Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka watu wanaopinga chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), wakajifunze katika mikoa iliyoathirika na janga hilo....
By Regina MkondeJuly 28, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kuingiza aina tano za chanjo ya Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19), ili kukabiliana na maambukizi ya ugonjwa huo kwa...
By Regina MkondeJuly 28, 2021RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameshauri wanasiasa kuvumiliana pindi wanapokinzana katika hoja na sera, kwa kuwa...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema majibu ya kilio cha wananchi juu ya tozo ya miamala ya simu, yatapatikana tarehe 29...
By Regina MkondeJuly 27, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka mabalozi wasikae kimya taswira ya Tanzania inapochafuliwa kimataifa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Rais...
By Regina MkondeJuly 27, 2021UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kimuadhibu Mbunge wake wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima, kufuatia hatua yake...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021MKUU wa Kanisa la Moravian la Uamsho Tanzania na Afrika Mashariki, Askofu Emmaus Mwamakula, ameitisha maombi maalumu ya siku saba, kwa ajili...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021SERIKALI ya Tanzania, inatarajia kujenga viwanda vya kuzalisha chanjo za magonjwa ya mlipuko. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeJuly 27, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa COVID-19, hivyo amewataka Watanzania...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam na...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021MBUNGE wa Bumbuli mkoani Tanga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), January Makamba amesema, kauli aliyoitoa Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amewataka wananchi wa Mkoa wa Mtwara, kuwa makini dhidi ya wanamgambo wa kundi la...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021NAIBU Waziri wa Afya, Dk. Godwin Mollel, amedai kwamba wananchi hawataki katiba mpya, bali wanataka maendeleo na huduma bora za kijamii. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema mwenyekiti wake Taifa, Freeman Mbowe, anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2021SERIKALI ya Tanzania, imetoa mwongozo mpya wa kudhibiti maambukizi ya ugonjwa wa korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam, … (endelea)....
By Regina MkondeJuly 26, 2021RAIS wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), Dk. Edward Hoseah, ameiomba Serikali imfikishe mahakamani au imuache huru, Mwenyekiti wa Chama cha...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2021MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Phillip Mpango, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Hamis Dambaya, kupisha...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2021NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-Tamisemi, David Silinde ameshangazwa na kutofautiana kwa taarifa ya ujenzi wa maabara ambayo imechukua takribani miaka kumi pasina...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021WAZIRI Ofisi ya Rais-Tamisemi, Ummy Mwalimu amewaahidi Sh.5 milioni, wachezaji wa Coastal Union endapo watafanikiwa kubaki Ligi Kuu Tanzania bara huku akilipia...
By Hamisi MgutaJuly 24, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha maslahi ya...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, hawezi kukwepa lawama kufuatia tukio la kukamatwa kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)- Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema, anashauriana na viongozi wa chama hicho, namna ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Slaa, ameshauri wabunge wakatwe kodi katika mishahara yao, ili wachangie maendeleo ya nchi, kama wananchi wanavyochangia kupitia...
By Masalu ErastoJuly 23, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kumaliza tatizo la upatikanaji wa huduma ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021SERIKALI ya Tanzania imesema, mpaka sasa wagonjwa 29 walioambukizwa virusi vya corona (COVID-19), wamefariki dunia. Anaripoti Hamis Mguta, Dar es Salaam …...
By Hamisi MgutaJuly 23, 2021HATIMA ya kufanyika au kutofanyika kwa kikoa cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), utajulikana kesho Jumamosi, tarehe 24...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanania cha Chadema, Tundu Lissu amesema, tukio la kukamatwa kwa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021KAMATI Ndogo ya Mambo ya Nje ya Afrika ya Baraza la Wawakilishi nchini Marekani, imeiomba Serikali ya Tanzania, imuache huru Kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vya NCCR-Mageuzi na ACT-Wazalendo, vimeiomba Serikali nchini humo kukaa pamoja na vyama vya siasa, kwa...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango nchini Tanzania, Dk. Mwigulu Lameck Nchemba, amegundulika kuwa na mgongano wa kimaslahi, kufuatia taarifa kuwa mke wake...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021DUDLEY, mtoto wa Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe ameshangazwa na tuhuma zinazomkabili baba yake. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2021WAGONJWA wa ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (Covid-19), nchini Tanzania, imeongezeka kutoka 408 hadi kufikia 682....
By Faki SosiJuly 23, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, linamshikiliwa kiongozi wa chama cha kikuu cha upinzani nchini humo cha Chadema, Freeman Mbowe kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza, Tony Blair, Ikulu Jijini Dar es Salaam....
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemlilia aliyekuwa mwenyekiti wake wa kwanza, Anna Mghwira, kikisema kwamba kifo chake kimeacha pigo katika medani za kisiasa nchini...
By Regina MkondeJuly 22, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, aliyekamatwa jijini Mwanza alfajiri ya jana, anahojiwa na Jeshi la Polisi Kanda...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021ANNA Elisha Mghwira, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, amefariki dunia leo Alhamisi, tarehe 22 Julai 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu, Arusha …...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2021KIKOSI cha klabu ya Yanga kimetua rasmi mkoani Kigoma, kwa ajili ya mchezo wa fainali wa Kombe la Shirikisho (FA) dhidi ya...
By Kelvin MwaipunguJuly 22, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, kimeitisha kikao cha dharura cha kamati kuu, kwa ajili ya kumtafuta mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, ambaye...
By Regina MkondeJuly 21, 2021HAJI Manara, Msemaji wa mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, ametangaza kung’atuka katika nafasi hiyo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021JESHI la Polisi mkoani Mwanza, limezingira Ukumbi wa Tourist Hotel, ambao Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kilipanga kufanya kongamano lake...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania-Chadema, Freeman Mbowe na wenzake zaidi ya 10, wanadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa...
By Mwandishi WetuJuly 21, 2021KONGAMANO la kudai katiba mpya, lililoandaliwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), liko njia panda baada ya Mkuu wa Mkoa wa...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021MIKAKATI mipya ya Halima Mdee na wenzake 18, kutaka kuendelea kuwa bungeni kinyume cha sheria na kukivuruga Chama cha Demokrasia na Maendekeo...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejitokeza kumpongeza Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan, kwa kusikia malalamiko ya wananchi...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2021HALIMA Mdee na wenzake 18, wamebakisha siku 12 kujua hatma yao juu ya uamuzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ),...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021FREEMAN Mbowe amesema, watafanya kongamano la Katiba jijini Mwanza keshokutwa Jumatano, tarehe 21 Julai 2021 na mikoa mingine yataendelea “hadi Katiba mpya...
By Mwandishi WetuJuly 19, 2021MWENYEKITI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema, Freeman Mbowe, amemtaka Waziri wa Afya, Dk. Dorothy Gwajima na wasaidizi wake, wajiuzulu...
By Masalu ErastoJuly 19, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Wizara ya Fedha na Mipango, itafute suluhu ya malalamiko ya wananchi kuhusu viwango vya tozo...
By Regina MkondeJuly 19, 2021WAKALA wa Barabara Tanzania (Tanroads), umekubali kuongeza muda wa notisi kwa wamiliki wa nyumba na vibanda vya biashara, vilivyopo katika hifadhi ya...
By Hamisi MgutaJuly 18, 2021