Saturday , 11 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi ahojiwa Polisi kisa Chadema

WAKILI Boniface Mwabukusi amedai Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limemhoji kuhusu tuhuma za kutumia wimbo wa chama kingine ambacho kinatajwa kuwa ni Chadema...

KimataifaTangulizi

Hali mbaya Gaza, hospitali zaelemewa

  HALI za wapalestina waishio ukanda wa Gaza, imezidi kuwa mbaya kufuatia mashambulizi ya anga na mabomu yanayoendelea kufanywa na Israel, ambayo yamesababisha...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atunukiwa shahada nyingine ya heshima India

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Doctorate Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru,...

Habari za SiasaTangulizi

Polisi wamwachia Wakili Mwabukusi

  JESHI la Polisi mkoani Mbeya, limemwachia Wakili Boniface Mwabukusi, baada ya kumshikilia kwa saa kadhaa tangu alivyoitikia wito wa kuripoti ili kuhojiwa...

Habari za Siasa

CCM: Hatutawabeba viongozi mizigo chaguzi zijazo

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema hakitawabeba viongozi mizigo katika chaguzi zijazo, huku kikiwataka waliopewa dhamana wakati huu kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi...

HabariTangulizi

Dk. Slaa, Mwabukusi kuhojiwa na jeshi la Polisi Mbeya

JESHI la Polisi jijini Mbeya, linawashikilia kwa mahojiano Dk. Wilbroad Slaa na Wakili Boniface Mwabukusi kufuatia kufanya mkutano wa hadahara ambao ulikuwa unadaiwa...

KimataifaTangulizi

Watu 1,000 wafariki vita Israel, Palestina

  MAPIGANO ya kijeshi kati ya Kundi la Hamas la Palestina na Jeshi la Israel, yaliyoanza Jumamosi iliyopita, yamepoteza maisha ya watu zaidi...

Habari za Siasa

Bilioni 16.2 kulipa fidia watakaopisha ujenzi barabara nchini

  JUMLA ya Sh 16.2 bilioni zimetolewa na Serikali kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi ambao watapisha ujenzi wa barabara mbalimbali nchini....

Habari za Siasa

Msikimbilie kufanya kazi mijini – Ridhiwani Kikwete

  NAIBU waziri, Ofisi ya Rais, Utumishi na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete, amewataka watumishi wa umma, kutokimbia kufanya kazi pembezoni mwa nchi. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Netanyahu: Israel imeingia kwenye vita virefu na vigumu, zaidi ya 900 wameuawa

  TAKRIBANI Waisraeli 900 wameripotiwa kuwawa na 100 wengine kutekwa nyara katika mashambulizi yaliyoendeshwa na vikosi vya wanamgambo wa Hamas ndani ya Israel....

Habari za Siasa

Majaliwa apiga marufuku watumishi kujitolea ardhi

  WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amepiga marufuku watumishi wa kujitolea katika sekta ya ardhi, hususan kwenye eneo la upimaji viwanja, akisema wanachochea migogoro...

Habari za SiasaTangulizi

Kongamano la kina Dk. Slaa kupinga mkataba bandari lakwaa kisiki

KONGAMANO la kujadili mkataba wa bandari na upatikanaji katiba mpya, lililoandaliwa na wanaharakati akiwemo Dk. Wilbroad Slaa, kwa kushirikiana na taasisi ya Tanzania...

BiasharaTangulizi

Bei ya mafuta ya petroli, dizeli kwa mwezi Oktoba yapaa tena

BEI ya mafuta ya petroli kwa mwezi Oktoba 2023, imepanda kwa Sh. 68, huku dizeli ikiongezeka kwa Sh. 189. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za Siasa

Bilioni 6.1 kumaliza tatizo la maji Katoro-Buseresere – Geita

Makamu mwenyekiti wa Umoja wa wanawake CCM, (UWT), Zainab Shomari amesema Serikali imeendelea kutekeleza miradi ya maendeleo ikiwemo ya ujenzi wa miundombinu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali kupokea ndege ya 14 ya ATCL, safari kuongezeka

  SERIKALI ya Tanzania, kesho tarehe 3 Oktoba 2023, inatarajia kupokea ndege mpya ya masafa ya kati aina ya Boeng 737-9, ya Kampuni...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mobhare Matinyi Msemaji mpya wa Serikali

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Mobhare Matinyi, kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Basi la Magereza lagonga treni yenye abiria 650 Dar

Basi  Jeshi la Magereza lenye namba MT 0040 limegonga treni ya abiria namba YD16 yenye injini namba 9015 iliyokuwa ikitokea mikoa ya Bara...

