Saturday , 27 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini
Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa asafirishwa usiku Dar, Polisi waita wadhamini

Spread the love

WAKILI Dickson Matata amethibitisha kuwa Balozi Dk. Wilbroad Slaa amerejeshwa Dar es Salaam na kutakiwa kuwa na wadhamini wawili wenye barua za utambulisho kutoka kata wanazoishi ili aachiwe kwa dhamana.

Hatua hiyo inakuja baada ya usiku wa jana Alhamisi kusafirishwa kutoka Mbeya na kuletwa katika Kituo cha Polisi  Oysterbay -Dar  es Salaam.

Akizungumza na MwanaHALISI online leo Ijumaa Wakili Matata amesema amepigiwa simu na Maofisa wa Polisi wa kituo hicho na kumtaka afike kwa ajili ya utaratibu wa dhamana ya Dk. Slaa.

“Polisi wametaka wadhamini wawili wenye barua za utambulisho kutoka kata wanazoishi. Nipo kwenye mchakato wa kisheria kukamilisha taratibu hizo,” amesema.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

ACT: Waongoza watalii wapate maslahi yao inavyostahili

Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

Spread the love  MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awataka watanzania kudumisha muungano

Spread the loveRais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuendeleza Muungano kwa...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo akomalia matumizi nishati jadidifu kuondoa uhaba wa umeme

Spread the love  MBUNGE wa Musoma Vijijini (CCM), Profesa Sospeter Muhongo, ameendelea...

error: Content is protected !!