Saturday , 20 April 2024
Home upendo
1868 Articles238 Comments
Habari za SiasaTangulizi

Mjadala JPM kuongezewa muda uachwe huru – Butiku

  JOSEPH Butiku, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, ametaka mjadala wa Rais John Magufuli kuongezewa muda wa kutawala, uachwe huru. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Bunge lazidi kuwakingia kifua waliofukuzwa Chadema

  TUHUMA kwamba Bunge la Tanzania nidhaifu zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), zimepingwa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

HabariTangulizi

Maalim Seif afikisha siku ya tisa hospitalini

  MAKAMO wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, bado anaendelea kupata matibabu katika hospitali kuu ya Mnazi Mmoja, Visiwani Unguja....

Habari Mchanganyiko

Mama wa miaka 47 afungwa miaka 30 kwa kusafirisha dawa za kulevya

  LINNA Romani Maro (47), amehukumiwa kifungo cha miaka 30 gerezani na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, baada ya...

Habari za Siasa

Safari matumizi ya Kiswahili mahakamani yaanza

  WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Mwigulu Nchemba amesema, wizara yake imezungumza na Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), kwa ajili...

Habari za Siasa

Ni mbwembwe, ‘wabunge wa Chadema’ wakitinga bungeni

  WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamewakaribisha wabunge kutoka Chama cha ACT-Wazalendo na wale waliotimuliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari za Siasa

COVID-19: Serikali ‘hatuwezi kuepuka’

  SERIKALI imeeleza kwamba, kutokana na muingiliano na mataifa mengine duniani, haiwezi kuepuka tahadhari juu ya maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Shoo azungumzia corona “tusimjaribu Mungu”

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo, amewataka viongozi wa kanisa hilo, kuwaelimisha waamini wake, kuchukua...

Habari za Siasa

Chadema: Hatujapokea hata senti moja ya ruzuku

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kampuni ya LZ Nickel yafuatayo nyayo za Barrick

KAMPUNI ya LZ Nickel Limited ya nchini Uingereza, imefuata nyayo za Kampuni ya Madini ya Barrick Gold Corparation, kwa kuingia ubia na Serikali...

Elimu

Wanafunzi 215 wafutiwa matokeo, 252… 

BARAZA Mitihani la Tanzania (Necta), limefuta matokeo yote ya watahiniwa 215, waliofanya udanganyifu katika mitihani yao ya Taifa mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Bosi Takukuru atangaza mabadiliko ya viongozi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (Takukuru), imefanya mabadiliko ya uongozi, sambamba na kuanzisha huduma inayotembea (Mobile PCCB), kwa ajili ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri Mwambe asema corona imepandisha bei ya mafuta ya kula

WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Geofrey Mwambe amesema, kupanda kwa bei ya mafuta ya kula, kumesababishwa na mfumuko wa bei ya...

Tangulizi

Rais Kikwete afuata nyayo za Mkapa

RAIS mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, ameanza kujiandikia kitabu kitakachoeleza historia ya maisha yake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Vigogo hospitali za serikali kikaangoni, Waziri Gwajima…

SERIKALI ya Tanzania, imeagiza mamlaka husika kuzifanyia uchunguzi hospitali zote za umma, ili kubaini sababu za kukwama kwa mfumo wa utoaji huduma za...

Habari Mchanganyiko

Wadaiwa pango la ardhi kukiona

WATU wanaomiliki ardhi mijini, mashambani na vijijini, wametakiwa kulipa kodi ya ardhi kabla ya Januari 2021, vinginevyo watafikishwa kortini. Anaripoti Regina mkonde, Dar...

Habari Mchanganyiko

Serikali yataka majibu ya corona kwa saa 24

SERIKALI ya Tanzania imeagiza utoaji wa majibu ya vipimo vya ugonjwa wa corona ndani ya saa 24 badala ya saa 72. Anaandika Regina...

