Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Tangulizi

Zitto: Hamumkomoi Mbowe, Rais Samia usiingie kwenye mtego

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi, aliyofunguliwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na wenzake...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuwafikisha kortini OCD Dodoma, Kigoma

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimepanga kiwafikisha mahakamani kwa majina yao, Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) wa Dodoma...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali akiwemo, Athumani Mbuttuka kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Serikali. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wananchi watakiwa kujiandaa wimbi la nne Korona, wasisahau tiba asili

  WATANZANIA wametakiwa kuendelea kuchukua hatua za kujikinga na mlipuko wa Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kudhibiti athari zake. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Tangulizi

Tozo miamala ya simu yapingwa mahakamani

  KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC), kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam,...

Tangulizi

Chanjo ya corona yawaponza 2 Arusha, wasimamishwa

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu, ameagiza kuchukuliwa hatua watumishi wawili wa...

Habari za Siasa

Kesi ya Mbowe: Hakimu amkunjulia makucha DPP

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imeitaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), kuharakisha taratibu za...

Habari za Siasa

Walinzi wa Mbowe wasomewa mashtaka kumiliki silaha, sare za jeshi

  HALFAN Bwire Hassan, mlinzi wa Mwenyekiti wa Chama cha Chadema, Freeman Mbowe, amesomewa shtaka la kumiliki sare na jeshi kinyume cha sheria....

Habari za Siasa

NCCR-Mageuzi yajitosa kesi ya Mbowe, kutuma mawakili 5

  CHAMA cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, kimesema kitatuma mawakili wake watano waandamizi wakiongozwa na Boniface Mwambukusi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wasomewa mashtaka upya, DPP hajakamilisha taratibu

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamesomewa upya mashtaka katika kesi ya ugaidi...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe afikishwa Kisutu, ulinzi waimalishwa

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini...

Habari za SiasaTangulizi

EU, Marekani, Canada, Uswisi zajitosa kesi ya Mbowe

  JUMUIYA za Kimataifa zimejitosa katika kesi ya ugaidi, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi yawakamata wafuasi wa Chadema Kisutu

  BAADHI ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wamekamatwa na Polisi Tanzania nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Mtandao wakwamisha kesi ya Mbowe, Hakimu atoa maagizo

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, imetoa amri ya kufikishwa mahakamani hapo kesho Ijumaa tarehe 6 Agosti 2021, saa...

Habari za Siasa

Diwani CCM Dar afariki dunia, kuzikwa Kisarawe

  DIWANI wa Buyuni (CCM), Wilaya ya Ilala, Mkoa wa Dar es Salaam, Karimu Madenge amefariki dunia jana Jumatano, tarehe 4 Agosti 2021,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe kusikilizwa kimtandao akiwa gerezani

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, inasikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema,...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua TCAA

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua, Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mgeja: Wapotoshaji wa chanjo “ni sawa na magaidi”

  MWENYEKITI mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Shinyanga, Khamis Mgeja amewafananisha wanaopinga chanjo ya korna (UVIKO-19) na magaidi na kuitaka...

HabariHabari Mchanganyiko

Waziri Ummy: Ma DED njooni na CV, kitambulisho

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amewataka wakurugenzi (DED) wapya 69 walioteuliwa kufika...

HabariSiasa

Wazee Hai wamwangukia Rais Samia, waomba Mbowe aachiwe huru

  WAZEE wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, imuache huru Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe,...

MichezoTangulizi

Manara: Umarufu na Biashara zimeniondoa Simba

   ALIYEKUWA Afisa Habari na mawasiliano wa klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa sababu za kufanya biashara na kampuni zingine na umaarufu...

MichezoTangulizi

Peter Banda afungua usajili Simba

  Winga wa kimataifa wa Malawi Peter Banda, amekuwa mchezaji wa kwanza kufungua dirisha la usajilin ndani ya klabu ya Simba mara baada...

Habari za Siasa

NEC : Jimbo la Konde liko wazi

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza Jimbo la Konde visiwani Zanzibar, liko wazi baada ya mbunge wake mteule kupitia Chama Cha...

Habari za Siasa

Bunge: Wabunge Tanzania wanalipa kodi

  OFISI ya Bunge la Tanzania imesema, wabunge kama ilivyo kwa watumishi wengine wa umma na viongozi wa kisiasa nchini humo, wanakatwa kodi...

Habari za SiasaTangulizi

Bavicha wamjibu IGP Sirro kwa hoja

  BARAZA la Vijana la chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema (Bavicha), limedai kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP), Simon Sirro,...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo watoa neno kujiuzulu Mbunge wa CCM

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinasubiri taarifa rasmi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuhusu kujiuzulu kwa Mbunge mteule wa Konde, visiwani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Waziri wa Ulinzi Tanzania afariki dunia

  ELIAS Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …...

