June 30, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Samia ateua Ma- DED

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Jiji, Manispaa,Miji na Wilaya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Taarifa iliyotolewa jana Jumapili usiku, tarehe 1 Agosti 2021 na Jaffari Haniu, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, imewataja walioteuliwa ni;.

1. MKOA WA ARUSHA

1. Dkt. John Kurwa Marco Pima Jiji la Arusha
2. Zainab Juma Makwinya Wilaya ya Meru
3. Seleman Hamis Msumi Wilaya ya Arusha
4. Juma Mohamed Mhina Wilaya ya Ngorongoro
5. Stephen Anderson Wilaya ya Longido
6. Raphael John Siumbu Wilaya ya Monduli
7. Karia Rajabu Wilaya ya Karatu

2. MKOA WA DAR ES SALAAM
8. Elasto Nehemia Kiwale Manispaa ya Kigamboni
9. Beatrice Rest Dominuo Kwai Manispaa ya Ubungo
10. Jumanne Kiango Shauri Jiji la Ilala
11. Hanifa Suleiman Hamza Manispaa ya Kinondoni
12. Elihuruma Mabelya Manispaa ya Temeke

3. MKOA WA DODOMA
13. Yusuph Mustafa Semwaiko Wilaya ya Kondoa
14. Paul Mamba Sweya Mji wa Kondoa
15. Siwema Hamoud Juma Wilaya ya Chemba
16. Athumani Hamisi Masasi Wilaya ya Bahi
17. Dkt. Semistatusa Hussein Mashimba Wilaya ya Chamwino
18. Dkt. Omary Athumani Nkulo Wilaya ya Kongwa
19. Mwanahamisi Haidari Ally Wilaya ya Mpwapwa
20. Joseph Constantine Mafuru Jiji la Dodoma

4. MKOA WA GEITA:
21. Lutengano George Mwaliba Wilaya ya Bukombe
22. Saada Seleman Mwaruka Wilaya ya Mbogwe
23. Mandia H. M. Kihiyo Wilaya ya Chato
24. Husna Toni Chambo Wilaya ya Nyang’hwale
25. John Paul Wanga Wilaya ya Geita
26. Zainab Muhidini Michuzi Wilaya ya Mji Wa Geita

5. MKOA WA IRINGA:
27. Bernard Maurice Limbe Manispaa ya Iringa
28. Bashir Paul Mhoja Wilaya ya Iringa
29. Happiness Raphael Laizer Mji wa Mafinga
30. Lain Ephrahim Kamendu Wilaya ya Kilolo Tangu
31. Zaina Mfaume Mlawa Wilaya ya Mufindi

6. MKOA WA KAGERA:
32. Innocent Mbandwa Mukandala Wilaya ya Biharamulo
33. Hamid Hamed Njovu Manispaa ya Bukoba
34. Fatina Hussein Laay Wilaya ya Bukoba
35. Elias Mahwago Kayandabila Wilaya ya Muleba
36. Waziri Khachi Kombo Wilaya ya Missenyi
37. Solomon Obeid Kimilike Wilaya ya Ngara
38. Michael Francis Nzyungu Wilaya ya Karagwe
39. Sacf. James Marco John Wilaya ya Kyerwa

7. MKOA WA KATAVI:
40. Sophia Juma Kambuli Manispaa ya Mpanda
41. Mohamed Ramadhani Ntandu Wilaya ya Msimbo
42. Catherine Michael Mashalla Wilaya ya Mpimbwe
43. Teresia Aloyce Irafay Wilaya ya Mlele
44. Shaban Juma Juma Wilaya ya Tanganyika

8. MKOA WA KIGOMA:
45. Joseph Kashushura Rwiza Wilaya ya Kasulu
46. Dollar Rajab Kusenge Mji wa Kasulu
47. Ndaki Stephano Mhuli Wilaya ya Kakonko
48. Rose Robert Manumba Wilaya ya Kigoma
49. Deocles Rutema Murushwagire Wilaya ya Kibondo
50. Zainab Suleiman Mbunda Wilaya ya Uvinza
51. Essau Hosiana Ngoloka Wilaya ya Buhigwe
52. Athmani Francis Msabila Wilaya ya Kigoma Ujiji

9. MKOA WA KILIMANJARO:

53. Kastori George Msigala Wilaya ya Moshi

54. Godwin Justin Chacha Wilaya ya Rombo
55. Annastazia Tutuba Buhamvya Wilaya ya Same
56. Upendo Erick Mangali Wilaya ya Siha
57. Dionis Maternsus Myinga Wilaya ya Hai
58. Mwajuma Abbas Nasombe Wilaya ya Mwanga
59. Dr. Rashid Karim Gembe Manispaa ya Moshi

