Categorizing posts based on type of post
WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Nchemba, ametoa sababu ya kuongezeka kwa deni la taifa, kutoka Sh.54.8 trilioni mwaka...
By Masalu ErastoApril 8, 2021TAREHE 15 Aprili 2021, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kitafanya uchaguzi mkuu wa viongozi mbalimbali ikiwemo urais, watakaoongoza chama hicho kwa mwaka...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021JUMUIYA ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imewataka wananchi wasimpelekeshe Rais Samia Suluhu Hassan, hasa wale wanaotaka mchakato wa katiba mpya...
By Danson KaijageApril 7, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro, ameagiza makamanda wa jeshi hilo hasa katika Mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021TUNDU Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Bara, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kufanya mabadilio ya sheria....
By Mwandishi WetuApril 7, 2021KATIBU Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Hassan Abbasi, amepinga maagizo ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ya...
By Mwandishi WetuApril 7, 2021WAGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), wamechuana vikali katika kueleza sera zao, ili kuwashawishi wapiga kura kuwachagua. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, amewasili Zanzibar akitokea jijini Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuApril 6, 2021ASKOFU Alfred Maluma wa Jimbo Katoliki la Njombe nchini Tanzania, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, katika...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021DAKTARI Edward Hoseah amesema, kilichomng’oa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), ni kusema ukweli juu ya sakata la mkataba kati...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limempongeza Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kwa kuagiza vyombo vya habari vyote vilivyofungiwa kufunguliwa. Anaripoti...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema hivi karibuni atafanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa, wilaya na wakurugenzi, ili safu yake ya uongozi...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021KLABU ya Waandishi wa Habari ya Mkoa wa Mwanza(MPC), imempongeza Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa kuvifungulia vyombo vya habari vilivyoungwa kwa...
By Hamisi MgutaApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, ataunda kamati maalum ya kufanyia utafiti ugonjwa wa maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19) kwani...
By Regina MkondeApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuvifungulia vyombo vyote vya habari vilivyofungiwa. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeApril 6, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameanzisha salamu mpya ambayo atakuwa akiitumia katika shughuli mbalimbali. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Samia...
By Kelvin MwaipunguApril 6, 2021LEO Jumanne, tarehe 6 Aprili 2021, ni siku ya mwisho ya maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk....
By Regina MkondeApril 6, 2021SERIKALI ya Awamu ya Tano tangu ilipoingia madarakani tarehe 5 Novemba 2015, imeteua, kutengua ama kuwabadili makamishna wakuu wa Mamlaka ya Mapato...
By Hamisi MgutaApril 5, 2021PANGA pangua ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, imewafyeka vigogo watano wa taasisi na idara za serikali. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeApril 5, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Thobias Mwesiga Richard....
By Mwandishi WetuApril 5, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemrejesha tena Alphayo Kidata kuwa Kamishan Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeApril 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali wakiwemo makatibu wakuu na wakuu wa taasisi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 4, 2021MGOMBEA Urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Flaviana Charles amemwomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kuhakikisha uhuru wa wanahabari, kujieleza...
By Mwandishi WetuApril 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatakia Watanzania wote sikukuu njema ya Pasaka huku akiwakumbusha kuliombda Taifa hilo amani na upendo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 4, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kufuata sheria na taratibu za nchi katika ukusanyaji...
By Hamisi MgutaApril 3, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo, amewataka Watanzania wasiwe na hofu juu ya uongozi wa Rais...
By Mwandishi WetuApril 3, 2021MAMLAKA ya Wawasiliano Tanzania (TCRA), imesitisha kwa muda matumizi ya bei mpya ya vifurushi vya data, ili watoa huduma wapange upya bei...
By Regina MkondeApril 2, 2021CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kitafanya uchaguzi mkuu tarehe 15 Aprili 2021, wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hicho, ikiwemo nafasi ya urais....
By Mwandishi WetuApril 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watazania waendeleze utamaduni wao uliodumu kwa muda mrefu wa kushikamana, kupendana na kushirikiana ili kuhakikisha...
By Mwandishi WetuApril 2, 2021CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimetangaza kutoshiriki Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa maelezo kwamba dosari zilizojitokeza katika mchakato wa Uchaguzi...
By Hamisi MgutaApril 2, 2021CHAMA cha siasa cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimesema kinakwenda kushiriki na kushinda uchaguzi mdogo wa ubunge wa Muhambwe, mkoani Kigoma utakaofanyika tarehe 2...
By Hamisi MgutaApril 2, 2021GHARAMA za vifurushi zinazotolewa na kampuni za simu nchini Tanzania, zimepanda kuanzia leo Ijumaa tarehe 2 Aprili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuApril 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amejishangaa jinsi ambavyo amekuwa akilitaja jina la Bunge la Katiba, badala ya Bunge la Bajeti. Anaripoti...
By Kelvin MwaipunguApril 1, 2021JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amewataka wateule wa Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuchapa kazi kwani kiongozi huyo...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuagiza Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, kuongeza mapato ya nchi kutoka...
By Regina MkondeApril 1, 2021KATIBU Mkuu Kiongozi wa Tanzania, Balozi Hussein Athuman Kattanga, amesema, taarifa za uteuzi wa nafasi hiyo, alizipata akiwa Uwanja wa Ndege wa...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, atafanya mabadiliko ya makatibu wakuu wa wizara mbalimbali hivi karibuni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa onyo kwa wanasiasa walioanza kujipanga kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 akisema “kila...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua akiwemo Balozi Hussein Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021ASASI za Kiraia nchini Tanzania, zimewasilisha kilio cha upatikanaji wa Katiba Mpya katika Baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza kutoshiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma, kwa madai hautakuwa huru na haki. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021LICHA Baraza la Mawaziri kufanyiwa mabadiliko mara kadhaa tangu mwaka 2015, mawaziri watatu na naibu waziri mmoja bado hawajaguswa. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeApril 1, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu akiwemo Dk. Bashiru Ally. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Walioapishwa ni;...
By Mwandishi WetuApril 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri, kwa kuteua mawaziri na manaibu waziri wapya. Anaripoti Mwandishi...
By Hamisi MgutaMarch 31, 2021MAKAMU mpya wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemuahidi Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan, kuwa katika utekelezaji wa majukumu...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021DAKTARI Bashiru Ally, aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, amehudumu nafasi hiyo nyeti ndani ya Ikulu ya Tanzania kwa siku 32. Anaripoti Matrida Peter,...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma, amemwapisha Dk. Philip Isdor Mpango, kuwa Makamu wa Rais wa Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeahidi kufanyia mapitio kanuni za sheria ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu, ili kuondoa changamoto ya makato...
By Kelvin MwaipunguMarch 31, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, ameishauri Serikali ya Tanzania, ifanyie marekebisho sera ya elimu bila...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021MAAMBUKIZO ya virusi vya corona (COVID-19), duniani yamefikia milioni 128.8, waliopona milioni 103.9 na waliofariki dunia wakiwa milioni 2.8. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuMarch 31, 2021