Friday , 29 March 2024
Home upendo
1837 Articles230 Comments
Habari za Siasa

Chadema: Hatumchukii Magufuli, ila…

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), nchini Tanzania, kimeeleza hakina tatizo na Rais John Magufuli, mgombea urais wa nchi hiyo kupitia Chama Cha...

Habari za Siasa

Magufuli awashangaa wanaompinga Dk. Mpango jimboni

MGOMBEA urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), RAIS John Pombe Magufuli amewashangaa watu wanaompinga Dk. Phillip Mpango katika Jimbo la Buhigwe...

Habari za Siasa

Mgombea urais NCCR-Mageuzi kugawa bure taulo za kike shuleni

YEREMIA Kulwa Maganja, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha NCCR-Mageuzi, ameahidi kugawa taulo za kike ‘Pad’ bure katika shule zote, atakapofanikiwa kushinda...

Habari Mchanganyiko

Msaidizi wa Membe anashikiliwa polisi tuhuma za utakatishaji fedha

JEROME Luanda, Msaidizi wa Bernard Membe, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo anashikiliwa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba: Tukipoteza uchaguzi huu, tutajuta

PROFESA Ibrahim Lipumba, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF) amesema, wananchi wakishindwa kuutumia Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020...

Habari za Siasa

Muro wa NCCR-Mageuzi aahidi kuibadili Kinondoni

MUSTAFA Muro, Mgombea Ubunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia NCCR-Mageuzi, ameahidi kuboresha maisha ya wananchi wa jimbo hilo, endapo watamchagua katika...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atikiswa, chopa yake yagomewa

HELKOPTA (chopa) iliyotarajiwa kumbeba Tundu Lissu, mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuelekea Bagamoyo mkoani Pwani, imegomewa kuruka. Anaripoti Regina...

Habari Mchanganyiko

TMA yatabiri mvua hafifu mikoa 16 Tanzania

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetangaza mikoa 16 itakayopata mvua za vuli chini ya wastani hali itakayosababisha ukame katika maeneo hayo....

Habari za SiasaTangulizi

Membe afichua kitakachoiua CCM

BERNARD Membe, mgomeba urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, ametaja kitachoiua Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam …...

Habari za Siasa

Askofu: Wagombea ‘waliokatwa’ warejeshwe

ASKOFU Emmaus Mwamakula, Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania, ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, kuwarudisha wagombea wa...

Habari za SiasaTangulizi

Ahadi ya CCM 2020 – 2025

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeahidi kupunguza pengo la wenye nacho na wasiokuwa nacho, endapo kitafanikiwa kushinda Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020. Anaripoti...

Habari za Siasa

Askofu Mwamakula aonya roho za kisasi wagombea urais

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Emmaus Mwamakula, amewataka wagombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wamimilika uzinduzi kampeni za urais Chadema

MAMIA ya wananchi wanaendelea kujitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) zinazofanyika leo Ijumaa...

Habari za Siasa

Lissu katika tundu la sindano NEC

TUNDU Lissu, mgombe urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mgombea mwenza wake Salum Mwalimu, wameponea kwenye ‘tundu la sindano.’ Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Kubenea atamba kuitwaa Kinondoni

ALIYEKUWA mbunge wa Ubungo, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Saed Kubenea, amejigamba kushinda kinyang’anyiro cha ubunge katika jimbo la Kinondoni. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mdee: Gwajima?… tukutane jukwaani

HALIMA Mdee, Mgombea Ubunge Kawe, Dar es Salaam kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amesema ‘Gwajima (Josephat Gwajima) kitu gani.’ Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Nitamnyoosha Gwajima, Mdee – Mgombea TLP

AMANDUS Komba, mgombea ubunge Kawe jijini Dar es Salaam kupitia Chama cha TLP, amejigamba kuwaangushwa Halima Mdee (Chadema) na Askofu wa Kanisa la...

Habari za Siasa

Dk. Lwaitama amchambua Magufuli, Lissu

WAGOMBEA wawili kwenye uchaguzi mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, wana mambo mazito ya kushawishi wananchi hivyo kufanya uchaguzi kuwa mgumu. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaTangulizi

Nani kupenya kugombea urais, ubunge Tanzania?

MACHO na masikio ya Watanzania wengine yanaelekezwa Jiji la Dodoma kutakakofanyika uteuzi wa wagombea urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge 90 CCM wafyekwa 

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, ‘kimewakata’ wabunge wake zaidi ya 90 waliokuwa wakitetea nafasi zao ndani ya chama hicho katika Uchaguzi Mkuu...

Habari za Siasa

Lissu akamilisha ujazaji fomu za urais Tanzania 

TUNDU Lissu, mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwenye Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020, amekamilisha hatua...

Habari Mchanganyiko

Sakata la THRDC: LHRC yaiangukia serikali ya Tanzania

FLUGENCE Massawe, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), ameshauri mamlaka husika (Wizara ya Mambo ya...

Habari za Siasa

Utata watawala wagombea Chadema kunyimwa fomu

UTATA umeibuka katika majimbo manne ya uchaguzi baada ya Wakurugenzi wa Uchaguzi, kuwanyima fomu wagombea wateule wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)....

