JIJI la Dar es Salaam nchini Tanzania, linatarajiwa kuvunjwa ili kuokoa fedha zinazotumika kuendesha jiji hilo wakati halina miradi ya maendeleo na...
By Regina MkondeFebruary 24, 2021SHIRIKA linalofanya kazi ya kukuza upatikanaji wa haki nchini Tanzania, kupitia uwezeshaji wa kisheria (LSF), linaendesha mkutano wa siku mbili kwa ajili...
By Regina MkondeFebruary 23, 2021KAMAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu amekaimu rasmi kiti cha uenyekiti wa chama hicho, kilichokuwa kikishikiliwa na Hayati Maalim...
By Regina MkondeFebruary 23, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kitaanza mchakato wa kumpata mrithi wa Maalim Seif Sharif Hamad (77), kwenye nafasi ya Makamu wa Kwanza...
By Regina MkondeFebruary 22, 2021WAWEKEZAJI na wafanyabiashara nchini wameshauri wa kuibua fursa zinazofungamana na sekta ya madini ili ajili kukuza uchumi wa Taifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeFebruary 22, 2021ALIYEWAHI kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndulu (71), amefariki dunia leo Jumatatu tarehe 22 Februari 2021, katika...
By Regina MkondeFebruary 22, 2021PADRE wa Parokia ya Kristo Mfalme Kibaoni, Jimbo Katoliki la Singida, Parick Njiku, amefariki dunia jana Ijumaa, tarehe 19 Februari 2021, katika...
By Regina MkondeFebruary 20, 2021ALIYEWAHI kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Servacius Likwelile, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi,...
By Regina MkondeFebruary 20, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema, aligoma kukubali wito wa kukutana na aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif...
By Regina MkondeFebruary 19, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli, ametangaza siku tatu za maombi kuanzia leo Ijumaa hadi Jumapili tarehe 21 Februari 2021, ili Mungu atokomeze...
By Regina MkondeFebruary 19, 2021RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewaongoza waombolezaji, kuuaga mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi (64), aliyefariki dunia tarehe 17...
By Regina MkondeFebruary 19, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ameongoza maelfu ya wananchi jijini Dar es Salaam, katika ibada ya swala ya maiti ya mwanasiasa...
By Regina MkondeFebruary 18, 2021BARAZA la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Tanzania (TEC), limewataka Watanzania kuacha siasa za upendeleo na ubinafsi, kwa kuwa zinasababisha mfarakano katika...
By Regina MkondeFebruary 17, 2021AZIZ Rashid Abdallah (39), mkulima na mkazi wa Mbande Rufu, Mbagala jijini Dar es Salaam anashikiliwa na Jeshi la Polisi, Mkoa wa...
By Regina MkondeFebruary 15, 2021PAROKO Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Parokia ya Chang’ombe, Padri Ernest Donald Boyo, amefariki dunia usiku wa jana...
By Regina MkondeFebruary 11, 2021WARAKA kuhusu tahadhari ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19), uliotolewa na Profesa Elifas Bisanda, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021CHAMA cha ACT- Wazalendo, kimemshauri Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi kuunda “tume ya maridhiano” ili kutibu vidonda vya uchaguzi mkuu uliyopita,...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021KASI ya “kujipendekeza” ya baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kwa Rais wa Tanzania, John Magufuli, imeshangaza waengi, wakiwamo viongozi wa...
By Regina MkondeFebruary 10, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo kimesema, kimewapeleka wanachama wake wanne bungeni ili wakasimamie ajenda tano za chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....
By Regina MkondeFebruary 9, 2021JOSEPH Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ametaka mjadala wa Rais John Magufuli kuongezewa muda wa kutawala, uachwe huru. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeFebruary 6, 2021TUHUMA kwamba Bunge la Tanzania nidhaifu zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), zimepingwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeFebruary 6, 2021MAKAMO wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, bado anaendelea kupata matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, Visiwani Unguja....
By Regina MkondeFebruary 4, 2021LINNA Romani Maro (47), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, baada ya...
