Sunday , 28 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

NEC yateua 58 kugombea udiwani, ubunge Mbarali

TUME ya Taifa ya Uchaguzi, imeteua wagombea 58 kugombea ubunge wa Mbarali mkoani Mbeya pamoja na udiwani katika kata mbalimbali nchini kwenye uchaguzi...

Habari za Siasa

CCM: Marekebisho madogo ya katiba yatafanyika kupata uchaguzi huru

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema marekebisho madogo ya katiba yatafanyika ili kuondoa vipengele vinavyokwamisha upatikanaji wa uchaguzi huru na wa haki.Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sekta mbalimbali zatakiwa kuchukua hatua stahiki uwepo wa El Nino

MKURUGENZI Msaidizi (Operesheni na Uratibu), Idara ya Menejimenti ya Maafa, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera , Bunge na Uratibu), Luteni Kanali Selestine Masalamado...

Habari za Siasa

Indonesia kufufua kituo cha mafunzo ya kilimo Morogoro

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameridhia uamuzi wa Serikali ya Indonesia wa kufufua shughuli za Kituo cha Mafunzo...

Habari za SiasaTangulizi

Mchungaji Lusekelo awavaa maaskofu Katoliki, awataka wakae kimya

MCHUNGAJI wa Kanisa la Maombezi jijini Dar es Salaam (GRC), Antony Lusekelo ameukosoa waraka wa Baraza la Maaskofu Katokili Tanzania (TEC) na kudai...

Habari za SiasaTangulizi

Njama za kuvuruga mkutano KKKT zafichuka

KUNA njama zinasukwa za kutaka kuvuruga mkutano mkuu wa Kanisa Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), kupitia kinachoitwa, “Kanisa Moja, Katiba Moja.” Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

DP World: KKKT yaunga mkono uwekezaji, yampongeza Rais Samia kwa hekima

  ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Fredrick Shoo, amesema kuwa kanisa lake lina imani na namna ambavyo...

Habari za SiasaTangulizi

KKKT latoa msimamo kuhusu sakata la bandari

  KANISA la Kiinjili La Kilutheri Tanzania (KKKT), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, kutumia busara katika kutafuta suluhu kuhusu sakata la uwekezaji bandarini,...

Makala & Uchambuzi

Safari ya Siah Malle katika uhandisi inavyoibua vipaji vipya vya wanawake

Siah Malle ni mfano mzuri wa mwanamke ambaye amefanikiwa kuvunja dhana iliyojengeka na kuwagawa wanawake na wanaume kwenye uwanja wa taaluma mbalimbali duniani....

Habari za Siasa

CUF yazindua sera mpya kuondoa umasikini

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimezindua sera mpya ya kipato cha msingi kwa wananchi wote (Universal Basic Income), inayolenga kupunguza makali ya ugumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

KKKT yalia utapeli makanisa ya kisasa

  WAUMINI wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), wametakiwa kujiepusha na makanisa yaliyoibuka hivi karibuni, yanayodaiwa kutoa mafundisho ya kitapeli kinyume...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete: Tuwanyanyapae wanaochanganya dini, siasa

RAIS Mstaafu Jakaya Kikwete amewataka Watanzania kuwanyanyapaa viongozi wanaochanganya dini na siasa kwa kuwa ni jambo hatari kwa ustawi wa amani na utulivu...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Msiogope mabadiliko, hakuna atakayepoteza ajira

RAIS Samia Suluhu Hassan amewatoa hofu waajiriwa katika taasisi na mashirika ya umma yatakayofutwa kutokana na sababu mbalimbali kwamba watahamishiwa kwenye mashirika mengine...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aonya taasisi, mashirika ya umma yanayokopa kutoa gawio

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anataka kuona taasisi na mashirika ya umma yakichangia mfuko mkuu wa serikali kutokana na kipato kinachozalishwa kwa kutekeleza...

Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Katibu Mkuu Maji

Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa...

