May 23, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Flaviana Charles, mwanamke pekee anayegombea urais TLS

Spread the love

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS), kitafanya uchaguzi mkuu tarehe 15 Aprili 2021, wa kuwapata viongozi mbalimbali wa chama hicho, ikiwemo nafasi ya urais. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Nafasi ya urais, wamepitishwa wagombea watano ambao ni; Shehzada Walli, Albert Msando, Francis Stolla, Dk. Edward Hoseah na Flaviana Charles ambaye ni mwanamke pekee.

MwanaHALISI TV limefanya mahojiano maalum na Flaviana ambaye kwa zaidi ya miaka 15, amekuwa mwanachama wa TLS lakini, akijihusisha na masuala ya utetezi wa haki za binadamu.

Flaviana, ameweka wazi mikakati yake ikiwemo jinsi ya kuwalinda wanasheria hao, kukibadili kiuchumi, kuwasaidia mawakili wanaoanza kazi lakini kilichomsukuma kugombea nafasi hiyo.

Kesi aliyoisimamia ya Watanzania sita walioshitakiwa kwa uhaini nchini Malawi.

Fuatilia mahojiano yake na MwanaHALISI TV

error: Content is protected !!