Categorizing posts based on type of post
MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe amemtumia salamu Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kufuatilia kifo cha Rais...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amelitaka Jeshi la Polisi nchini Tanzania, kuwaachia Watanzania waliowakamata kwa tuhuma za kusema Rais John...
By Yusuph KatimbaMarch 18, 2021VIONGOZI wa kimataifa wameungana na Watanzania kuomboleza kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea). Rais Magufuli...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ametoa salamu za rambirambi kwa Mama Janeth Magufuli, familia...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeitisha kikao cha dharula cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu, kufuatia kifo cha aliyekuwa...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021KUFUATIA kifo cha Rais wa Tanzania, Dk. John Magufuli, kilichotokea tarehe 17 Machi 2021 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021VYAMA vya Siasa nchini Tanzania vimeungana na viongozi mbalimbali kutoa salamu zao za rambirambi kufuatia kifo cha Rais John Magufuli kilichotokea jana...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021MAMA Samia Hassani Suluhu, Makamu wa Rais wa Jamhuri, aweza kuapishwa muda wowote kutoka sasa, kushika madaraka ya rais. Anaripoti Yusuph Katimba,...
By Yusuph KatimbaMarch 18, 2021WAZIRI mkuu mstaafu wa Kenya na Kiongozi wa Upinzani nchini humo, Raila Odinga ametoa wito kwa Watanzania kudumisha amani, wakati huu wa...
By Regina MkondeMarch 18, 2021JOHN Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anakuwa kiongozi wa tatu wa juu wa taifa hilo, kufariki dunia ndani...
By Masalu ErastoMarch 18, 2021DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, amehitimisha safari ya miaka 61 ya maisha yake hapa duniani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli, amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 17 Machi 2021, saa 12:00, katika Hospitali ya Mzena, jijini Dar...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kusaidia serikali katika utekelezaji wa majukumu yake. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2021MAKAMU wa Rais Tanzania, Samia Suluhu Hassani amewaonya tabia ya madiwani kutumia fedha za mifuko ya kuwezesha wananchi kwa ajili ya masilahi...
By Masalu ErastoMarch 17, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso ameonya tabia ya watumishi wa mamlaka za maji kuwabambikia bili za maji wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Tanga …...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2021LAZARO Mambosasa, Kamanda wa Jeshi la Polisi, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, amewataka watu wanaosambaza taarifa, kwamba Rais John Magufuli mgonjwa,...
By Masalu ErastoMarch 17, 2021WANACHAMA watatu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamejitosa kusaka nafasi ya kukaimu nafasi ya mwenyekiti wa Baraza la Wanawane la...
By Mwandishi WetuMarch 17, 2021SAFARI ya timu ya Simba ya Tanzania, katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, imeshika kasi, baada ya kuibuka na ushindi wa 3-0,...
By Kelvin MwaipunguMarch 16, 2021SERIKALI ya Tanzania, amewaagiza wenye viwanda nchini humo, kuajiri wataalamu wa mazingira ili kukidhi matakwa ya kisheria. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Agizo hilo,...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021IDARA ya Uhamiaji nchini Tanzania imeeleza, ili mtu yeyote aweze kupewa hati ya kusafiria (paspoti), ni lazima awe na kusudio la kusafiri. Anaandika...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021SERIKALI na jamii wametakiwa kuhakikisha wanatenga bajeti yenye mlengo wa kijinsia, ili kutokomeza ukatili wa kijinsia. Anaandika Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021ZITTO Kabwe, Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, amesema kauli ya Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania na Waziri Mkuu,...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani ameahidi kusimamia ujenzi wa barabara ya Korogwe Vijijini hadi Tanga Mjini, ili kutekeleza ahadi...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021KESI ya Wakili Jebra Kambole na mwenzake Edson Kilatu kufutiwa uwakili, iliyopangwa kusikilizwa leo Jumatatu tarehe 15 Machi 2021, katika Mahakama Kuu...
By Regina MkondeMarch 15, 2021TUZO kubwa ulimwenguni, zinazotolewa nchini Marekani maarufu ‘Grammy,’ zimeshuhudia gwiji wa muziki, Beyonce akiweka rekodi kwa kushinda na kufikisha tuzo 28 tangu...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021JINA la Susan Kiwanga, limeingia kwenye orodha ya wanachama wa Chadema wanawania nafasi ya Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la chama...
By Regina MkondeMarch 15, 2021ALBER Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya amesema, serikali haitaondoa bajaji wala pikipiki (bodaboda), kufanya biashara ya kusafirisha abiria katika barabara kuu....
