Friday , 17 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake waweka pingamizi kesi ya ugaidi

  MAWAKILI wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika kesi ya kula njama za kufanya ugaidi, wameweka pingamizi kwa Mahakama Kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wamkaanga Askofu Gwajima, Silaa

  SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lawatia kifungoni Askofu Gwajima, Silaa hadi 2022

  WABUNGE  wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga), wamepewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo  ya...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge lamtia hatiani Gwajima

  KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, leo tarehe 31 Agosti, 2021, imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM)...

Habari za SiasaTangulizi

Kamati ya Bunge yapendekeza Jerry Silaa avuliwe ubunge wa PAP 

  KAMATI ya Haki,  Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili...

Habari za Siasa

CAG kutumia maabara kufanya ukaguzi, uchunguzi

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania ameanza mchakato wa kutumia maabara katika kufanya kaguzi mbalimbali za maendeleo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Robert Manumba afariki

  MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye...

Habari za SiasaTangulizi

Hatima tozo miamala ya simu kujulikana leo

  HATIMA ya gharama za tozo ya miamala ya simu kupungua au kubaki kama zilivyo itafahamika leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021. Anaripoti...

Habari za Siasa

Majaliwa azindua ofisi za polisi zenye thamani ya Sh bilioni 1.3

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Agosti 30, 2021 amefungua majengo ya Makao Makuu ya Polisi Mkoa wa Singida na Ofisi za Mkuu...

Habari za Siasa

Sh bilioni 1.3 kukamilisha mradi wa maji Dodoma

  SERIKALI imetoa kiasi cha Sh. bilioni 1.3 kukamilisha mradi wa maji kwa wakazi wa Njendengwa, Ihumwa, Nzuguni, Nyumba miatatu, Iyumbu, soko kuu...

Habari za SiasaTangulizi

Wafuasi Chadema waangua kilio Mbowe akirudishwa rumande

  WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameangua kilio wakati mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, akirudishwa rumande katika gereza la Ukonga, anakoshikiliwa...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaweka mapingamizi kesi ya Mbowe

  SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi manne katika kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akipinga utaratibu uliotumika kumkamata...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vya upinzani vyavutana ushiriki chaguzi ndogo

  VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vimevutana katika kushiriki chaguzi ndogo za ubunge zinazotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba 2021, katika majimbo...

Habari MchanganyikoTangulizi

Siri ya uwezo wa Hamza kutumia AK47 yafichuka

  SIRI ya Hamza Hassan Mohamed kumudu kutumia silaha na kuwaua askari watatu wa jeshi la polisi na mlinzi mmoja wa kampuni ya...

Habari za Siasa

Wapinzani wataka IGP Sirro ajiuzulu

  VYAMA vya Upinzani nchini Tanzania, vimelaani kauli ya Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo, IGP Simon Sirro, dhidi ya familia ya Hamza...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyeshindwa ubunge Mkuranga, arudi kushukuru

ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo), Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mohamed Mtambo, amerejea jimboni kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliompa wakati wa kampeni za...

MichezoTangulizi

Yanga yafurika kwa Mkapa, burudani kama zote

YES ni siku kubwa. Kilele cha Wiki ya Wananchi. Hakuna ubishi hii ndiyo Yanga Afrika. Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania. Anaripoti Wiston Josia,...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania yafikishwa mahakamani

  ASASI za kiraia nchini Tanzania, zimeifikisha katika Mahakama ya Afrika Mashariki serikali ya nchi hiyo kwa kukiuka amri halali ya Mahakama. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia atoa ya moyoni “Rais Samia anahujumiwa”

  MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa...

Habari za Siasa

Serikali ya Tanzania: Wananchi 300,000 wamechanjwa

  SERIKALI ya Tanzania imesema, jumla ya wananchi wake 300,000 wamepata chanjo ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona (COVID-19). Anaripoti Patricia...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wadaiwa kuzuia kikao cha kamati kuu NCCR-Mageuzi

  JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...

