RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wasaidizi wake, kutowabudhudhi wawekezaji hususan wazawa kwani kufanya hivyo kunachelewesha fursa za ajira....
By Regina MkondeDecember 3, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amewaomba Watanzania washirikiane katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga...
By Regina MkondeDecember 1, 2021ALIYEKUWA Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gabriel Samheta Mhina, akitoa ushahidi wake katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya...
By Regina MkondeDecember 1, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhumuku Uchumi, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imetupilia mbali pingamizi la jamhuri la...
By Regina MkondeNovember 30, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi imayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamepinga upokeaji wa nyaraka za upande wa...
By Regina MkondeNovember 30, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea barua ya utetezi katika kesi ndogo...
By Regina MkondeNovember 29, 2021WATAALAMU wa sekta ya afya nchini, wameitahadharisha jamii juu ya ujio wa wimbi la nne la Ugonjwa wa Korona (Uviko-19), huku wakihimiza...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MHADHIRI wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Profesa Deodatus Kakoko, ametoa wito kwa wananchi kuchanjwa chanjo ya Ugonjwa wa...
By Regina MkondeNovember 27, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ba wenzake, wameiomba Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umemaliza kuwasilisha hoja zao za kupinga...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MOHAMED Abdillah Ling’wenya, ambaye ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya ugaidi inayomkabili yeye na wenzake watatu akiwemo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umeweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umefunga ushahidi...
By Regina MkondeNovember 25, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
By Regina MkondeNovember 24, 2021INSPEKTA Rugawa Issa Maulid (42), Kaimu Mkuu wa Kituo cha Polisi Tazara, amekata kufikishwa kituoni hapo kwa watuhumiwa wa kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeNovember 24, 2021ASKARI Mpelelezi wa Polisi nchini Tanzania, H4347 Goodluck, ambaye ni shahidi wa pili wa jamhuri katika kesi ndogo ndani ya kesi ya...
By Regina MkondeNovember 23, 2021KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, inaendelea leo Jumanne, tarehe 23 Novemba 2021. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeNovember 23, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamembana shahidi wa Jamhuri, Ricardo Msemwa...
By Regina MkondeNovember 22, 2021KITABUcha kumbukumbu ya mahabusu (DR) cha Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam, kimeibua maswali baina ya shahidi wa Jamhuri na mawakili...
By Regina MkondeNovember 22, 2021KITABU cha kumbukumbu za mahabusu (DR), cha Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, kimeendelea kuibua mkanganyiko katika kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeNovember 22, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu tarehe 22 Novemba 2021, itatoa uamuzi mdogo katika...
By Regina MkondeNovember 22, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali zinazogusa tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Regina MkondeNovember 16, 2021MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...
By Regina MkondeNovember 12, 2021MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...
By Regina MkondeNovember 12, 2021ASKARI Mpelelezi (Detective Constable-DC), Ricardo Msemwa, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed...
By Regina MkondeNovember 12, 2021MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Arumeru, Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
By Regina MkondeNovember 11, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea kitabu cha kumbumbuku za mahabusu,...
By Regina MkondeNovember 11, 2021MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameweka pingamizi dhidi ya kitabu cha...
By Regina MkondeNovember 10, 2021KESI ndogo ndani ya kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeanza kusikilizwa, Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeNovember 10, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano mkoani Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAPINGAMIZI yametawala katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, tangu ilipoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imeelezwa namna Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...
By Regina MkondeNovember 9, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imeahirisha usililizwaji wa kesi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chadema,...
By Regina MkondeNovember 8, 2021AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 8, 2021TAASISI ya Young and Alive Initiative (YAI), imeanza kusaka Vijana, kwa ajili ya programu maalumu ya kuwajengea uwezo watu wa rika hilo...
By Regina MkondeNovember 6, 2021PETER Kibatala, Wakili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...
By Regina MkondeNovember 5, 2021ALIYEKUWA Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Wilaya ya Arusha, Inspekta Mahita Omari Mahita, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya...
By Regina MkondeNovember 5, 2021MRAJISI wa leseni za bunduki kutoka Jeshi la Polisi, Kamisheni ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kitengo cha Udhibiti na Usajiliwa Silaha...
By Regina MkondeNovember 4, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na upande wa utetezi,...
By Regina MkondeNovember 4, 2021MVUTANO umeibuka baina ya mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake...
By Regina MkondeNovember 4, 2021ASKARI Polisi, SSP Sebastian Madembwe (46), ambaye ni Mrajisi wa leseni za bunduki wa Jeshi la Polisi anatoa ushahidi wake katika kesi...
By Regina MkondeNovember 4, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeahirisha usikilizaji wa kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 3, 2021USAHIHI wa saini ya shahidi wa nne wa Jamhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...
By Regina MkondeNovember 1, 2021SHAHIDI wa nne wa Jumhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, Rau Madukani mkoani Kilimanjaro ameelezea jinsi Adam Kasekwa na...
By Regina MkondeNovember 1, 2021BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA), limefuta matokeo ya watahiniwa 393, waliobainika kufanya udanganyifu wakati wa kufanyika mitihani ya kumaliza elimu ya msingi....
By Regina MkondeOctober 30, 2021SHAHIDI wa tatu wa Jamhuri, Koplo Hafidhi Abdllah Mohammed, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama...
By Regina MkondeOctober 29, 2021