Friday , 3 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Wazee Chato wamtwisha mzigo Rais Samia

  WAZEE wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita, wamemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kutekeleza ahadi waliyoahidiwa na Dk. John Pombe...

Habari MchanganyikoTangulizi

Safari ya mwisho ya Hayati Magufuli Chato

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Joseph Magufuli unazikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, katika makaburi ya nyumbani...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Hayati Magufuli kuzikwa leo, Rais Samia atoa shukrani

  WAKATI mwili wa Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ukizikwa leo Ijumaa tarehe 26 Machi 2021, nyumbani kwao, Chato mkoani Geita, Rais wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Baba aliyefiwa watoto, mke atoa yamoyoni

  MAMIA ya wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi katika mazishi ya wanandugu watano, wanaodaiwa kufariki dunia katika shughuli...

Habari za Siasa

Zitto akumbushia sakata la Nape, yeye amjibu

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameliibua upya sakata la aliyekuwa waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo, Nape Nnauye, kunyooshewa...

Habari za SiasaTangulizi

Z’bar wamtaka Rais Mwinyi aongoze kama Magufuli

  MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema, vijana wengi visiwani humo, wanataka Serikali ya Rais Hussein Mwinyi, iongoze...

Habari MchanganyikoTangulizi

Saa 48 za mwili wa Magufuli Chato

  WANANCHI wa Chato, mkoani Geita leo Alhamisi tarehe 25 Machi 2021, watauaga mwili wa mpendwa wao, Dk. John Pombe Joseph Magufuli. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Chato walivyoupokea mwili wa Magufuli, kulazwa kwake

  MWILI wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umewasili nyumbani kwao, Chato Mkoa wa Geita ukitokea Mwanza. Anaripoti Mwandishi Wetu, Chato...

Habari za Siasa

Zitto atoa sharti kumuunga mkono Rais Samia

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema, yuko tayari kumuunga mkono Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, endapo serikali yake itahakikisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Magufuli aisimamisha Mwanza, mwili wazungushwa mara 5 uwanjani

  MWILI wa Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, umezungushwa mara tano, ndani ya Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tukio la Adhana: Uhuru awakosha Waislam Kenya

  BARAZA la Waislam la Kenya (SUPKEM), limempongeza Rais Uhuru Kenyatta wa nchi hiyo, kwa kusimamisha hotuba yake wakati Adhana iliposomwa. Anaripoti Mwandishi...

HabariTangulizi

Dk. Hoseah ajitosa urais TLS

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru), Dk. Edward Hoseah, amejitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania urais...

HabariTangulizi

Mwili wa Magufuli wapokea kishujaa Mwanza

  NYUMBANI ni nyumbani. Hivi ndivyo unaweza kuelezea, jinsi wakazi wa Jiji la Mwanza na maeneo jirani wameupokea kishujaa mwili wa Dk. John...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Mwinyi: Tumempoteza mtetezi wa wanyonge

  RAIS wa Zanzibar na Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Mwinyi amesema, Bara la Afrika limepoteza kiongozi mwanamapinduzi, kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili Magufuli wawasili Z’bar, Uwanja wa Aman wafurika

  WANANCHI wa Zanzibar, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, aliyefariki dunia tarehe 17 Machi...

Habari

Jinsi mkasa wa wanafamilia 5 kufa wakimuaja JPM ulivyokuwa

SAFARI ya miaka 10 ya ndoa ya Suzana Ndaga Mtuwa na Denis Mtuwa iliyofungwa katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT), Kimara jijini...

HabariTangulizi

Marais tisa wamuaga Dk. Magufuli

  MARAIS tisa katika nchi za Bara la Afrika, wameshiriki shughuli ya kitaifa ya mazishi ya aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe...

Habari

Rais Ramaphosa ataja siri Magufuli kutosafiri nje

  RAIS wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema, aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli, alimwambia hapendi kusafiri nje ya nchi, kwa...

Habari za Siasa

CCM yamkingia kifua Rais Samia

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimewatoa wasiwasi wanachama wake kwa ujumla kikisema mambo yatakwenda kama yalivyopangwa chini ya Rais...

Habari

Maneno ya mwisho ya Magufuli kwa Rais Samia

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, amesema siku chache kabla ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Hayati John Pombe Magufuli kufariki dunia,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atuma salamu kwa wanaombeza

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wale wote wenye shaka ya uongozi wake kutokana na jinsia yake ya mwanamke, kukaa mguu...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Magufuli aacha watoto 7, siri jina la Pombe…

  ALIYEKUWA Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Joseph Magufuli (61), hadi mauti yanamfika saa 12:00 jioni ya Jumatano tarehe 17 Machi 2021,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mama Janeth Magufuli amtoa machozi Rais Samia

  SIMANZI iliyotanda usoni mwa Janeth, Mjane wa Aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61), amemfanya Rais Samia Suluhu Hassan, kutokwa chozi....

HabariTangulizi

Kifo cha Magufuli: Spika Ndugai amwangukia Mama Samia

  SPIKA wa Bunge, Job Ndugai amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani, kukamilisha ndoto za aliyekuwa rais wa taifa hilo, Hayati John...

