CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema, kitachukua hatua kali dhidi ya watumishi wa gazeti la Uhuru kwa kuandika habari...
By Regina MkondeAugust 11, 2021WAKALA wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), umewahimiza wananchi kutumia mfumo wa kielektroniki wa utoaji vyeti, badala ya kuwatumia vishoka ambao wanasababisha...
By Regina MkondeAugust 11, 2021VYOMBO vya Habari nchini Tanzania, vimetakiwa kufuata miongozo na sera zilizowekwa na Serikali na taasisi binafsi, kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya...
By Regina MkondeAugust 10, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wanasiasa nchini humo kufanya siasa za maendeleo, badala ya kufanya siasa za fujo na vurugu....
By Regina MkondeAugust 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaomba Watanzania na ulimwengu kwa ujumla, kusubiri maamuzi ya mahakama dhidi ya mashtaka yanayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeAugust 9, 2021MKURUGENZI wa Idara ya Menejimenti ya Maafa, katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Kanali Jimmy Said, amesema watoto wadogo hawaathiriki sana na Ugonjwa...
By Regina MkondeAugust 7, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeombwa itangaze matukio ya ukatili katika ndoa hasa mauaji yanayosababishwa na wivu wa mapenzi, kuwa ni janga la kitaifa....
By Regina MkondeAugust 7, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), umeiomba Serikali ifanye marekebisho katika Sheria na sera zinazosimamia masuala ya majanga ili...
By Regina MkondeAugust 7, 2021WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na mlipuko wa Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kudhibiti athari zake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeAugust 7, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuharakisha taratibu za...
By Regina MkondeAugust 6, 2021HALFAN Bwire Hassan, mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesomewa shtaka la kumiliki sare na jeshi kinyume cha sheria....
By Regina MkondeAugust 6, 2021CHAMA cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, kimesema kitatuma mawakili wake watano waandamizi wakiongozwa na Boniface Mwambukusi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili...
By Regina MkondeAugust 6, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamesomewa upya mashtaka katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeAugust 6, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...
By Regina MkondeAugust 6, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza Jimbo la Konde visiwani Zanzibar, liko wazi baada ya mbunge wake mteule kupitia Chama Cha...
By Regina MkondeAugust 3, 2021SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limesema changamoto ya mrundikano wa madeni inaathiri utendaji wake na kusababisha lijiendeshe kwa hasraa. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Rogatus Hussein Mativila, kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), akichukua mikoba ya Mhandisi Patrick...
By Regina MkondeJuly 30, 2021WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...
By Regina MkondeJuly 30, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama hicho, tangu alipokabidhiwa wadhifa huo, mwishoni...
By Regina MkondeJuly 30, 2021RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua makatibu wakuu wanne, wa wizara na taasisi mbalimbali visiwani humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeJuly 30, 2021KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimeiomba Serikali iongeze viwango vya mishahara ya wafanyakazi wa sekta binafsi, ili...
By Regina MkondeJuly 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....
By Regina MkondeJuly 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuingiza aina tano za chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo kwa...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema majibu ya kilio cha wananchi juu ya tozo ya miamala ya simu, yatapatikana tarehe 29...
By Regina MkondeJuly 27, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mabalozi wasikae kimya taswira ya Tanzania inapochafuliwa kimataifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Rais...
By Regina MkondeJuly 27, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeJuly 27, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021MANASE Alphayo Mbowe, baba mdogo wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Freeman Mbowe, amefariki dunia asubuhi ya leo Ijumaa,...
By Regina MkondeJuly 23, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemlilia aliyekuwa mwenyekiti wake wa kwanza, Anna Mghwira, kikisema kwamba kifo chake kimeacha pigo katika medani za kisiasa nchini...
By Regina MkondeJuly 22, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu, kwa ajili ya kumtafuta mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, ambaye...
By Regina MkondeJuly 21, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema chanjo ya kujikinga dhidi ya maambukizi ya homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), imeshaingia...
By Regina MkondeJuly 21, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania, linawashikilia watu 275 kwa tuhuma za mauaji, yaliyotokea nchi nzima kuanzia Mei hadi Julai 2021. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 21, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango, itafute suluhu ya malalamiko ya wananchi kuhusu viwango vya tozo...
By Regina MkondeJuly 19, 2021AFISA Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), Mhandisi Leonard Kapongo, amefariki dunia jioni ya jana, tarehe 17...
By Regina MkondeJuly 18, 2021MENEJA WA Baa ya Lemax iliyopo Sinza kwa Remi mkoani Dar es Salaam, Godlisten Augustine, amesimulia tukio la mauaji ya watu wawili...
By Regina MkondeJuly 18, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ifute kodi ya mitandao ya simu, kwa maelezo kwamba inaumiza wananchi, hasa wa kipato cha chini. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 16, 2021RAIS wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amesema changamoto kubwa aliyomsumbua wakati wa uongozi wake, ni watumishi wa afya kugoma...
By Regina MkondeJuly 14, 2021OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, inadaiwa kuingilia kati maamuzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya kuwavua...
By Regina MkondeJuly 14, 2021ALIYEKUWA Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tatu, Hayati Benjamin Mkapa, ametajwa kuwa na mchango mkubwa katika kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa Upungufu...
By Regina MkondeJuly 14, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Pwani, kimemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa kushindwa kudhibiti maafa katika tukio la...
By Regina MkondeJuly 13, 2021SERIKALI imeombwa iwalipe fidia wafanyabiashara waliopoteza mali zao katika tukio la moto uliounguza sehemu ya Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es...
By Regina MkondeJuly 13, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Amos Makalla, amesema kama juhudi za kuudhibiti moto katika Soko Kuu la...
By Regina MkondeJuly 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza wakuu wa mikoa (RC) kwa kushirikiana na Jeshi la Zima Moto na Uokoaji katika meneo yao, kufanya ukaguzi...
By Regina MkondeJuly 12, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, wafanyabiashara takribani 224, wameathirika na tukio la Soko Kuu la Kariakoo, jijini Dar es Salaam, kuungua moto. Anaripoti...
By Regina MkondeJuly 12, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amewashauri mawakili na wanasheria, watafute nafasi za kujiajiri wenyewe, badala ya kulalamika kuna uhaba wa...
By Regina MkondeJuly 9, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema fedha zilizochukuliwa kimakosa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), katika akaunti za benki,...
By Regina MkondeJuly 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema itarejesha leseni za wafanyabiashara wa maduka ya kubadili fedha za kigeni, ili waendelee na shughuli zao. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 9, 2021WAKATI Rais Samia Suluhu Hassan, akisema Serikali imeongeza kodi ya Sh. 100 kwa kila lita moja ya mafuta, ili ipate fedha za...
By Regina MkondeJuly 8, 2021JUMUIYA YA Kikristo Tanzania (CCT), imezichambua siku 100 za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, na kutaja mambo matano yaliyong’arisha siku hizo.Anaripoti Regina...
By Regina MkondeJuly 8, 2021