Habari Mchanganyiko

Wanafunzi 32, Walimu 2 mbaroni kwa tuhuma za kuchoma moto shule

WATU 41 wakiwemo wanafunzi 32 na walimu wawili,  wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa tuhuma za kuhusika katika matukio ya shule...

Habari Mchanganyiko

Mauaji wivu wa mapenzi yatikisa 2020

MATUKIO ya mauaji yanayotokana na wivu wa mapenzi, yameongoza katika mwaka 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar Es Salaam…(endelea). Taarifa hiyo imetolewa leo tarehe...

Habari Mchanganyiko

Mawakili wapotoshaji kukiona – Jaji Mkuu

PROFESA Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Tanzania, ameahidi kuwachukulia hatua mawakili wanaopotosha maamuzi ya mahakama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Mdee, wenzake 18 wapigwa ‘kitanzi’

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), limemtaka aliyekuwa mwenyekiti wake, Halima James Mdee na wenzake 18, “kuacha kutumia jina...

ElimuHabari MchanganyikoTangulizi

WhatsApp yatumika udanganyifu wa mitihani, 65 mbaroni

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kagera, inawashikilia wanafunzi 38 wa Chuo cha Ufundi (VETA) Wilaya ya Bukoba mkoani...

Habari za Siasa

Wabunge ACT-Wazalendo waapishwa, Spika Ndugai asema…

SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge wanne wa chama cha ACT-Wazalendo huku akisema, akidi ya muhimili...

Habari za Siasa

Spika Ndugai kuwaapisha wabunge ACT-Wazalendo

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai leo Jumanne tarehe 15 Desemba 2020, atawaapisha wabunge wanne wa ACT-Wazalendo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi amtumbua aliyemwapisha siku 37 zilizopita

Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ametengua uteuzi wa Katibu wake, Suleiman Ahmed Saleh. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Taarifa iliyotolewa leo Jumatatu tarehe 14...

Habari

Magufuli aagiza mishahara ‘watumishi’ TMAA ipunguzwe

RAIS wa Tanzania, John Magufuli ameagiza waliokuwa watumishi wa Wakala wa Ukauzi wa Madini Tanzania (TMAA) kisha kuhamishiwa Tume ya Madini wapunguziwe mishahara...

Habari za Siasa

Magufuli akataa kunyonga 256, wafungwe maisha

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amewapunguzia adhabu wafungwa 256  waliohukumiwa kunyongwa na kuagiza wapewe kifungo cha maisha gerezani. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Maalim Seif akubali yaishe, akumbusha machungu ya uchaguzi 

HATIMAYE Maalim Seif Hamad, mwenyekiti wa Chama cha ACT- Wazalendo, amekubali yaishe. Ameapishwa kuwa Makamo wa Rais wa Kwanza, katika serikali ya Umoja...

Habari za Siasa

Bawacha wawananga Mdee na wenzake

BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha) limesema, kuondoka kwa mwenyekiti wake, Halima Mdee na wenzake 18, hawatarudisha nyuma jitihada...

Habari za SiasaTangulizi

Hatma Mdee na wenzake leo, wanachama wajitokea makao makuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Ijumaa tarehe 27 Novemba 2020, kinafanya kikao maalum cha kamati kuu kuwajadili wanachama wake 19 wanaodaiwa...

Habari za Siasa

Askofu Bagonza awazungumzia Mdee na wenzake, aishauri Chadema 

SAKATA la wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kwenda kinyume na msimamo wa chama hicho kwa kukubali uteuzi wa wabunge...

Habari za Siasa

Maswali 6 tata kuapishwa Mdee na wenzake

HATUA ya wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kuapishwa kuwa wabunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri...

Habari za Siasa

Chadema yawapa rungu Watanzania kuwamaliza Mdee na wenzake

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefungua milango kwa wanachama wake na Watanzania kwa ujumla kupendekeza adhabu kwa wanachama wake 19 waliokiuka maagizo...