Habari za Siasa

Serikali yawaangukia viongozi wa dini

SERIKALI imewaomba viongozi wa dini, waendelee kuelimisha wananchi kudumisha amani na umoja, ili kuleta maendeleo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Wito huo umetolewa na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Afya ya akili yatajwa chanzo kuvunjika ndoa

CHANGAMOTO ya afya ya akili, imetajwa kuwa chanzo cha migogoro inayopelekea ndoa nyingi kuvunjika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Hayo yamebainishwa leo tarehe 28...

Habari za Siasa

Azzim Dewji aitaka Serikali iwanyooshe mafisadi

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Azzim Dewji, ameitaka Serikali iwachukulie hatua wezi wa fedha za umma, akisema kitendo cha kuwaacha huru kinawaibua wengine. Anaripoti Mwandishi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Kapinga: Usambazaji umeme vijijini mwisho Desemba 2023

  NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amesema ifikapo mwezi Desemba mwaka huu, utekelezaji wa mradi wa kusambaza umeme vijijini wa awamu ya...

Habari za Siasa

Mgongano wa kimasilahi wamhamisha Chande TTCL

  ALIYEKUWA Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande, ameondolewa katika Shirika la Mawasiliano la Tanzania (TTCL) ndani ya muda...

Habari za SiasaTangulizi

Mgawo wa umeme: Rais Samia ampa miezi sita bosi mpya TANESCO

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa miezi sita Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga, amalize changamoto ya...

Habari za Siasa

Rais Samia avunja bodi ya REA

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Jacob Kingu, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Chande aliyeng’olewa TANESCO kwenda TTCL apelekwa Posta

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemteua aliyekuwa, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawaasiliano  Tanzania (TTCL), Maharagande Chande, kuwa Postamasta wa Shirika la Posta...

Habari za Siasa

Kamugisha aanika utekelezaji mpango kazi 2022/23

MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama Cha ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, amebabainisha masuala sita yaliyofanyiwa kazi kupitia mpango...

Habari za Siasa

Vijana ACT-Wazalendo wakabidhiwa kivumbi kulinda kura uchaguzi 2024,2025

NGOME ya Vijana ya Chama cha  ACT-Wazalendo, imetakiwa kuwanoa wafuasi wake ili wahakikishe chama hicho kinapata ushindi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua, atengua, Msigwa apelekwa wizara ya michezo

  RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya teuzi na utenguzi wa viongozi mbalimbali, akiwemo aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, ambaye amepelekwa kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mgawo wa umeme wang’oa vigogo TANESCO

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewahamisha waliokuwa vigogo wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), katika kipindi ambacho kuna changamoto ya ratiba ya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mgogoro wa ardhi Kiteto: Wakulima wadaiwa kutwanga risasi ng’ombe wa wafugaji Kiteto

MGOGORO kati ya wafugaji na wakulima katika Kijiji cha Lembapuli, Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara umechukua sura mpya baada ya wakulima kudaiwa kuvamia...

Habari za SiasaTangulizi

Mchengerwa amtumbua mkurugenzi Busega

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busega...

Habari za SiasaTangulizi

SMZ yasalimu amri, yashusha viwango vya malipo Bandari ya Malindi

  SERIKALI imerudisha viwango vya malipo ya uingizaji mizigo kupitia Bandari Kuu ya Malindi, mjini hapa, baada ya “kishindo kikubwa” cha malalamiko ya...