Habari MchanganyikoTangulizi

Spika Ndugai awashukia wanaofurahia kifo cha Magufuli

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewashukia watu wanaofurahia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli (61), kilichotokea Jumatano...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vilio vyatawala wabunge wakimuaga Dk. Magufuli

  VILIO vimetawala viwanja vya Bunge jijini Dodoma, wakati wabunge wakiaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli (61). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu kumuaga Dk. Magufuli wabadilishwa

  UMATI mkubwa wa waombolezaji wanaofika kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli, umeifanya Serikali kutangaza utaratibu mpya wa kumuaga. Anaripoti Regina...

Habari za SiasaTangulizi

Marais 10 Afrika kumuaga Magufuli

  MARAIS 10 wa Barani Afrika wanatarajiwa kuhudhuria shughuli ya kitaifa ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Pombe Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Kishindo cha Magufuli saa 48 Dar

  JOHN Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Tanzania, ameliteka Mkoa Dar es Salaam na viunga vyake, katika maeneo mbalimbali hususan, Uwanja wa Uhuru....

Habari za SiasaTangulizi

Uhuru yafurika kumuaga Dk. Magufuli, vilio vyatawala

  MAELFU ya wakati wa mkoa wa Dar es Salaam na maeneo jirani, wamejitokeza kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania,...

Habari za Siasa

Mchakato Samia kupewa uenyekiti CCM waanza

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesema wakati wowote kuanzia sasa, kitaitisha mkutano mkuu maalum wa kumpitisha Rais Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa amwaga chozi mbele ya mwili wa Dk Magufuli

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amejikuta akibubujikwa machozi, mbele ya jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John...

Habari za Siasa

Askofu Ruwa’ichi: Magufuli alikuwa mpenda haki

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Juda Thadeus Ruwa’ichi, amemzungumzia Hayati Rais John Pombe Magufuli, akisema alikuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kuagwa Magufuli: Vilio vyatawala uwanja wa Uhuru

  VILIO na simanzi vimetawala Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam, baada ya jeneza lenye mwili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli...

Habari za SiasaTangulizi

Maelfu wajipanga barabarani kumuaga Dk. Magufuli

  MAELFU ya waombolezaji wamefurika katika viunga vya barabara ya Ali Hassani Mwinyi na Kawawa mkoani Dar es Salaam, kutoa heshima za mwisho...

Habari za Siasa

Kikwete alivyomzungumzia Magufuli, ampongeza Rais Samia

  RAIS mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema, kifo cha aliyekiwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John Pombe Magufuli, kimewashtua wengi nani pigo...

HabariTangulizi

Hali ilivyo St. Peter kwenye Ibada ya Dk. Magufuli

  VIKOSI vya usalama vimeimarisha ulinzi kila mahali, waombolezaji na watu mbalimbali wanaingia kwa kutumia mlango mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu Kila anayeingia eneo...

Habari za SiasaTangulizi

Mwili wa Dk. Magufuli kupelekwa Z’bar, kuzikwa Ijumaa Chato

  MWILI wa Hayati Rais wa awamu ya tano, John Pombe Magufuli (61), utazikwa Ijumaa ijayo ya tarehe 26 Machi 2021, badala ya...

Habari

Kifo cha Magufuli: Jaji Warioba, Butiku waeleza ya moyoni

  WANASIASA wakongwe nchini Tanzania, Mzee Joseph Butiku na Jaji Mstaafu Joseph Warioba, wamesema watamkumba aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati John Magufuli kutokana...

Habari

Kifo cha Magufuli: Chato waomba wasitelekezwe

  MWENYEKITI wa Baraza la Wazee Wilaya ya Chato mkoani Geita, Samuel Magambo, amewaomba viongozi waliobaki madarakani kutowatenga pia, kutotelekeza wilaya hiyo, badala...

Habari

Rais Samia amfariji mjane wa Magufuli

  RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, amekwenda kuifariji familia ya aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Dk. John Pombe Magufuli, jijini Dar...

Habari

Sherehe Dar zapigwa ‘stop’ siku 21

  MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Aboubakar Kunenge amepiga marufuku kufanyika kwa sherehe yoyote ile ndani ya mkoa huo kwa...

HabariTangulizi

Rais Samia: Tuzike tofauti zetu

  RAIS wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka Watanzania kuzika tofauti zao na kwamba, sasa ni wakati wa kujiamini kama Taifa. Anaripoti...

HabariTangulizi

Ratiba mazishi Dk Magufuli hii hapa, siku 2 za mapumziko

  RATIBA yamazishi ya Dk. John Pombe Magufuli, aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imeelekeza kiongozi huyo atazikwa tarehe 24 Machi...

HabariTangulizi

Huyu ndiye Mama Samia, Rais wa kwanza mwanamke Tanzania

  MAMA Samia Suluhu Hassan, ameapishwa kuwa Rais wa sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ikulu, jijini Dar es Salaam. Anaandika Regina...

Habari za Siasa

Mama Samia kuapishwa leo

  LEO Ijumaa saa 4:00 asubuhi, tarehe 19 Machi 2021, Ikulu ya Dar es Salaam, Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, ataapishwa kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amtwisha mzigo Mama Samia

  MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe amemtumia salamu Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kufuatilia kifo cha Rais...

Habari za Siasa

Mbatia: Waliokamatwa na polisi, waachwe huru

  JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania, kuwaachia Watanzania waliowakamata kwa tuhuma za kusema Rais John...

Habari

Dunia yamlilia Dk. Magufuli

  VIONGOZI wa kimataifa wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Rais Magufuli...

error: Content is protected !!