By Mwandishi WetuMarch 15, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, hakuna kipindi ambacho taifa hilo, lipanaswa kujenga umoja, kama kipindi hiki cha sasa....
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021IDADI ya wananchi waliouawa nchini Myanmar tangu jeshi la nchi hiyo kupora madaraka na kuanza kwa mandamano tarehe 1 Februari 2021, wamefika...
By Hamisi MgutaMarch 15, 2021CHAMA cha upinzani nchini Tanzania – NCCR-Mageuzi – kimekoleza moto katika mjadala unaohusu mahali alipo Rais John Pombe Magufuli. Anaripoti Matrida Peter Dar...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2021CHARLES Majura (35), fundi simu na mkazi wa Dar es Salaam, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kwa madai ya kusambaza...
By Hamisi MgutaMarch 13, 2021JESHI la Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam linamsaka mwanaharakati anayejiita jina la Kigogo katika mtandao wa Twitter. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2021CHAMA cha Demokrasia na Mandeleo (Chadema), kimeitaka serikali ya Tanzania kuvuja ukimya juu ya mahali alipo Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021MKUU wa Mkoa wa Mbeya (RC), Albert Chalamika amesema, Rais wa Tanzania, John Magufuli yuko salama na anaendelea na majukumu yake kama...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021WAZIRI wa fedha na mipango wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali imekopa kiasi cha dola za Marekani 463.8 milioni (Sh. 1.1...
By Saed KubeneaMarch 12, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Phillip Mpango amesema, serikali iko mbioni kukamilisha utafiti kuhusu mwitikio mdogo wa walipakodi, kusajili biashara na uwazi...
By Mwandishi WetuMarch 12, 2021WANACHAMA saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Mara wamevuliwa uanachama huku watatu wakiwekwa chini ya uangalizi kwa muda wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2021VIONGOZI kadhaa ulimwenguni, wamechanjwa kwa ajili ya kujikinga na virusi hatari vya corona (Covid 19). Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Miongoni mwa wanaotajwa kuwa tayari...
By Kelvin MwaipunguMarch 11, 2021SARAH Martin Simbaulanga, alivuma katika vichwa vya habari nchini Tanzania, miaka ya 1987, baada ya kuiibia Benki ya NBC, mamilioni ya shilingi,...
By Hamisi MgutaMarch 10, 2021KATIBU Mkuu Kiongozi (CS) wa Tanzania, Dk. Bashiru Ally, ameibua utata mpya wa kisheria, kufuatia kuendelea kuhudumu katika wadhifa wake wa katibu...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2021MSAFARA wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, uliokuwa njiani kuelekea Mkoa wa Kusini Unguja kwa ziara ya kikazi,...
By Regina MkondeMarch 10, 2021MKURUGENZI wa Itifaki na Mawasiliano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania John Mrema amesema, “mimi ni mzima wa afya.”...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2021KUKOSA kiungo kimoja katika mwili wako ama kuwa na ulemavu sio mwisho wa maisha. Anaripoti Hamis Mguta, Iringa…(endelea). Kauli hii inathibitishwa na...
By Hamisi MgutaMarch 10, 2021BAADHI ya watu wanaokwenda kuzuru kaburi la Maalim Seif Sharif Hamad (77), aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, wanadaiwa kuchota mchanga...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwezi mmoja kwa kampuni za mawasiliano ya simu za mkononi nchini humo, kuanza kutumia bei elekezi za vifurushi....
By Regina MkondeMarch 8, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassani, amewataka wanawake nchini humo, kujitosa kwenye nafasi za uongozi kwenye sekta binafsi, ili...
By Regina MkondeMarch 8, 2021MCHEZAJI wa zamani wa klabu ya Yanga, Ally Mayai amesema ubora wa kikosi cha Simba kwa sasa umechangia na kusukua, uongozi wa...
By Kelvin MwaipunguMarch 8, 2021MAMBO yanabadilika kadri teknolojia inavyozidi kukua. Panya ni mnyama mwenye historia ya uharibifu tu akiingia ndani ya nyumba, lakini hii ni tofauti....
By Hamisi MgutaMarch 8, 2021UONGOZI wa klabu ya Yanga umeamua kuvunja benchi lote la ufundi sambamba na kusitisha mkataba na aliyekuwa kocha wao Cedric Kaze na...
By Kelvin MwaipunguMarch 7, 2021WAKATI Serikali ya Tanzania ikilalamikia hatua ya Kenya kuzuia mahindi yake kuingia nchini humo, Zitto Kabwe ameshauri diplomasia itumieke. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Hamisi MgutaMarch 7, 2021