KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kiongozi wa mwisho wa Taifa hilo ni Hayati Baba...
By Regina MkondeOctober 20, 2021ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa...
By Regina MkondeOctober 19, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu, amewaagiza viongozi wa mikoa, wilaya na halmashauri, kutowafumbia macho watumishi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya wizi,...
By Regina MkondeOctober 18, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amesema katika kipindi cha miezi sita cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali yake imetoa mabilioni...
By Regina MkondeOctober 18, 2021MBUNGE wa Arusha Mjini nchini Tanzania kupitia chama tawala- (CCM), Mrisho Gambo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili Mkoa wa...
By Regina MkondeOctober 17, 2021ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha Mapinduzi (CCM),...
By Regina MkondeOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, hadi kufikia juzi Ijumaa tarehe 15 Oktoba 2021, takiribani wananchi 940,000 walikuwa wamepata chanjo ya ugonjwa unaosababishwa na...
By Regina MkondeOctober 17, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali imetenga Sh. bilioni sita kwa ajili ya kuiboresha Hospitali ya Rufaa ya Mawenzi, mkoani Kilimanjaro. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 15, 2021MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), wameishauri Serikali iimarishe usalama wa viongozi wa Serikali za Mitaa, ili kudhibiti matukio...
By Regina MkondeOctober 13, 2021MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, amekemea watu wanaotaka kuleta ubaguzi katika ukabila, udini, ukanda na uvyama, akisema wanahatarisha amani...
By Regina MkondeOctober 12, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempigia chapuo Rais Samia Suluhu Hassan, akitaka aongezewe muda wa kuiongoza Tanzania...
By Regina MkondeOctober 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi watatu aliowateua tarehe 8 Oktoba 2021. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeOctober 11, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amefanya mabadiliko madogo ya wajumbe wa kamati za kudumu za Bunge huku akiwapangia kamati waliokuwa...
By Regina MkondeOctober 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameagiza kupunguzwa tozo zinazotozwa na taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta nchini humo zenye thamani ya...
By Regina MkondeOctober 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell, Ben Van Beurden, kuhusu...
By Regina MkondeOctober 4, 2021WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, ameziagiza wizara, halmashauri na taasisi za Serikali na binafsi, ziimarishe mazingira ya uchumi shirikishi ili kukuza kipato cha...
By Regina MkondeOctober 4, 2021MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imesema ukusanyaji kodi katika kipindi cha robo ya kwanza ya 2021/2021, umeongezeka kwa asilimia 17.4, ikilinganishwa na...
By Regina MkondeOctober 3, 2021NGOME ya Wazee wa Chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, imeomba kuonana na Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, ili kuzungumza changamoto...
By Regina MkondeOctober 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametembelea banda la Shirika Lisilo la Kiserikali, linaloshughulika na masuala ya msaada wa kisheria, Legal Service...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021SHIRIKA lisilo la kiserikali, linaloshughulika na masuala ya utetezi wa haki za kidigitali, Zaina Foundation, likishirikiana na Shirika la Haki Maendeleo, limewanoa...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha, kilichotokea...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwa wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MKE wa mshtakiwa Adam Kasekwa ambaye ni shahidi wa tatu wa utetezi, Lilian Kibona, ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MOHAMMED Ling’wenya, mshtakiwa wa tatu katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 28, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, amepata...
By Regina MkondeSeptember 27, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema vijana wa chama hicho wamekubaliana kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan hadi 2030....
By Regina MkondeSeptember 25, 2021ASASI za Kiraia nchini Tanzania (AZAKI), zimezindua mwongozi wa ulipaji kodi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar ea Salaam … (endelea). Mwongozo huo umezinduliwa...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021MSHITAKIWA wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanda njama za ugaidi, Adam Kasekwa amedai mara baada ya kukamatwa...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021ADAM Kasekwa, mshtakiwa wa pili katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi amieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021UPANDE wa Jamhuri kwenye kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ya uhujumu uchumi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021KESI ndogo katika kesi ya uhujumi uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya vitendo vya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 24, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wajumbe wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA), kwamba Serikali...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imeifuta kesi ya kikatiba Na.21/2021, iliyofunguliwa na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 23, 2021KESI ya jinai Namb. 208/2016 iliyohusu mashitaka ya uchochezi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu...
By Regina MkondeSeptember 22, 2021MKUTANO wa wadau wa vyama nchini Tanzania, unatarajiwa kufanyika tarehe 21 Oktoba 2021, jijini Dodoma. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021SHAHIDI namba tatu wa Jamhuri, katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Askari Polisi H4323 Msemwa,...
By Regina MkondeSeptember 21, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kusikiliza kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021SHAHIDI wa pili katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Jumatatu, tarehe 20 Septemba 2021, watafikishwa tena...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021UWEKEZAJI nchini Tanzania kwa mwaka 2020/2021, umeongezeka tofauti na ilivyokuwa 2019/2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021SERIKALI ya Tanzania imeongeza vituo vya utoaji huduma ya chanjo ya ugonjwa wa Corona (UVIKO-19), kutoka 550 hadi 6,784 nchi nzima. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 20, 2021WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), ikisema Chama upinzani cha Wananchi (CUF), kitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde, Zanzibar,...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021VYAMA vya siasa 16, vimejitokeza kushiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, huku Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, vikijitokeza vyama...
By Regina MkondeSeptember 19, 2021MAMBO matatu yamejirudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 17, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali ombi la mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili...
By Regina MkondeSeptember 17, 2021