MichezoTangulizi

Yanga yavuta mwengine

  KLABU ya soka ya Yanga, imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji Yusuph Athuman Akitokea klabu ya Biashara United, Mara iliyokuwa inashiriki Ligi Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Sirro azungumzia tuhuma za Mbowe, atoa onyo

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amekitaka chama kikuu cha upinzani nchini humo, Chadema na wadau wengine, kuiachia mahakamana...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM atangaza kujizulu

  SHEHA Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amejiuzulu nafasi hiyo ikiwa ni siku 15, tangu alipotangazwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Ma- DED

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Mapendekezo mapya tozo za simu yamfikia Majaliwa

  HATIMA ya kufutwa au kupunguzwa kwa tozo ya miaka ya mitandao ya simu itajulikana wakati wowote kuanzia sasa, baada ya kamati iliyoundwa...

Habari za Siasa

Rais Samia ziarani Rwanda

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumatatu tarehe 2 Agosti, 2021, anafanya ziara ya rasmi ya Kiserikali ya siku mbili nchini...

MichezoTangulizi

Azam Fc yasaini mwengine kutoka Congo

KLABU ya Azam FC imefanikiwa kunasa saini ya mshambuliaji raiawa kidemokrasia ya Congo, Idris Mbombo kwa mkataba wa miaka miwili. Anaripoti Kelvin Mwaipungu…(endelea)...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo njia panda Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai kwamba Serikali ya Zanzibar, chini ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , inakwenda kinyume na maridhiano yao ya kuanzisha...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuomba Rais Samia amfutie mashtaka ya ugaidi Mbowe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, amuagize Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Sylvester Mwakitalu, amuondolee mashtaka ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matano yanayotajwa kuporomosha umaarufu wa Rais Samia

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan, anakabiliwa na kibarua kigumu cha kujisafisha kwenye mioyo ya wananchi na jumuiya ya kimataifa,...

Habari za SiasaTangulizi

Madeni yaitesa ATCL

  SHIRIKA la Ndege la Tanzania (ATCL), limesema changamoto ya mrundikano wa madeni inaathiri utendaji wake na kusababisha lijiendeshe kwa hasraa. Anaripoti Regina...

MichezoTangulizi

MO Dewji akata Ngebe, aweka Bil 20

Mfanyabiashara na mwekezaji ndani ya klabu ya Simba, Mohammed Dewji (MO), ameweka rasmi kiasi cha pesa shilingi 20 bilioni, kama sehemu ya uwekezaji...

MichezoTangulizi

Morrison, Mukoko wafungiwa michezo mitatu

  Wachezaji Bernad Morrison wa klabu ya Simba na Mukoko Tonombe kutoka Yanga wamefungiwa kutocheza michezo mitatu na kamati ya mashindano ara baaada...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua mrithi wa Mfugale Tanroads

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amemteua Rogatus Hussein Mativila, kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), akichukua mikoba ya Mhandisi Patrick...

AfyaTangulizi

Chanjo ya Korona kuanza Agosti 3, vituo 550 kutumika

  WIZARA ya Afya nchini Tanzania, imesema huduma ya chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), itaanza kutolewa kwa wananchi kuanzia Jumanne, tarehe 3...

Habari za Siasa

Samia aendelea kupanga safu ya uongozi CCM

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameendelea kupanga safu ya uongozi wa chama hicho, tangu alipokabidhiwa wadhifa huo, mwishoni...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi ateua makatibu wakuu wannne

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua makatibu wakuu wanne, wa wizara na taasisi mbalimbali visiwani humo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati Kuu CCM yaagiza watovu wa nidhamu washughulikiwe

  KAMATI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza makada wake wanaokiuka mienendo na maadili ya chama hicho, wachukuliwe hatua za kinidhamu. Anaripoti...

Tangulizi

Waziri Ummy aagiza halmashauri zibuni vyanzo vya mapato

  HALMASHAURI nchini Tanzania, zimetakiwa kubuni vyanzo vipya vya mapato ya ndani, ili zipate fedha za kutoa huduma kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Mbowe latua Marekani, Tume ya AU yatoa tamko

  BARAZA la Wanawake la Chadema (Bawacha), limeiandikia barua Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania, likiitaka uingilie kati tukio la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi awaita wadau katika mapambano ukatili wa kijinsia

  RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameziomba Asasi za Kiraia  na Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), ziunge mkono...

Habari za Siasa

Mashtaka ya Mbowe yawaibua CUF, wamwangukia Rais Samia

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati sakata la kushikiliwa kwa Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, anayekabiliwa...

AfyaHabari za SiasaTangulizi

Rais Samia afungua dimba chanjo ya Korona

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua zoezi la utoaji chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), kwa kuchanjwa aina ya Johnson &...

error: Content is protected !!