Habari za Siasa

Tanzania yatumia trilioni 1.1 kumaliza mgawo wa umeme

SERIKALI ya Tanzania imetumia Sh.1.1trilioni kumaliza tatizo la mgawo wa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Hayo amesema na Dk. Hassan Abbasi,...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba achagiwa milioni 1 ya fomu za urais

WANAWAKE wa Chama Cha Wananchi (CUF), wamemkabidhi Prof. Ibrahim Lipumba, Mgombea wa chama hicho wa Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba...

Habari za Siasa

CUF ‘wamchomea’ Lissu, Membe

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeeleza, rais hapaswi kuchaguliwa kwa kuhurumiwa kutokana na kupigwa risasi ama kufukuzwa kwenye chama chake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Sheikh Alhad: Mufti angeruhusi, ningejiunga NCCR-Mageuzi

ALHAD Mussa Salum, Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, Kama Sheikh Aboubakar Zuberi, Mufti Mkuu wa Tanzania angemruhusu kujiunga na...

Habari za Siasa

Magufuli atamani Ndugai awe spika tena

JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, ameanza kupigiwa kampeni za kuongoza Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM yaiga staili ya upinzani

KAULI zilizokuwa zikitolewa na vyama vya upinzani nchini Tanzania kwamba ‘tutalinda kura zetu,’ sasa zinatolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM). Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Ilani ya ACT-Wazalendo hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo uliofanyika jana tarehe 5 Agosti 2020, jijini Dar es Salaam umepitisha Ilani zake Uchaguzi Mkuu wa tarehe...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yafanyia mabadiliko Katiba yake

MKUTANO Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, umefanya marekebisho ya Katiba ya chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Mabadiliko hayo...

Habari za Siasa

Watatu wachukua fomu za urais Tanzani

WAGOMBEA watatu wamechukua fomu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kugombea Urais wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020....

Habari za Siasa

Lissu amtahadharisha Membe, agusia ushirikiano na ACT-Wazalendo

MWANASIASA machachari wa upinzani nchini Tanzania,Tundu Antipas Lissu, amemuonya kada wa zamani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bernard Membe, kuwa upinzani wa sasa...

Habari za Siasa

Polepole alia na Lissu, Chadema

HUMPREY Polepole, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ameitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kukishughulikia Chama cha Demokrasia...

Habari za Siasa

Polepole apasua vichwa waliopita kura za maoni

CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimeeleza kutokuwa na simile kwa wanachama wake, waliopita kwenye kura za maoni kisha kukutwa na makandokando. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za Siasa

Ilani ya Chadema 2020 hii hapa

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), umepitisha Ilani yake ya Uchaguzi Mkuu 2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Ilani hiyo...

Habari za Siasa

Siku 100 za Chadema Ikulu

NDANI ya siku 100 za utawala mpya wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), endapo kitapata ridhaa ya wananchi, zitakuwa za kimapinduzi. Anaripoti...

Habari za Siasa

Siri iliyojaa hofu CCM

SAFARI ya kupeleka vilio ama vicheko kwa wateule wake waliopita kwenye kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inazidi kushika kasi....

Habari za Siasa

Jaji Mutungi aionya Chadema kunajisi katiba, sheria

JAJI Francis Mutungi, Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, amekionya Chama Kikuu cha Upinzani nchini huko Chadema kuacha kukiuka Katiba na Sheria...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Mkuu: ACT-Wazalendo, Chadema nguvu moja

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama cha ACT-Wazalendo, wapo kwenye meza ya mazungumzo ya kuunda nguvu moja ili kuing’oa...

Tangulizi

Makonda: Nisameheni

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ameomba msamaha kwa yeyote aliyemkosea wakati akitekeleza majukumu ya ukuu wa mkoa wa...

Habari za Siasa

Asilimia 70 wakazi Dar ni wambea – Makonda

PAUL Makonda, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam amesema, asilimia 70 ya wakazi wa jiji hilo ni wambea. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari

Uchaguzi mkuu 2020: NEC yasema wapigakura ni milioni 29, vituo 80,155

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) nchini Tanzania, imesema idadi ya wapigakura katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 28 2020 ni milioni 29...

Habari Mchanganyiko

Majaliwa akerwa shule za Kiislamu kuungua moto

TUME ya kuchunguza matukio ya majengo ya Shule za Msingi na Semondaei za Kislamu kuungua kwa moto jijini Dar es Salaam inakamilisha taarifa...

Habari za Siasa

Simulizi ya Tundu Lissu ilivyosisimua

TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ametoa simulizi ya hali aliyonayo sasa iliyowafanya wasikilizaji kulengwa lengwa na machozi...

Habari za SiasaTangulizi

Mapokezi ya Lissu yalivyotikisa

UJIO wa Tundu Antiphas Lissu, makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, umetikisa viunga vya Jiji la Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu atua Tanzania, shangwe zatawala

TUNDU Antiphas Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha Chadema- Bara amewasilia nchii hum oleo Jumatatu tarehe 27 Julai...

Habari za Siasa

Wamiminika kumpokea Lissu

BAADHI ya wanachama na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitokeza Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar...

Habari Mchanganyiko

Sadaka misa ya Mkapa kukarabati nyumba ya mapadri Lupaso

YUDA Rua’ichi, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam ameagiza, sadaka itakayopatikana kwenye shughuli ya kumuaga Benjamin William Mkapa, Rais...

Habari Mchanganyiko

Askofu Ngalalekumtwa atoa somo kifo cha Mkapa

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Iringa, Tarcisius Ngalalekumtwa, amewataka Watanzania kutafakari matendo yao kama yanampendeza Mungu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Kiongozi...

error: Content is protected !!