By Regina MkondeFebruary 3, 2021WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, wizara yake imezungumza na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kwa ajili...
By Regina MkondeFebruary 2, 2021WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewakaribisha wabunge kutoka Chama cha ACT-Wazalendo na wale waliotimuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
By Regina MkondeFebruary 2, 2021SERIKALI imeeleza kwamba, kutokana na muingiliano na mataifa mengine duniani, haiwezi kuepuka tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 31, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo, amewataka viongozi wa kanisa hilo, kuwaelimisha waamini wake, kuchukua...
By Regina MkondeJanuary 30, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa...
By Regina MkondeJanuary 29, 2021KAMPUNI ya LZ Nickel Limited ya nchini Uingereza, imefuata nyayo za Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corparation, kwa kuingia ubia na Serikali...
By Regina MkondeJanuary 19, 2021BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 215, waliofanya udanganyifu katika mitihani yao ya Taifa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 15, 2021TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefanya mabadiliko ya uongozi, sambamba na kuanzisha huduma inayotembea (Mobile PCCB), kwa ajili ya...
By Regina MkondeJanuary 13, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Geofrey Mwambe amesema, kupanda kwa bei ya mafuta ya kula, kumesababishwa na mfumuko wa bei ya...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, ameanza kujiandikia kitabu kitakachoeleza historia ya maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...
By Regina MkondeJanuary 12, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeagiza mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hospitali zote za umma, ili kubaini sababu za kukwama kwa mfumo wa utoaji huduma za...
By Regina MkondeDecember 31, 2020WATU wanaomiliki ardhi mijini, mashambani na vijijini, wametakiwa kulipa kodi ya ardhi kabla ya Januari 2021, vinginevyo watafikishwa kortini. Anaripoti Regina mkonde, Dar...
By Regina MkondeDecember 27, 2020SERIKALI ya Tanzania imeagiza utoaji wa majibu ya vipimo vya ugonjwa wa corona ndani ya saa 24 badala ya saa 72. Anaandika Regina...
By Regina MkondeDecember 26, 2020WATU 41 wakiwemo wanafunzi 32 na walimu wawili, wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya shule...
By Regina MkondeDecember 21, 2020MATUKIO ya mauaji yanayotokana na wivu wa mapenzi, yameongoza katika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar Es Salaam…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe...
By Regina MkondeDecember 21, 2020PROFESA Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, ameahidi kuwachukulia hatua mawakili wanaopotosha maamuzi ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....
By Regina MkondeDecember 21, 2020BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limemtaka aliyekuwa mwenyekiti wake, Halima James Mdee na wenzake 18, “kuacha kutumia jina...
By Regina MkondeDecember 16, 2020TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kagera, inawashikilia wanafunzi 38 wa Chuo cha Ufundi (VETA) Wilaya ya Bukoba mkoani...
By Regina MkondeDecember 16, 2020SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge wanne wa chama cha ACT-Wazalendo huku akisema, akidi ya muhimili...
By Regina MkondeDecember 15, 2020SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo Jumanne tarehe 15 Desemba 2020, atawaapisha wabunge wanne wa ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeDecember 15, 2020Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 14...
By Regina MkondeDecember 14, 2020RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza waliokuwa watumishi wa Wakala wa Ukauzi wa Madini Tanzania (TMAA) kisha kuhamishiwa Tume ya Madini wapunguziwe mishahara...
By Regina MkondeDecember 11, 2020RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256 waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeDecember 9, 2020HATIMAYE Maalim Seif Hamad, mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekubali yaishe. Ameapishwa kuwa Makamo wa Rais wa Kwanza, katika serikali ya Umoja...
By Regina MkondeDecember 8, 2020BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) limesema, kuondoka kwa mwenyekiti wake, Halima Mdee na wenzake 18, hawatarudisha nyuma jitihada...
By Regina MkondeNovember 28, 2020CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...
By Regina MkondeNovember 27, 2020SAKATA la wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa kukubali uteuzi wa wabunge...
By Regina MkondeNovember 26, 2020