SERIKALI ya Tanzania imesema imekamilisha muongozo wa kuingiza na kutoa chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya...
By Regina MkondeJuly 4, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iunde kamati ya kitaifa, kwa ajili ya kuratibu na kutangaza shughuli ...
By Regina MkondeJuly 2, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema chama hicho kikitengeneza utaratibu wa kufanya mikutano ya hadhara kwa...
By Regina MkondeJuly 2, 2021KADA wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mdude Nyagali amekula kiapo cha kusaka katiba mpya, kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2025....
By Regina MkondeJuly 2, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amekishauri Chama Cha Mapinduzi (CCM), kisikatae marekebisho ya...
By Regina MkondeJuly 1, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekataa ombi la Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan la kutaka...
By Regina MkondeJuly 1, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali iondoe changamoto za kikodi zinazokabili Asasi za Kiraia nchini (Azaki). Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 1, 2021SERIKALI ya Tanzania imetaja sekta sita zilizo kipaumbele katika kutoa nafasi za ajira nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeJune 30, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amezindua Mpango wa Tatu wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 hadi 2025/26, utakaogharimu Sh....
By Regina MkondeJune 29, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu nchini Tanzania (THRDC), umefanya semina ya kuwajengea uwezo wanachama wake wapya 70. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJune 29, 2021MBUNGE Viti Maalumu (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, ameishauri Serikali itumie sensa ya watu na makazi inayotarajiwa kufanyika 2022, kubaini hali...
By Regina MkondeJune 29, 2021MAMIA ya watu wameuaga mwili wa aliyekuwa mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Padri Privatus Karugendo (65). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 28, 2021KATIKA siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo wanachama wa chama hicho waliomwaga...
By Regina MkondeJune 28, 2021MSANII wa Nigeria, Burna Boy ameibuka mshindi wa tuzo ya BET 2021 kama msanii bora wa kimataifa na kuwaangusha wasanii wengine akiwemo,...
By Regina MkondeJune 28, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kitamkabidhi ilani za chama hicho kuanzia Uchaguzi Mkuu wa 1995 hadi 2020 pindi ombo lao la kukutana...
By Regina MkondeJune 26, 2021FATMA Karume, wakili na aliyekuwa Rais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), amesema siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu...
By Regina MkondeJune 26, 2021TAREHE 27 Juni 2021, Rais Samia Suluhu Hassan atatimiza miaka 100 akiwa madarakani. Aliapishwa 19 Machi 2021, baada ya mtangulizi wake Rais...
By Regina MkondeJune 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya mlipuko wa tatu wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu,...
By Regina MkondeJune 25, 2021HUKUMU ya kesi ya Jinai Na. 112/2018 iliyotolewa na Mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu, Dar es Salaam iliyomuhusu Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeJune 25, 2021SERIKALI iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya mfumo wa kielektroniki, wa kufuatilia usambazaji wa dawa katika hospitali, vituo vya afya na...
By Regina MkondeJune 24, 2021MOHAMMED Said Issa, ameteuliwa na Chama cha ACT-Wazalendo, kugombea Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, katika uchaguzi mdogo unaotarajiwa kufanyika tarehe 18 Julai...
By Regina MkondeJune 24, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kusuka upya uongozi wa umoja wake wa vijana (UVCCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 22, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), unatarajia kuzindua mpango mkakati wa Asasi za Kiraia (Azaki), wa utekelezaji Mpango wa...
By Regina MkondeJune 22, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), kimeiomba Serikali ya Tanzania, kuwachukulia hatua watu waliohusika katika tukio la mauaji ya...
By Regina MkondeJune 22, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, imefuta uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili Tanganyika, wa kumfuta uwakili, Mwanaharakati...
By Regina MkondeJune 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Tabora, limedai mauaji ya mtoto Nyanzobhe Mwandu (4), yaliyotokea tarehe 16 Juni 2021, yalipangwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 21, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amewakabidhi majukumu matano wakuu wa wilaya za mkoa huo, walioteuliwa na Rais Samia...
By Regina MkondeJune 21, 2021SIKU mbili baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Dar es Salaam, Kherry James amesema ‘sintokuwa mtawala bali mtumishi wa...