Habari MchanganyikoTangulizi

IGP Sirro awapa soma askari polisi, atangaza kiama kwa waharifu

  INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini humo wasimuamini kila mtu wanapokuwa katika majukumu yao ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Vilio, simanzi vyatawala miili askari ikiagwa Dar

  VILIO na simanzi vimetawala wakati miili ya askari polisi watatu na mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, ikiagwa katika viwanja vya...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi ubunge Konde, Ushetu Oktoba 9

  TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi wa marudio wa ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu...

Habari za SiasaTangulizi

Jerry Silaa ataja sababu 3 kuikacha kamati ya Bunge

  MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wawili wauawa Kigamboni, Polisi “aliwagonga kwa makusudi”

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), maarufu maarufu Lardh JM, Mkazi wa Kariakoo, kwa tuhuma...

Habari za Siasa

Majaliwa maagizo kambi ya wakimbizi Tanganyika

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakazi wanaoishi katika makazi ya wakimbizi ya Mishamo Wilayani Tanganyika kuimarisha ulinzi na usalama katika...

Habari za Siasa

Jerry Silaa aingia mitini, kamati yataka Polisi wamkamate

  KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imeomba kibali kutoka kwa Spika Job Ndugai, cha kumkamata Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza uchunguzi tukio mauaji Dar

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo, lifanye uchunguzi wa kina kuhusu tukio la mauaji ya watu...

Habari za SiasaTangulizi

Askou Gwajima agoma kukaa, ahojiwa akiwa amesimama wima

  MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...

Habari MchanganyikoTangulizi

Taharuki; majibizano ya risasi Dar

  HALI ya takaruki imeibuka eneo la daraja la Salender jijini Dar es Salama nchini Tanzania baada ya milio ya risasi kati ya...

Habari za Siasa

Aibu mtuhumiwa kufia mikononi mwa polisi- Rais Samia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi kuacha kutumia nguvu kubwa katika utekelezaji wa majukumu yake ili kuondoka na aibu...

Habari za Siasa

Polisi shirikianeni na wananchi kubaini magaidi – Rais Samia

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameliagiza Jeshi la Polisi, lishirikiane na raia katika kuwabaini watu wanaojihusisha na vitendo vya ugaidi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aagiza kesi zisizo na ushahidi zifutwe

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu pamoja na kufuta kesi ambazo...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi mkuu 2025: Tume ya taifa ya uchaguzi Tanzania kufumuliwa

  MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...

MichezoTangulizi

Haji Manara aibukia Yanga, atambulishwa rasmi

  ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga, mara baada ya kuachana na wajiri wake...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe yamshangaza Askofu Shoo, akumbushia maandamano Ukuta

  MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...

Habari za SiasaTangulizi

Hukumu ya Sabaya, wenzake Oktoba mosi

  MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima atoa mpya bungeni

  MBUNGE wa Kawe,kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amegoma kutumia kiti na kipaza sauti, vilivyopangwa kwa ajili ya kutumia akihojiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima, Jerry Silaa waondolewa kwenye kamati

  ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima ahojiwa, kurudi tena kikaangoni Jumatano

  MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameanza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Samia, Kikwete kumshuhudia Rais mteule Zambia akiapishwa

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuondoka nchini kesho tarehe 24 Agosti, 2021 kuelekea nchini Zambia kuhudhuria...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba apangua wakurugenzi CUF

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amefanya mabadiliko madogo ya wakurugenzi wa chama hicho. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Washtakiwa wenzake Mbowe wadai walazimishwa kutoa maelezo

  WASHITAKIWA watatu wenzake na kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe wameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe kuwatumia IGP Sirro, Ole Sabaya kujitetea

  UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha...

Habari za Siasa

Ulinzi waimarishwa kesi ya kina Mbowe

  JESHI la Polisi limeimarisha ulinzi ndani na nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakati kesi ya kiongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Serikali kutumia mashahidi 24, vielelezo 19

  UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watumishi 5 TRA wafariki ajalini Songwe

  WATUMISHI watano Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha fast Track wamefariki dunia katika ajali ya gari eneo la Hanseketwa Oldvwawa...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapata pigo, Meya Shinyanga afariki

  CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Askofu Gwjaima ataka mdahalo wa wazi chanjo ya corona

  MBUNGE wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameishauri Serikali iitishe mdahalo wa wazi, ili kumaliza utata juu ya chanjo ya Ugonjwa wa...

error: Content is protected !!