July 7, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Samia ateua TCAA

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua, Mtumwa Khatib Ameir kuwa Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Mtumwa Khatib Ameir ni Afisa Mtendaji Mkuu na Msimamizi wa Hakimiliki Zanzibar.

Taarifa iliyotolewa na Jaffar Haniu, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu imeelesa uteuzi huo umeanza leo Alhamisi tarehe 04 Agosti, 2021.

error: Content is protected !!