Friday , 29 September 2023
Home Kitengo Habari Kimataifa Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha
Kimataifa

Ajichoma moto kisa ugumu wa maisha

Spread the love

MTU mmoja mkazi wa Kaunti ya Mombasa nchini Kenya amelazwa katika Hospitali Kuu ya Pwani nchini humo baada ya kupata majeraha baada ya kujijijeruhi kwa moto akikusudia kujiua kutokana na ugumu wa maisha. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea).

Manusura huyo, ambaye anadaiwa kuwa ni mkazi wa Kaunti ya Kiambu, alifika katika mzunguko wa duka kuu la Naivasha na kujichoma mbele ya umati uliokuwa ukipita na kushuhudia tukio hilo.

“Alikuwa akilalamikia gharama ya juu ya maisha kabla ya kutekeleza kitendo hicho. Alianguka chini kutoka jirani na mnara baada ya kuungua kwa muda,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo.

Hata hivyo, inadaiwa mtu huyo alikuwa amehitimu Chuo Kikuu cha Nairobi, na alipotezana na familia yake iliyochapisha tangazo kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook wiki iliyopita ikisema kwamba inamtafuta.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Kimataifa

Wadukuzi wa Kichana waiba barua pepe 60,000 za Serikali ya Marekani

Spread the loveWADUKUZI wa kichana wamedukua barua pepe 60000 serikali ya Marekani...

Kimataifa

Mahakama yamkuta na hatia Donald Trump

Spread the love  ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump, amekutwa na hatia...

Kimataifa

Harusi yageuka msiba 100 wakifariki kwa ajali ya moto

Spread the love  WATU takribani 100, akiwemo bibi na bwana harusi, wamefariki...

Kimataifa

Kampuni ya mali ya China Oceanwide yapata agizo la kufilisiwa huko Bermuda

Spread the love  MAHAKAMA ya Bermuda imetoa amri ya kufilisiwa kwa Kamapuni...

error: Content is protected !!