleman MsuyaJuly 14, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameitaka jamii ibadili mtizamo wa kwamba Serikali inaweza kufanya kila kitu peke yake, bila ya ushirikishwaji...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022SERIKALI imeshauriwa kutumia teknolojia katika chaguzi na mikutano ya vyama vya siasa ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shuguli hizo. Anaripoti Selemani...
By Seleman MsuyaJuly 14, 2022MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania, John Heche amesema Serikali iiliyopo madarakani imeshindwa kutatua changamoto za...
By Mwandishi WetuJuly 14, 2022MAMLAKA ya Biashara Tanzania (TANTRADE) imetakiwa kujiwekea malengo kwa kila maonyesho na baadae kufanya tathimini ya kufanikiwa au tutofanikiwa. Anaripoti Jonas Mushi...
By Jonas MushiJuly 13, 2022KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi(CCM),Daniel Chongolo ametangaza kuwafyeka wagombea nafasi za uongozi ndani ya chama hicho endapo watakiuka misingi na utaratibu...
By Mwandishi WetuJuly 13, 2022