Habari za SiasaTangulizi

Siku za Mdee na wenzake Chadema zahesabika, waitwa kujieleza

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaita wabunge wake 19 wa viti maalumu kujieleza kwa nini walikiuka maagizo ya chama hicho kutokubali uteuzi...

Habari za Siasa

Zitto amweka njia panda Dk. Mwinyi

ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha  ACT-Wazalendo amesema, hadi sasa chama hicho hakijafanya uamuzi kuhusu ushiriki wake katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...

Habari Mchanganyiko

Lissu atoa masharti matatu kurejea, amjibu IGP Sirro

TUNDU Lissu, aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ametoa masharti matatu ili arejee nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Umeya, Uenyekiti: La mgambo limelia CCM

HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC-CCM), imefanya uteuzi wa wagombea nafasi za Meya wa Jiji, wenyeviti wa Halmashauri za Wilaya na Miji....

Habari za Siasa

Ugaidi: IGP Sirro kukutana na IGP wa Msumbiji

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini Tanzania, IGP Simon Sirro anatarajiwa kufanya mazungumzo na Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi Msumbiji, Bernadino Rafael...

Habari za Siasa

IGP Sirro: Walipanga nchi isitawalike

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro ameeleza kuwa, kuna watu walipanga wakati wa Uchaguzi Mkuu, nchi isitawalike. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Magufuli amtisha Majaliwa

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Tanzania amemtahadharisha, Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Kassim Majaliwa kuwa endapo atashindwa kutekeleza wajibu wake ipasavyo atamwondoa. Anaripoti...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ahofia vita ya kiuchumi ‘umasikini bado mkubwa’

DAKTARI Phillip Mpango, Waziri wa Fedha na Mipango wa Tanzania ameahidi kutumia vyema rasilimali zilizopo nchini kupunguza umasikini, badala ya kutegemea fedha za...

Habari za Siasa

Magufuli amuapisha waziri mkuu, mawaziri 2

RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemuapisha, Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea). Majaliwa ameapishwa leo Jumatatu tarehe...

Habari za Siasa

Magufuli: Sina mpango kubadilisha Ma RC, DC, DED na…

RAIS wa Tanzania, John Magufuli, amewatoa wasiwasi wateule wake wa nafasi mbalimbali za uongozi kwamba hana mpango wa kubadilisha “nilioanza nao nitamaliza nao.”...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aomba hifadhi Ujerumani

ALIYEKUWA mgombea urais wa Chadema, katika uchaguzi mkuu uliyopita nchini Tanzania, Tundu Antipas Lissu, amekimbilia nyumbani kwa balozi wa Ujerumani, jijini Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo kujadili uundwaji Serikali Z’bar 

CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania, ACT-Wazalendo kimesema, kitafanya vikao kwa ajili ya kujadili  kama kitashiriki katika uundwaji wa Serikali ya Umoja...

Habari za Siasa

Mbowe, wenzake kiguu na njia polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wameripoti Kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam....

Habari za Siasa

Magufuli: Uchaguzi umekwisha, tulijenge Taifa

JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amewaeleza wananchi wa Taifa hilo uchaguzi mkuu umemalizika na jukumu lililopo mbele ni...

Habari za SiasaTangulizi

A-Z kuapishwa Magufuli

JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Hamis Juma, amemwapisha Dk. John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Tanzania atakayeongoza Taifa hilo kwa kipindi cha...

Habari Mchanganyiko

Petroli yapanda, dizeli yashuka

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) nchini Tanzania, imetangaza ongezeko la bei ya rejareja ya petroli kwa Sh.25 na Sh.12...

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yamkana mgombea wake wa urais

CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekana kuutambua msimamo wa aliyekuwa Mgombea wake wa urais wa Tanzania, Yeremia Maganja wa kukubali matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika...

error: Content is protected !!