Saturday , 4 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Msalala yaweka msimamo makusanyo 2023/24

  MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato...

BiasharaTangulizi

Marufuku nguo za mitumba yazua kizaazaa, wafanyabiashara wachachamaa

WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...

Habari za Siasa

Samia aleta marais sita Tanzania

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuipaisha Tanzania kimataifa baada ya kufanikisha ujio jijini Dar es Salaam wa marais wasiopungua sita na Makamu...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu agomea wito wa DCI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amegoma kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi akwamisha kesi kina Mdee, Chadema

KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekwama kusikilizwa baada ya shahidi kushindwa...

Habari za SiasaTangulizi

Hoja sita kutikisa kesi kupinga mkataba wa bandari

HOJA sita zinatarajiwa kutikisa katika usikilizwaji kesi ya kikatiba iliyofunguliwa kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai,...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka vijana watumike kuleta mageuzi uchumi Afrika

RAIS Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi za Afrika kutumia vijana katika kuleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka ubunifu kusaka suluhu changamoto za kifedha

MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tusikubali mtu, kikundi kutugawa

Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ametoa wito kwa Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kudumisha amani, umoja, mshikamano na utulivu wa nchi na kufanya...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Festo Dugange arejea kazini

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk. Festo Dugange leo Jumanne ameonekana kwa mara ya kwanza hadharani kwenye shughuli ya kiserikali ikiwa...

Habari za Siasa

CCM yamkingia kifua Rais Samia sakata la bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutafuta mwekezaji binafsi wa kuendesha bandari nchini, ni utekelezaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge aliyefukuzwa Chadema aibuka mkutano CCM

MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Slaa amuomba mambo 3 Rais Samia “toa kauli utuokoe”

BALOZI Mstaafu Dk. Wilbroad Slaa amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan atokeo hadharani atoke hadharani na kutoa kauli ili kuliokoa Taifa katika janga lililoibuka...

Habari za Siasa

Dk. Slaa: Tuache unafiki, vyama vya siasa vimegoma…

BALOZI mstaafu Dk. Wilbroad Slaa amewataka Watanzania kuacha unafiki kwani alialika baadhi ya vyama vya siasa kushiriki mkutano unaolenga kujadili mkataba wa uwekezaji...

Habari za Siasa

Askofu ashauri jopo la wanasheria liundwe kujadili upya mkataba uwekezaji bandari

ASKOFU wa Kanisa la Baptist Kanda ya Kati, Anthony Mlyashimba ametoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake kukubali kuufumua mkataba...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto, Lipumba ‘waukwepa’ mkutano wa Dk. Slaa, Chadema

VIONGOZI machachari wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba (Mwenyekiti CUF) na Zitto Kabwe (Kiongozi Mkuu ACT Wazalendo) wametajwa kuutosa mkutano ulioandaliwa leo...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia: Serikali iache kiburi, irudi kwenye meza ya mazungumzo

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia leo Jumapili ametoa wito kwa Serikali kuacha kiburi na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo ili...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yampuuza msajili

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimegoma kutii agizo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, la kuahirisha kufanya mkutano uliolenga kuchambua...

Habari za SiasaTangulizi

Heche amtaka Mwenyekiti bodi TPA atoke mafichoni

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amemtaka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari...

Habari za SiasaTangulizi

Viongozi wa dini wataka mkataba DP world uvunjwe, waliokamatwa waachiwe

BAADHI ya viongozi wa dini, wameiangukia Serikali wakiitaka ivunje mkataba iliyoingia na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP world kwa ajili ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenzie na Mdee amponza kigogo Chadema, asimamishwa uongozi

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemsimisha uongozi Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Tabora, Lucas Kiberenge na wenzake kwa kushiriki kumuandalia mkutano...

KimataifaTangulizi

Kenyatta amchana Ruto, amwambia nitafuteni mimi, siyo familia yangu

RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Ruto akaribisha wawekezaji Dubai, DRC, Zambia kufuata

WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es...

AfyaTangulizi

Mganga mfawidhi mbaroni madai wizi wa dawa, vifaa tiba

Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mwanafunzi mbaroni akidaiwa kumuua mwalimu aliyemtaka akaswali

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kinamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qiblaten Kawe, Mohamed Jabir, kwa tuhuma za kumuua...

Habari MchanganyikoTangulizi

AG adai ugumu wa maisha chanzo mahabusu kufurahia kukaa rumande

MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, amedai baadhi ya mahabusu ambao makosa yao yanaruhusu kupewa dhamana, wamekuwa wakikataa nafuu hiyo ya...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awaachia huru mahabusu 2,240 waliobambikizwa kesi

MAHABUSU zaidi ya 2,240 waliokuwa wanashikiliwa katika vyombo vya kisheria kwa kesi za kubambikizwa, wameachwa huru tangu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,...

