Sunday , 28 April 2024
Home upendo
1870 Articles239 Comments
Habari za Siasa

Bajeti kilimo 2021/22 yaongezeka, yaja na vipaumbele 7

  BAJETI ya Wizara ya Kilimo, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, imeongezeka kwa Sh. 64.3 bilioni (22%), kutoka Sh. 229.83 bilioni (2020/2021),...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuzindua operesheni mpya, kufanyika nchi nzima

  FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, tarehe 27 Mei 2021 siku ya Alhamisi, anatarajiwa kuzindua ‘Operesheni Haki,‘...

ElimuHabari za Siasa

Ajira ualimu kizungumkuti, 89,958 wajitosa, nafasi ni 6,949

  WAZIRI wa Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu, amekiri uwepo wa tatizo la ukosefu wa ajira za ualimu nchini, akisema kwamba, nafasi zinazotolewa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia ateta na Dangote, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemuagiza Waziri wa Uwekezaji, Geoffrey Mwambe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo, watatue...

Habari za SiasaTangulizi

Shirika la Meli Zanzibar lakutwa na madeni hewa Sh. 2.9 Bil.

  MKAGUZI na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Visiwani Zanzibar, amegudua kuwapo kwa madeni hewa yenye thamani ya Sh. 2.9 bilioni,...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wanawake Afrika wamuonesha njia Rais Samia

  MTANDAO wa Viongozi Wanawake Barani Afrika (AWLN), umemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, azitumie fursa za maendeleo zinazotolewa na taasisi pamoja na mashirika...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG Zanzibar yamuibua Zitto

  UBADHIRIFU ulioibuliwa katika Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Zanzibar, kwenye mwaka wa fedha wa 2019/2020, umemuibua...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Msikubali kutumika

  RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amewashauri Watanzania wasikubali kutumika katika kutengeneza migogoro. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari Mchanganyiko

Viongozi TLS wanolewa kuzikabili kesi za kikatiba, haki za binadamu

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umefanya warsha ya kuwajengea uwezo viongozi wa kanda wa Chama cha Wanasheria wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo akunjua makucha migogoro madiwani, wakurugenzi

  BAADA ya kuibuka mivutano baina ya madiwani na watendaji, katika Manispaa za Ubungo na Kinondoni, mkoani Dar es Salaam, Chama Cha Mapinduzi...

Habari za Siasa

Rais Museveni aacha somo kwa Watanzania

  RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni, ametumia hotuba yake katika hafla ya utiaji saini mkataba hodhi wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi...

Habari za Siasa

Tanzania kuvuna matrilioni mradi bomba la mafuta

  SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuvuna matrilioni ya fedha, katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), unaotekelezwa kwa ubia...

Habari za SiasaTangulizi

Chanzo Meya, DED Kinondoni kuvutana mkutanoni

  KIKAO cha Baraza la Madiwani la Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, kilichofanyika jana Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, kiliingia dosari,...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto amwandikia barua Rais Samia, apendekeza mambo matano

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemuandikia barua, Rais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan, kumwelezea changamoto zilizojitokeza katika chaguzi ndogo za Ubunge...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji Mkuu, Spika Ndugai wataka DPP, Takukuru watende haki

  JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amemshauri Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), Sylvester Mwakitalu, aanze majukumu yake mapya kwa kuyapatia ufumbuzi malalamiko...

Habari za Siasa

Rais Samia awapangua Ma RC Kafululi, Mongella

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa, kwa kumpeleka John Mongella Arusha na David Kafulila Simiyu....

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai ataka Ma-RC wabanwe

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameshauri wakuu wa mikoa (RC), wawajibishwe mikoa yao inapofanya vibaya katika usimamizi wa masuala ya...

Habari Mchanganyiko

Masheikh wa Uamusho: Mahakama kuamua rufaa mashtaka 14

  MAHAKAMA ya Rufaa Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 19 Mei 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa na Serikali, kupinga uamuzi wa Mahakama...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka PF3 iondolewe kunusuru maisha ya watu

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauri kifungu cha Sheria ya Jeshi la Polisi  kinachokataza majeruhi wa ajali kutibiwa hadi wapate Fomu ya Polisi...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza Jeshi la Polisi lifute kesi za kubambikiza

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amelitaka Jeshi la Polisi lifute kesi za kubambikiza, ili kuondoa msongamano wa mahabusu gerezani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Rais Samia awapa ujumbe majaji ‘katendeni haki

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Majaji saba wa Mahakama ya Rufaa na 21 ya Mahakama Kuu ya Tanzania, kwenda kutenda...

Habari za Siasa

Sheria ya uwekezaji Tanzania kufumuliwa

  WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Uwekezaji nchini Tanzania, Geoffrey Mwambe, amesema wizara yake iko hatua za mwisho kurekebisha Sheria ya Uwekezaji...

AfyaHabari Mchanganyiko

Kamati aliyounda Rais Samia yashauri chanjo corona itolewe, takwimu ziwe wazi

  KAMATI Maalum ya kufanya tahimini ya maambukizi ya ugonjwa wa unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) nchini Tanzania, imependekeza Serikali ya nchi...

Habari za Siasa

ADC yatoa neno mwanachama wake kuteuliwa RC, yampa ujumbe Rais Samia

  CHAMA cha Alliance For Democratic Change (ADC), kimepongeza hatua ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kumteua Naibu Katibu Mkuu wao, Queen...

Habari Mchanganyiko

IGP Sirro ampa neno bosi mpya Takukuru, yeye atoa neno

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi (IGP) nchini Tanzania, Simon Sirro, amemtaka Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Kamishna,...

