May 23, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Mwanamke wa Kitanzania aliyekwapua mamilioni NBC

Spread the love

 

SARAH Martin Simbaulanga, alivuma katika vichwa vya habari nchini Tanzania, miaka ya 1987, baada ya kuiibia Benki ya NBC, mamilioni ya shilingi, bila kutumia mtutu wa bunduki. Anaandika Hamis Mguta, Dar es Salaam…(endelea).

Mwanamama huyo alikwapua dola za Marekani 390,000 (karibu shilingi bilioni 1 kwa sasa).

Alikuwa afisa mwandamizi katika Idara ya fedha za kigeni, katika Benki ya taifa ya Biashara (NBC).

Wizi uliofanywa na Sarah, unachukuliwa kama wa kwanza wa aina yake, kufanywa na mwanamke wa Kitanzania.

Taarifa za Sarah, akiwa na umri wa miaka 35 wakati huo, mwajiriwa wa NBC, benki pekee kubwa katika kipindi hicho, kuchota mamilioni ya fedha ‘za umma’ ziliwekwa hadharani katika taarifa ya habari ya Radio Tanzania Dar es Salaam (RTD).

Tazama simulizi hii kujua zaidi…

error: Content is protected !!