Habari za SiasaTangulizi

Mwabukusi, Mdude nao waachiwa kwa dhamana

  HATIMAYE Wakili, Boniphace Mwabukusi na Kada wa Chasema, Mpaluka Saidi Nyangali maarufu kama ‘Mdude’ nao wameachiwa huru na Jeshi la Polisi mkoani...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kanisa Katoliki ‘lashusha kombora’ DP World

  BARAZA la Maaskofu wa Katoliki Tanzania (TEC), limepinga mkataba wa usimamizi na uendelezaji wa bandari nchini, kati ya Tanzania na kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa: Sitarudi nyuma, nimetimiza wajibu wangu

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa leo Ijumaa amesema kitendo cha polisi kumkamata kinguvu tarehe 13 Agosti 2023 kisha kutuhumiwa kwa uhaini, hakitamrejesha nyuma...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aionya Serikali marekebisho sheria ya rasilimali asilia

  BALOZI Dk. Willibroad Slaa amedai kuwa katika Mkutano wa 12 wa Bunge unaotarajiwa kuanza tarehe 29 Agosti 2023, iwapo marekebisho ya muswada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa aachiwa kwa dhamana, Mwabukusi, Mdude kitendawili

HATIMAYE Balozi Dk. Wilbroad Slaa leo Ijumaa mchana ameachiwa huru baada ya kutimiza masharti ya dhamana aliyoagizwa na Jeshi la Polisi Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini

WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho...

Habari za Siasa

Kamati Kuu CCM yamteua Bahati kuwa mgombea ubunge Mbarali

KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, ikiongozwa na Mwenyekiti wa CCM na Rais Samia Suluhu Hassan, imemteua wa...

Habari za SiasaTangulizi

Wakili: Mwabukusi mgonjwa, ana mshono

WAKILI Philip Mwakilima ambaye anasimamia kesi inayomkabili ya Wakili Boniphace Mwabukusi na wenzie leo Alhamisi amesema mteja wake anaumwa hivyo Jeshi la Polisi...

Habari za SiasaTangulizi

Sakata la Dk. Slaa na wenzake: Polisi kuburuzwa kortini

MAWAKILI wa Dk. Willibord Slaa na wenzake watatu, wako mbioni kufungua shauri Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, kuomba amri ya kuwataka jeshi la...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awapangia vituo mabalozi 3, Kipilimba, Migiro warejeshwa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi Mabalozi watatu na kumbadilishia kituo cha kazi Balozi mmoja. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Pia Balozi...

Habari za SiasaTangulizi

Nape adai Dk. Slaa, wenzie wamekamatwa kwa tuhuma za uhaini, si kukosoa mkataba DP World

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema Dk. Willibrod Slaa, Boniface Mwabukusi na Mpaluka Nyangali ‘mdude’ wamekamatwa kwa tuhuma...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jukwaa la wahariri lasikitishwa waandishi kushambuliwa, laonya wasiasa kuhamasisha vurugu

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limesikitishwa na tukio lililofanywa na vijana wa Kimasai (morani) zaidi ya 200 katika Kata ya Enduleni, wilayani Ngorongoro...

Habari za SiasaTangulizi

Mabalozi mtegoni, Samia akerwa balozi aliyekataliwa kwa ugoigoi

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wapya aliowaapisha leo Jumatano kuelekea kwenye vituo vyao vya kazi wakiwa wamekamilika kwa sababu muda wowote wanaweza...

Habari za SiasaTangulizi

Wakazi Mbeya washinikiza Mwabukusi, Slaa waachiwe huru

BAADHI ya wakazi wa jijini Mbeya wamepaza sauti zao kwa serikali na kuiomba iwaachie huru au kuwafikisha mahakamani Wakili Boniface Mwabukusi, Mpaluka Said...

Habari za SiasaTangulizi

Watetezi haki za binadamu walaani kukamatwa wanaopinga mkataba DP World

WADAU wa haki za binadamu nchini na mashirika ya kimataifa wamelaani kitendo cha kukamatwa kwa wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mkataba ushirikiano wa kiuchimi...

Habari za Siasa

Polisi watoa kauli madai mauaji Kibiti kuibuka tena

JESHI la Polisi nchini, limewataka wananchi wapuuze madai ya mauaji ya watu wilayani Kibiti Mkoa wa Pwani, kuibuka tena, likisema hali ni shwari....

Habari za SiasaTangulizi

Balozi Dk. Slaa naye adaiwa kukamatwa

BALOZI na Mwanasiasa maarufu nchini, Dk. Wilbroad Slaa anadaiwa kukamatwa na Jeshi la Polisi nyumbani kwake Mbweni jijiji Dar es Salaam. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Kikwete: Amani itawezesha nchi za SADC kujiamini, kusimamia haki

Rais Mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi: Tumemkamata Mwabukusi, Mdude kwa mahojiano

Jeshi la Polisi nchini limethibitisha kuwakamata Wakili Boniface Mwabukusi na Mpaluka Said Nyagali maarufu kama Mdude kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi....