Habari za SiasaTangulizi

Kiwanga ashindwa kumrithi Mdee, Sharifa achukua mikoba

  SUSAN Kiwanga na wenzake wawili, wameshindwa kurithi nafasi ya Halima Mdee ya Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama cha Demokrasia na...

Habari za SiasaTangulizi

Manabii wa uongo wachongewa bungeni, Naibu Spika aingilia kati

  MBUNGE wa Konde, Zanzibar (ACT-Wazalendo), Khatibu Said Haji, amehoji Serikali inachukua hatua gani, kuwadhibiti manabii wa uongo na waganga wapiga ramli chonganishi...

Habari za Siasa

Rais Samia aanza kuteua wapinzani

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais  wa Tanzania, ameanza kutimiza ahadi yake ya kuteua wapinzani serikalini, baada ya kumteua Queen Cuthbert Sendiga, kuwa Mkuu...

Habari za Siasa

Warithi viongozi waliotimuliwa BAWACHA kupatikana Mei 18

  KAMATI Tendaji ya Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA), tarehe 18 Mei 2021, itafanya uchaguzi kujaza nafasi za viongozi wa baraza hilo,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awang’oa mabosi Takukuru, Bunge

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) na Bunge...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata kesi za Masheikh: Sheikh Ponda, BAKWATA waungana

  KATIBU Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameungana na Baraza la Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA),...

Afya

Serikali kuongeza watumishi Hospitali za Kanda, Rufaa

  WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, iko mbioni kuajiri wataalamu 473 wa kada mbalimbali za afya, ambao watapelekwa...

Habari Mchanganyiko

THRDC yalia udukuzi wa taarifa, TCRA yatoa neno

  MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali nchini humo, kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), iweke sheria zitakazodhibiti...

Habari Mchanganyiko

Kanuni mtandaoni kufumuliwa, TCRA yaita wadau

  MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imewakaribisha Watanzania, kutoa maoni yao juu ya maboresho ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018, ili...

Habari za Siasa

Matiko aibua hoja mpya miradi ya maji

  MBUNGE asiye na chama, Esther Matiko amelishauri Bunge liunde kamati maalum kwa ajili ya kuchunguza miradi ya maji yenye harufu ya ubadhirifu. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

MCT, TEF yamwangukia Rais Samia

  BARAZA la Habari Tanzania (MCT) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), limeiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, iondoe sheria zote...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali kuajiri walimu 6,949, wataalamu afya 2,726

SERIKALI imetangaza nafasi za ajira kwa walimu wa shule za msingi na sekondari pamoja na watumishi wa kada mbalimbali za sekta ya afya....

Habari za SiasaTangulizi

Wazee Chadema wamweka mtegoni Rais Samia

BARAZA la Wazee la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), limeishauri  Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifanye marekebisho ya Katiba ili nchi...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Nitateua yoyote bila kujali chama anachotoka

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika serikali yake, atateua mtu yeyote mwenye uwezi kutoka chama chochote cha siasa ili kujenga...

HabariHabari Mchanganyiko

Tunaomba uwakilishi bungeni, matibabu ya afya- Wazee Dar

  WAZEE wa Mkoa wa Dar es Salaam, wameiomba Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan, ianzishe utaratibu wa kundi hilo kuwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee, wenzake 18 wamtesa Ndugai

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai analazimika kutoa maelezo ya mara kwa mara kutokana na ‘mashambulizi’ yanayoelekezwa katika kiti chake, kuhusu kushindwa kuwatimua...

Habari za Siasa

‘Wafadhili wa miradi ya maji wapunguziwe kodi’

  SERIKALI ya Tanzania imeshauriwa kuwapunguzia mzigo wa kodi wafadhili wa miradi ya maji. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea).  Ushauri...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Kenya kuna Uhuru, Tanzania kuna Suluhu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia mazingira mazuri wafanyabiashara wa Kenya na Tanzania, akisema upande mmoja kuna uhuru wa kufanyabiashara na...

Habari za SiasaTangulizi

Mkakati wasukwa kuwang’oa Mdee, wenzake

  MAKAKATI umeanza kusukwa ili kuhakikisha Halima Mdee na wenzake 18, wanang’olewa bungeni. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mkakati huo...

Habari Mchanganyiko

Kitabu ‘Safari ya Maisha Yangu’ cha Mzee Mwinyi kuzinduliwa

  MZEE Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Awamu ya Pili wa Tanzania, anatarajia kuzindua tawasifu kuhusu maisha yake, Jumamosi ijayo tarehe 8 Mei...

Habari za SiasaTangulizi

Mei Mosi: Mambo 11 aliyosema Rais Samia

  SAMIA Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania, amewahutubia kwa mara ya kwanza, wafanyakazi na kutoa ahadi mbalimbali zenye kurejesha tabasamu miongoni mwao. Anaripoti...

Habari za Siasa

Rais Samia atangaza ajira mpya 40,000

  SERIKALI ya Tanzania, ametangaza ajira mpya 40,000 na kupandisha vyeo watumishi 90,000 katika mwaka wa fedha 2021/22. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Kodi ya mishahara yashushwa 1%

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amepunguza Kodi ya Mshahara (PAYE), kutoka asilimia tisa hadi nane. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Nyalandu, Mathew wajiunga CCM, Rais Samia asema…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata pigo baada ya kuondokewa na wenyeviti wawili wa kanda na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

CCM: JPM amekiacha chama pazuri

  KAIMU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rodrick Mpogolo, amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Hayati Dk. John Magufuli, amekiwezesha chama...

error: Content is protected !!