10. MKOA WA LINDI:
60. George Mbilinyi Wilaya ya Mtama
61. Juma Ally Mnwele Manispaa ya Lindi
62. Eston Paul Ngilangwa Wilaya ya Kilwa
63. Tina Emelye Sekambo Wilaya ya Liwale
64. Eng. Chionda Ally Mfaume Wilaya ya Nachingwea
65. Frank Fabian Chonya Wilaya ya Ruangwa

11. MKOA WA MANYARA:
66. Samweli Warioba Gunza Wilaya ya Simanjiro
67. John John Nchimbi Wilaya ya Kiteto
68. Anna Philip Mbogo Wilaya ya Babat
69. Yered Edson Myenzi Mji wa Mbulu
70. Jenifa Christian Omolo Wilaya ya Hanang’
71. Dr. Zuweina Kondo Mji wa Babati
72. Abubakar Abdullah Kuuli Wilaya ya Mbulu

12. MKOA WA MARA:
73. Emmanuel John Mkonongo Mji wa Bunda
74. Francis Emmanuel Namaumbo Wilaya ya Rorya
75. Palela Msongela Nitu Wilaya ya Musoma
76. Gimbana Emmanuel Ntavyo Mji wa Tarime
77. Bosco Addo Ndunguru Manispaa ya Musoma
78. Patricia Robbi John Wilaya ya Butiama
79. Solomon Isack Shati Wilaya ya Tarime
80. Changwa Mohammed Mkwazu Wilaya ya Bunda
81. Kivuma Hamis Msangi Wilaya ya Serengeti

13. MKOA WA MBEYA

82. Stephe Edward Katemba Wilaya ya Mbeya

83. Amede Elias Andrea Ngwadidako Jiji la Mbeya
84. Ezekiel Henrick Magehema Wilaya ya Kyela
85. Missana Kalela Kwangura Wilaya ya Mbarali
86. Tamim Hamad Kambona Wilaya ya Chunya
87. Loema Peter Isaaya Wilaya ya Busokelo
88. Renatus Blas Mchau Wilaya ya Rungwe

14. MKOA WA MOROGORO:
89. Saida Adamjee Mahungu Wilaya ya Ulanga
90. Eng. Stephen Mbulili Kaliwa Wilaya ya Mlimba
91. Lena Martin Nkaya Mji wa Ifakara
92. Hassan Njama Hassan Wilaya ya Mvomero
93. Kisena Magina Mabuba Wilaya ya Kilosa
94. Rehema Said Bwasi Wilaya ya Morogoro
95. Asajile Lucas Mwambambale Wilaya ya Gairo
96. Joanfaith John Kataraia Wilaya ya Malinyi
97. Ally Hamu Machela Manispaa ya Morogoro

15. MKOA WA MTWARA:
98. Col. Emanuel Harry Mwaigobeko Manispaa ya Mtwara
99. Thomas Edwin Mwailafu Mji wa Nanyamba
100. Erica Evarist Yegella Wilaya ya Mtwara
101. Duncan Golden Thebas Wilaya ya Newala
102. Apoo Castro Tindwa Wilaya ya Masasi
103. Elias Runeye Mtiruhungwa Mji wa Masasi
104. Shamim Daud Mwariko Mji wa Newala
105. Ibrahim John Mwanauta Wilaya ya Nanyamba
106. Mussa Lawrance Gama Wilaya ya Tandahimba

16. MKOA WA MWANZA:
107. Modest Joseph Apolinary Manispaa ya Ilemela
108. Lutengano George Mwaliba Wilaya ya Misungwi
109. Emmanuel Luponya Sherembi Wilaya ya Ukerewe
110. Fidelica Gabriel Myovela Wilaya ya Magu
111. Selemani Yahya Sekiete Jiji la Mwanza
112. Binuru Mussa Shekidele Wilaya ya Sengerema
113. Paulo Sosteness Malaga Wilaya ya Buchosa
114. Happiness Joachim Msanga Wilaya ya Kwimba

17. MKOA WA NJOMBE:
115. Dollar Rajab Kusenge Mji wa Njombe
116. Sunday Deogratius Ndori Wilaya ya Ludewa
117. William Mathew Makufwe Wilaya ya Makete
118. Keneth Haule Keneth Mji wa Makambako
119. Maryam Ahmed Muhaji Wilaya ya Wanging’ombe
120. Sharifa Yusuph Nabarang’anya Wilaya ya Njombe