Habari za SiasaTangulizi

Wakili Mwabukusi mbaroni, yumo pia Masonga na Mdude

MWANASHERIA mahiri nchini na Wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi amekamatwa na jeshi la Polisi. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Taarifa kutoka vyanzo mbalimbali, akiwamo...

Habari za Siasa

Rais Samia awapangia vituo vya kazi mabalozi 10, Dk. Nchimbi arejeshwa nyumbani

RAIS Samia Suluhu Hassan amewapangia vituo vya kazi mabalozi wakiwemo mabalozi wateule sita aliowateua tarehe 10 Mei 2023 na kuwabadilisha vituo vya kazi...

Habari za SiasaTangulizi

IGP Wambura acharuka, asema kuna watu wanataka kuiangusha Serikali, “wasitikise kiberiti”

MKUU wa Jeshi la Polisi (IGP), Camillius Wambura amesema kuna kundi la watu ambao wamepanga kuandaa maandamano nchi nzima ili kuiangusha Serikali ya...

Habari za Siasa

60% maeneo kanda ya ziwa hayana maji safi na salama- Mbowe

  MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendelo- CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema kuwa zaidi ya asilimia 60 ya maeneo ya ukanda wa Ziwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwabukusi ataja sababu 3 kukata rufaa kupinga hukumu kesi DP World

  WAKILI Boniface Mwabukusi anayeongoza jopo la mawakili waliosimamia kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne mkoani Mbeya, ametangaza kukata rufaa kupinga hukumu...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mahakama kuu yabariki mkataba DP World, yadai haujakiuka Katiba

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya leo Alhamisi imetupilia mbali kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wananchi wanne wakiongozwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Abiria ABOOD walionusurika ajalini, wazua timbwili, Mbunge Abood ang’aka

KAMPUNI ya mabasi ABOOD imeingia matatani baada ya uongozi wa kampuni hiyo kuwalazimisha abiria zaidi ya 50 kusafiri kwa basi bovu lililopata ajali...

BiasharaHabari

Jaji Maghimbi agomea muungano TWIGA, Tanga Cement

SAKATA la kampuni ya Tanga Cement kuuzwa limezidi kuchukua sura mpya baada ya mmoja wa wajumbe wa Tume ya Ushindani wa Haki FCC,...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya nchi

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali haijafunga mipaka kuuza mazao nje ya nchi, bali inataka kuwe na mfumo wa ununuzi, uuzaji na usafirishaji...

Habari za SiasaTangulizi

Chongolo awachongea wakuu wa mikoa, wilaya kwa Rais Samia

KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutoa kauli kuhusu wakuu wa wilaya na mikoa ambao wameshindwa kuthibiti kikundi...

Habari za Siasa

Bashe aweka historia Samia akizindua program uchimbaji visima 67800

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumanne amezindua programu ya uchimbaji wa visima kwa ajili ya wakulima wadogo 67,850 kwa nchi nzima zitakazowezesha jumla...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaahirisha hukumu ya kesi ya ‘DP Word’

MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya, leo Jumatatu, imeahirisha kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na raia watano, wanaopinga makubaliano ya kibiashara na...

Habari za Siasa

Kamati za Bunge mguu sawa Bunge likianza 29 Agosti

Bunge la Tanzania limesema, vikao vya kawaida vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza kufanyika Jumatatu tarehe 14 hadi 25 Agosti 2023 Jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Ofisi msajili vyama vya siasa haina uwezo kusimamia upatikanaji Katiba mpya

JAMES Mbatia, aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, haiwezi kushughulikia mchakato wa upatikanaji katiba mpya,...

Habari za Siasa

NEC: Uchaguzi Mbarali Septemba 19

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Ubunge katika Jimbo la Mbarali na madiwani katika kata sita za Tanzania Bara,...

BiasharaTangulizi

Wafanyabiashara waitwa Bandari ya Dar es Salaam

  WAFANYABIASHARA wametakiwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kusafirisha mizigo yao badala ya kutumia bandari za mbali, ili kuokoa muda na gharama....

error: Content is protected !!