Wednesday , 8 May 2024
Home upendo
1878 Articles239 Comments
Habari za Siasa

Bosi Bandari mikononi mwa Takukuru

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanania, inamshikilia aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari Tanzania (TPA), Desdedit Kakoko, kwa uchunguzi...

HabariTangulizi

NGO’s zamuahidi Rais Samia mambo 18

  ASASI za Kiraia (AZAKI) na Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO’s), nchini Tanzania, zimemuahidi mambo 18, Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan,...

HabariTangulizi

Kufungiwa akaunti: THRDC wampa neno Rais Samia

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, iwape nafasi ya watu kujitetea, mashirikia...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mifumo ya ukusanyaji mapato kufumuliwa

  MAMA Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania ameagiza mifumo ya kielektroniki ya ukusanyaji mapato ya Serikali, kufumuliwa mara moja, ili kudhibiti mianya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Samia aomba ripoti fedha zilizotolewa hazina Januari-Machi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT), Prof. Florence Luoga na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kitabu cha John Magufuli chafungwa rasmi

  WEWE ni mavumbi na mavumbini utarudi. Ndivyo unaweza kusema, baada ya mwili wa Dk. John Pombe Joseph Magufuli, kulazwa kwenye nyumba yake...

HabariTangulizi

Dk. Hoseah ajitosa urais TLS

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atuma salamu kwa wanaombeza

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wale wote wenye shaka ya uongozi wake kutokana na jinsia yake ya mwanamke, kukaa mguu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Spika Ndugai awashukia wanaofurahia kifo cha Magufuli

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa: Tumwombee mama yake Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amewaomba Watanzania kumwombea Suzana, mama mzazi wa hayati Rais John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Magufuli saa 48 Dar

  JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, ameliteka Mkoa Dar es Salaam na viunga vyake, katika maeneo mbalimbali hususan, Uwanja wa Uhuru....

Habari za SiasaTangulizi

Uhuru yafurika kumuaga Dk. Magufuli, vilio vyatawala

  MAELFU ya wakati wa mkoa wa Dar es Salaam na maeneo jirani, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania,...

Habari za Siasa

Mchakato Samia kupewa uenyekiti CCM waanza

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema wakati wowote kuanzia sasa, kitaitisha mkutano mkuu maalum wa kumpitisha Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa amwaga chozi mbele ya mwili wa Dk Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amejikuta akibubujikwa machozi, mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John...

Habari za Siasa

Askofu Ruwa’ichi: Magufuli alikuwa mpenda haki

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Juda Thadeus Ruwa’ichi, amemzungumzia Hayati Rais John Pombe Magufuli, akisema alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kuagwa Magufuli: Vilio vyatawala uwanja wa Uhuru

  VILIO na simanzi vimetawala Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam, baada ya jeneza lenye mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Maelfu wajipanga barabarani kumuaga Dk. Magufuli

  MAELFU ya waombolezaji wamefurika katika viunga vya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Kawawa mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Dk. Magufuli kupelekwa Z’bar, kuzikwa Ijumaa Chato

  MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli (61), utazikwa Ijumaa ijayo ya tarehe 26 Machi 2021, badala ya...

HabariTangulizi

Rais Samia: Tuzike tofauti zetu

  RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka Watanzania kuzika tofauti zao na kwamba, sasa ni wakati wa kujiamini kama Taifa. Anaripoti...

HabariTangulizi

Ratiba mazishi Dk Magufuli hii hapa, siku 2 za mapumziko

  RATIBA yamazishi ya Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeelekeza kiongozi huyo atazikwa tarehe 24 Machi...

HabariTangulizi

Huyu ndiye Mama Samia, Rais wa kwanza mwanamke Tanzania

  MAMA Samia Suluhu Hassan, ameapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, jijini Dar es Salaam. Anaandika Regina...

Habari za Siasa

Raila Odinga: Nimempoteza rafiki, Uingereza yashitushwa na kifo cha JPM

  WAZIRI mkuu mstaafu wa Kenya na Kiongozi wa Upinzani nchini humo, Raila Odinga ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani, wakati huu wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi ya Kambole kufutwa uwakili yapigwa kalenda

  KESI ya Wakili Jebra Kambole na mwenzake Edson Kilatu kufutiwa uwakili, iliyopangwa kusikilizwa leo Jumatatu tarehe 15 Machi 2021, katika Mahakama Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Kiwanga ajitosa kuwania ‘kiti cha Mdee’

  JINA la Susan Kiwanga, limeingia kwenye orodha ya wanachama wa Chadema wanawania nafasi ya Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama...

Michezo

Simba Vs Al-Merrikh kwa Mkapa bila mashabiki

  SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF), limeagiza mechi kati ya Simba SC na Al-Merrikh ya Sudani, inayotarajiwa kufanyika tarehe 16...

Habari Mchanganyiko

Mkakati kukabili chanjo bandia wasukwa

  MKAKATI wa kukabiliana na chanjo bandia ya virusi vya corona (COVID-19), umewekwa na wakurugenzi wa upelelezi wa nchi wanachama wa Shirikisho la...