Habari za Siasa

CCM yatetea jimbo Mbarali

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuvigaragaza vyama vya upinzani baada ya kutetea jimbo la Mbarali katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana Jumanne. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aanika miradi ya maendeleo Musoma

  OFISI ya Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospster Muhongo, imeishukuru Serikali na wadau wa maendeleo kwa kufanikisha ujenzi wa miradi ya maendeleo...

Habari za Siasa

Ubunge Mbarali: ACT-Wazalendo yamtega Rais Samia

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema kinashiriki uchaguzi wa marudio wa ubunge katika Jimbo la Mbarali, ili kuipima Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Prof Mwafenga ulijiamini katika utendaji wako na degree zako 10 – Maige

KIFO cha Prof Hadley Mpoki Mwafenga- Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la kwanza wa kitengo cha ubia kati ya Sekta umma na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia agoma ombi la wananchi kumwondoa mwekezaji

RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa ombi la wananchi lililotaka afute hati ya umiliki ardhi inayodaiwa kuporwa kinyume cha sheria na mwekezaji Kampuni ya...

Habari za Siasa

Serikali kujenga bandari ya uvuvi Bagamoyo

SERIKALI ina mpango wa kujenga bandari ya uvuvi wilayani Bagamoyo, ili kuimarisha shughuli za uchumi wa buluu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Wapiga kura 216,282 kupiga kura uchaguzi mdogo Mbarali, kata sita  

Wapiga kura 216,282 walioandikishwa kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wanatarajiwa kupiga kura kesho tarehe 19 Septemba 2023 kwenye uchaguzi mdogo wa...

Habari za Siasa

Chadema yalishukia Bunge kuhusu bei ya mafuta

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji kwa nini Bunge limeshindwa kuisimamia Serikali katika kutatua changamoto ya kuadimika kwa Dola ya Marekani...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Waziri Majaliwa wadhifa wake ni mkubwa

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake lazima imuenzi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwa kutekeleza miradi ya maendeleo katika jimbo lake...

HabariHabari Mchanganyiko

Kairuki Hospital Green IVF  yawanoa madaktari kuhusu upandikizaji mimba

KITUO cha Upandikizaji Mimba cha Kairuki Hospital Green IVF (KHGIVF), kimeendesha mafunzo kwa madaktari wa hospitali mbalimbali kuhusu namna bora ya upandikizaji mimba....

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yapinga msimamo wa Baraza la Vyama

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekosoa msimamo wa Baraza la Vyama vya Siasa wa kuipa muda Serikali katika mchakato wa marekebisho ya...

ElimuHabari

Wanafunzi wa vipimo na viwango CBE waula

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimefanya uwekezaji mkubwa wa vifaa vya kisasa kwenye idara yake ya vipimo na viwango hususan kwenye upimaji...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Hii ndio sura halisi ya Rais Samia

KILA zama na kitabu chake. Hizi ni zama za Rais Samia Suluhu Hassan na kitabu anachotumia ni tofauti na kilichotumiwa na mtangulizi wake...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Bagonza ampa mbinu Samia jina liandikwe kwa wino wa dhahabu

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Dayosisi ya Karagwe, Dk. Benson Bagonza amemtaka Rais Samia kuweka mfumo mzuri wa kidemokrasia...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo: Hatutabakisha jimbo Pemba

WAKATI joto la Uchaguzi mkuu likizidi kupanda, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema kutokana na mikakati ya ushindi iliyowekwa, wana uhakika wa kushinda majimbo yote...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia airushia dongo Chadema

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema kuna chama kikipewa madaraka baadhi ya viongozi wake wataunda chama kingine ili wawapinge wenzao walioko madarakani. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wanasiasa tusiburuze wananchi mchakato wa katiba mpya

RAIS Samia Suluhu Hassan amevitaka vyama vya siasa kutohodhi mchakato wa marekebisho ya katiba, akisema suala hilo si mali yao bali ni mali...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba amkumbusha Samia Katiba mpya kwa maandalizi uchaguzi 2024, 2025

MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Ibahimu Lipumba amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza ahadi yake ya kukamilisha mchakato wa katiba...

error: Content is protected !!