Habari za Siasa

CCM yaendelea kushusha presha wananchi sakata la bandari

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeendelea kutumia mikutano ya hadhara kutoa ufafanuzi wa maswali yaliyoibuka kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu aitwa na DCI

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amedai kuitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Mahakama: Afande Rama hana hatia

Mahakama ya Mkoa wa Vuga mjini Unguja imemwachia huru mshtakiwa Ramadhan Ali maarufu kama Afande Rama aliyekuwa akikabiliwa na mashtaka ya kuingiliwa kinyume...

Habari za Siasa

Rais Samia amlilia Jecha Salim Jecha

RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete afunguka misukosuko anayokumbana nayo Rais Samia

RAIS Mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, amesema anaridhika na uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, hususan utulivu wake anaouonesha katika kipindi ambacho Serikali...

Habari za Siasa

Rais Kikwete: Demokrasia Afrika inapitia changamoto

RAIS Mstaafu wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, amesema demokrasia ya barani Afrika, inapitia changamoto nyingine, ambazo baadhi yake zinasababishwa na taasisi zinazosimamia suala...

Habari za Siasa

Tanzania, Hungary wafungua mazungumzo uwekezaji na biashara

SERIKALI ya Tanzania na Hungary, zimefungua majadiliano kuhusu uimarishaji mahusiano ya kidiplomasia katika masula ya uwekezaji na biashara. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi atangaza mapumziko mwaka mpya wa kiislamu

RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi ametangaza siku kuu ya mwaka mpya wa dini ya kiislamu, kuwa mapumziko visiwani humo. Anaripoti Maryam Mdhihiri,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Wakili Madeleka kusota rumande hadi Julai 31, sababu zatajwa

  IMEBAINIKA kuwa sababu ya Wakili Peter Madeleka, kukamatwa tena jana Jumatatu na Jeshi la Polisi ni kufufua kesi ya uhujumu uchumi Na./2020...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenyekiti mstaafu ZEC- Jecha Salim Jecha afariki dunia

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu katika Hospitali ya Jeshi la Lugalo, jijini...

Habari za Siasa

Tanzania kuwa mwenyeji mkutano wakuu wa nchi Afrika kuhusu rasilimali watu

TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu rasilimali watu, utakaofungwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, tarehe...

Habari za Siasa

Rais Hungary kufanya ziara ya siku 4 nchini

RAIS wa Hungary, Katalin Novak anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku nne nchini kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya mataifa hayo mawili....

Habari za SiasaTangulizi

Vyama vipya 18 vya siasa vyaomba usajili, uhakiki waanza

OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini imesema  kuanzia  tarehe 23 Julai 2023 itaanza uhakiki wa vyama vya siasa ambavyo vina usajili...

Habari MchanganyikoTangulizi

Polisi Arusha wamkamata Wakili Madeleka

WAKILI wa kujitegemea nchini, Peter Madeleka amekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Arusha katika Kituo Jumuishi cha utoaji haki baada ya kutoka Mahakama...

Habari za Siasa

Serikali yaweka mapingamizi kesi ya kupinga uwekezaji bandarini

SERIKALI imeweka mapingamizi katika kesi iliyofunguliwa kupinga uwekezaji wa bandari nchini, ikiitaka Mahakama Kuu, Kanda ya Mbeya, iitupilie mbali kwa madai iko kinyume...

Habari za SiasaTangulizi

Jeshi la polisi lapiga marufuku maandamano UVCCM

JESHI la Polisi nchini limepiga marufuku maandamano yaliyoitishwa na Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) katika wilaya zote nchini  kwa kufafanua kuwa yataleta vurugu...

Habari za Siasa

Prof Juma: Ukata umekwamisha utekelezaji mapendekezo Tume ya Jaji Bomani

JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amesema tume mbalimbali zimeundwa kwa ajili ya kukusanya maoni kuhusu maboresho ya haki jinai, lakini mapendekezo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataka kibano viongozi wanaotumia madaraka vibaya

RAIS Samia Suluhu Hassan, ameshauri sheria itakayowabana viongozi wanaotumia madaraka yao mabaya vibaya itungwe, ili kuimarisha mfumo wa haki jinai nchini. Anaripoti Regina...

KimataifaTangulizi

Rais Ruto amtolea uvivu Kenyatta, amuonya ukaribu na Odinga

RAIS wa Kenya William Ruto amedai kuwa aliyekuwa mtangulizi wake Uhuru Kenyatta anajaribu kubomoa serikali yake kwa kufadhili maandamano. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa…(endelea)....

Habari za SiasaTangulizi

Rais atoa neno sakata la bandari

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amezungumzia mjadala unaondelea kuhusu sakata la ukodishwaji bandari, akisema wakati watanzania wanalumbana juu ya suala hilo, nchi jirani...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatoa msimamo sakata la bandari, yataka walioshiriki wajiuzulu

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka watu waliohusika katika uandaaji mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyeongoza majadiliano kati ya Serikali na DP World afunguka

  MWENYEKITI wa Kamati ya Majadiliano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai, juu ya uwekezaji bandarini, Hamza Johar amesema mvutano mkali uliibuka...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yajaribu kushusha presha sakata la bandari

  SERIKALI ya Tanzania, imesema uwekezaji wa bandari, unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya DP World, kwamba hauna matatizo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

error: Content is protected !!