Habari za Siasa

Msafara wa Makamu wa Pili wa Rais Z’bar wapata ajali, mmoja afariki

  MSAFARA wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, uliokuwa njiani kuelekea Mkoa wa Kusini Unguja kwa ziara ya kikazi,...

Tangulizi

Vifurushi: Kampuni za simu zapewa siku 30

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwezi mmoja kwa kampuni za mawasiliano ya simu za mkononi nchini humo, kuanza kutumia bei elekezi za vifurushi....

Habari

Mama Samia ahimiza wanawake kujitosa uongozini

  MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka wanawake nchini humo, kujitosa kwenye nafasi za uongozi kwenye sekta binafsi, ili...

ElimuHabari Mchanganyiko

TAKUKURU: Rushwa ya ngono ipo, fichueni

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) nchini Tanzania, imewataka wananchi kufichua vitendo vya rushwa ya ngono wanavyokutana navyo. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi amwapisha mrithi wa Maalim Seif

  RAIS wa Zanzibar, Hussein Mwinyi, amemwapisha Othuman Masoud Othuman wa chama cha ACT-Wazalendo kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais visiwani humo. Anaripoti...

Habari Mchanganyiko

Watuhumiwa 5 ujambazi wauawa Dar, bastola…

WATU watano wanaotuhumiwa kwa ujambazi, wameuawa katika majibizano ya risasi baina yao na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Jina la mrithi wa Maalim Seif, lafikishwa kwa Rais Mwinyi

  KIONGOZI Mkuu wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amesema, chama chake, tayari kimekabidhi kwa Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, jina...

Habari za SiasaTangulizi

Mrithi wa Maalim Seif, siri nzito

  MCHAKATO wa kumtafuta mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad, aliyekuwa Makamo wa Kwanza wa Rais Visiwani, umemalizika. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari Mchanganyiko

Takukuru yavimbia wakandarasi, ‘yarejesha’ mil 420 Tanesco

  TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imerejesha vifaa ghafi vya umeme vyenye thamani ya zaidi Sh. 420 milioni kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Saa 48 baada ya Maalim Seif kuzikwa

  Saa 48 baada ya kuzikwa kwa Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makwamu wa Kwanza wa Rais, wa Serikali visiwani Zanzibar, Taifa...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro: Hatufungui kesi za madai, migogoro ya ardhi

  INSPEKETA wa Jeshi la Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro ameema, ili kupunguza mrundikano wa mahabusu vituoni, hawafungia kesi za madai na...

Habari za Siasa

Mkurugenzi Jiji la Dar, ahamishiwa Kinondoni

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amempangia kazi, Sipora Liana kuwa, Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam kuanzia leo Alhamisi, tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Sita wadakwa kwa utakatishaji fedha Bil 4.78

  WATU sita wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam kwa madai ya utakatishaji fedha kiasi cha Sh. 4.78...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yamwachia huru Mdee

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, imemuacha huru mbunge Viti Maalumu (asiyekuwa na chama), Halima James Mdee. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Kituo cha mabasi Magufuli, Daraja la Kijazi yaziduliwa

  RAIS wa Tanzania, John Magufuli amezindua Daraja la Juu la Ubungi na Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi, Mbezi...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli kuvunja Jiji la Dar es Salaam

  JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania, linatarajiwa kuvunjwa ili kuokoa fedha zinazotumika kuendesha jiji hilo wakati halina miradi ya maendeleo na...

Habari Mchanganyiko

LSF, NGO’s zajadili mfumo upatikanaji haki Tanzania

  SHIRIKA linalofanya kazi ya kukuza upatikanaji wa haki nchini Tanzania, kupitia uwezeshaji wa kisheria (LSF), linaendesha mkutano wa siku mbili kwa ajili...

Habari za Siasa

Dorothy ‘akabidhiwa’ kiti cha Maalim Seif

  KAMAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu amekaimu rasmi kiti cha uenyekiti wa chama hicho, kilichokuwa kikishikiliwa na Hayati Maalim...

Habari za SiasaTangulizi

Mchakato kumtafuta mrithi Maalim Seif kuanza Alhamisi

  CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kitaanza mchakato wa kumpata mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad (77), kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza...

Habari

Mama Samia atoa wito uibuaaji fursa

  WAWEKEZAJI na wafanyabiashara nchini wameshauri wa kuibua fursa zinazofungamana na sekta ya madini ili ajili kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Gavana mstaafu BoT, Profesa Ndulu hatunaye

  ALIYEWAHI kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 22 Februari 2021, katika...

Habari Mchanganyiko

Padre Katoliki afariki dunia

  PADRE wa Parokia ya Kristo Mfalme Kibaoni, Jimbo Katoliki la Singida, Parick Njiku, amefariki dunia jana Ijumaa, tarehe 19 Februari 2021, katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Dk. Likwelile afariki dunia

  ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi,...

Habari za SiasaTangulizi

Magufuli asema Maalim Seif alifitinishwa

  RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, aligoma kukubali wito wa kukutana na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif...

error: Content is protected !!