September 23, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Waziri wa Ulinzi Tanzania afariki dunia

Spread the love

 

ELIAS Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) nchini Tanzania, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Kwandikwa mbali na kuwa waziri, Kwandikwa alikuwa Mbunge wa Ushetu, Mkoa wa Shinyanga kupitoa Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Taarifa zaidi zitawajia.

error: Content is protected !!