By Regina MkondeJune 21, 2021KAMATI Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, imeagiza mkutano wa dharura wa chama hicho uitishwe tarehe 27 Novemba 2021, kwa ajili ya kujaza...
By Regina MkondeJune 20, 2021BAADHI ya wabunge kutoka katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) na vyama vya upinzani, wameishauri Serikali ifungue akaunti maalumu ya benki, kwa ajili...
By Regina MkondeJune 18, 2021TAKRIBANI mambo tisa, yameibuka katika mkutano wa wadau, wa kujadili namna ya uboreshaji mitaala ya elimu nchini Tanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJune 18, 2021SERIKALI ya Tanzania iko mbioni kufanya maboresho ya mitaala ya elimu ya msingi, vyuo vya kati na ufundi stadi pamoja na vyuo...
By Regina MkondeJune 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza siku saba za maombolezo ya kitaifa kufuatia kifo cha Rais wa kwanza wa Zambia, Kenneth...
By Regina MkondeJune 18, 2021MKURUGENZI wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amewafutia mashtaka viongozi 18 kati ya 36, wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu...
By Regina MkondeJune 16, 2021MFANYABIASHARA Harbinder Sethi, anayesota rumande kwa takribani miaka minne, akikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, anatarajiwa kutoka baada ya kumalizana na Mkurugenzi...
By Regina MkondeJune 16, 2021MASHEIKH wawili kati ya 51, wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar, waliokuwa wanakabiliwa na makosa ya ugaidi kwenye Kesi...
By Regina MkondeJune 16, 2021SHIRIKA linalofanya kazi ya kukuza upatikanaji haki nchini Tanzania, kupitia uwezeshaji wa kisheria, Legal Services Facility (LSF), limezindua mfumo wa kidigitali wa kusaidia...
By Regina MkondeJune 15, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la Taasisi ya Moyo ya jakaya Kikwete (JKCI), la kuajiri watalaam 12...
By Regina MkondeJune 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imepanga kutoa msamaha wa kodi ya ongezeko la thamani (VAT), kwenye simu janja za mkononi, vishikwambi (Tablets) na modemu,...
By Regina MkondeJune 10, 2021WANAWAKE wa Mkoa wa Dodoma, wamemkabidhi changamoto sita Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakimuomba azitatue ili kuleta ustawi wa kundi hilo...
By Regina MkondeJune 8, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa wito kwa wasomi, watafiti pamoja na wafanyabiashara wa nishati mbadala, kutafuta njia zitakazowawezesha wananchi kuachana na matumizi ya...
By Regina MkondeJune 5, 2021MAMBO matano yameteka mjadala wa Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii, kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022, uliotokea Ijumaa, tarehe 4...
By Regina MkondeJune 5, 2021MBUNGE wa Nkasi Kaskazini mkoani Rukwa (Chadema), Aida Khenani, amelifikisha bungeni tukio la mauaji ya aliyekuwa Mwanafunzi wa Uandishi wa Habari, katika...
By Regina MkondeJune 4, 2021KUONGEZEKA kwa shughuli za kibinadamu zisizo rafiki kwa mfumo wa ikolojia katika Bara la Afrika na nchi nyingine zinazoendelea duniani, kumetajwa kuwa...
By Regina MkondeJune 4, 2021FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, ametaka wafuasi wa chama hicho waliokimbilia Chama Cha Mapinduzi (CCM), wasidharauliwe....
By Regina MkondeJune 3, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro, amefanya mabadiliko madogo ya Makamanda wa Polisi, ikiwemo kumhamisha aliyekuwa Kamanda wa Jeshi...
By Regina MkondeMay 31, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua watendaji wakuu katika Tume ya Ushindani wa Biashara (FCC) na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi...
By Regina MkondeMay 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema atalifanyia kazi ombi la kuitaka Tanzania ibadili msimamo wake, wa kujitoa kwenye azimio linaloruhusu Mashirika Yasiyo ya...
By Regina MkondeMay 27, 2021WATAALAM wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wamekutana jijini Dar es Salaam, kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa athari za mabadiliko ya...
By Regina MkondeMay 27, 2021NCHI ya Tanzania na Saudi Arabia, zimeahidi kukuza ushirikiano katika biashara ya mazao ya kilimo pamoja na utalii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeMay 26, 2021