18. MKOA WA PWANI:
121. Mshamu Ally Munde Mji wa Kibaha
122. Kuruthum Amour Sadik Wilaya ya Chalinze
123. Hanan Mohamed Bafagih Wilaya ya Kisarawe
124. Mwantum Hamis Mgonja Wilaya ya Mkuranga
125. Butamo Nuru Ndalahwa Wilaya ya Kibaha
126. Shauri Selenda Wilaya ya Bagamoyo
127. Mohamed Issa Mavura Wilaya ya Kibiti
128. ` Kassim Seif Ndumbo Wilaya ya Mafia
129. John Lipesi Kayombo Wilaya ya Rufiji

19. MKOA WA RUKWA:
130. Jacob James Mtalitinya Manispaa ya Sumbawanga
131. William Anyitike Mwakalambile Wilaya ya Nkasi
132. Shafii Kassim Mpenda Wilaya ya Kalambo
133. Lightness Stanley Msemo Wilaya ya Sumbawanga

20. MKOA WA RUVUMA:
134. Fredrick Damas Sagamiko Manispaa ya Songea
135. Neema Michael Maghembe Wilaya ya Songea
136. Sajidu Idrisa Mohamed Wilaya ya Madaba
137. Chiriku Hamis Chilumba Wilaya ya Namtumbo
138. Jimson Mhagama Wilaya ya Nyasa
139. Chiza Cyprian Marando Wilaya ya Tunduru
140. Grace Stephen Quintine Mji wa Mbinga
141. Juma Haji Juma Wilaya ya Mbinga

21. MKOA WA SHINYANGA:
142. Nice Remen Munissy Wilaya ya Shinyanga
143. Anderson David Msumba Mji wa Kahama
144. Charles Edward Fussi Wilaya ya Msalala
145. Lino Pius Mwageni Wilaya ya Ushetu
146. Emmanuel Johson Matinyi Wilaya ya Kishapu
147. Jomary Mkristo Satura Manispaa ya Shinyanga

22. MKOA WA SIMIYU:
148. Simon Sales Berege Wilaya ya Maswa
149. Adrian Jovin Jungu Mji wa Bariadi
150. Elizabeth Mathias Gumbo Wilaya ya Itilima
151. Halid Muharami Mbwana Wilaya ya Bariadi
152. Veronica Vicent Sayore Wilaya ya Busega
153. Msoleni Juma Dakawa Wilaya ya Meatu

23. MKOA WA SINGIDA
154. Estehr Annania Chaula Wilaya ya Singida
155. Michael Augustino Matomora Wilaya ya Iramba
156. Justine Lawrence Kijazi Wilaya ya Ikungi
157. Melkizedek Oscar Humbe Wilaya ya Manyoni
158. John Kulwa Mgagulwa Wilaya ya Itigi
159. Zefrin Kimolo Lubuva Manispaa ya Singida
160. Asia Juma Mosses Wilaya ya Mkalama

24. MKOA WA SONGWE:
161. Cecilia Donath Kavishe Wilaya ya Songwe
162. Philimoni Mwita Magesa Mji wa Tunduma
163. Regina Lazaro Beida Wilaya ya Momba
164. Abadallah Hamis Nandonde Wilaya ya Mbozi
165. Geofrey Moses Nnauye Wilaya ya Ileje

25. MKOA WA TABORA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
166. Shomary Salim Mndolwa Mji wa Nzega
167. Kiomoni Kiburwa Kibamba Wilaya ya Nzega
168. Baraka Michael Zikatimu Wilaya ya Urambo
169. Dkt. Peter Maiga Nyanja Manispaa ya Tabora
170. Hemed Saidi Magaro Wilaya ya Uyui
171. Jerry Daimon Mwaga Wilaya ya Kaliua
172. Selemani Mohamed Pandawe Wilaya ya Sikonge
173. Fatuma Omary Latu Wilaya ya Igunga

26. MKOA WA TANGA:
NA JINA KAMILI HALMASHAURI
174. Gracia Max Makota Wilaya ya Kilindi
175. Ikupa Harrison Mwasyoge Wilaya ya Lushoto
176. George Daniel Haule Wilaya ya Bumbuli
177. Nasib Bakari Mmbaga Wilaya ya Muheza
178. Isaya Mugishangwe Mbenje Wilaya ya Pangani
179. Zahara Abdul Msangi Wilaya ya Mkinga
180. Saitoti Zelote Stephen Wilaya ya Handeni
181. Nicodemus John Bei Mji wa Korogwe
182. Mariamu Ukwaju Masebu Mji wa Handeni
183. Spora Jonathan Liana Jiji la Tanga
184. Halfan Hashim Magani Wilaya ya Korogwe.

error: Content is protected !!