Categorizing posts based on type of post
WAZIRI wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku sehemu kubwa ya fedha iliyotengwa ikielekezwa kwenye ulipaji...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023WANAVIJIJI kutoka kata nne za Wilaya ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na adha ya huduma ya maji safi na salama...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa nchi haijauzwa na wala haiziki, na kwamba Tanzania ni moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023WANAJESHI wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya kupatikana, Wanajeshi wa Colombia wanahudumia watoto hao wanne muda mfupi baada ya...
By Mwandishi WetuJune 12, 2023BARAZA la madiwani katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wameazimia kutoa adhabu ya kuwafuta kazi watumishi saba huku kati yao...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amuombe radhi Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amesisitiza kwamba uwekezaji wa kampuni ya DP World kutoka Dubai hautahusisha bandari zote nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Gabriel MushiJune 10, 2023HATIMAYE Serikali ya Tanzania, imeamua kujiandikia historia yake nyingine ya kuingiza nchi katika mikataba tata ya kinyonyaji, kufuatia hatua ya Bunge lake,...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MDHAMINI Mkuu wa ligi ya NBC, Benki ya Taifa ya Biashara(NBC) leo Ijumaa aimekabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu ya soka Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023CHAMA cha wanasheria Tanzania (TLS), kimejitosa katika sakata la umilikishwaji wa bandari baada ya serikali kuanzisha makubaliano ya awali na kampuni ya...
By Mwandishi WetuJune 9, 2023SAKATA la mkataba wa uendeshaji, uendelezaji na uboreshaji wa bandari nchini Tanzania kati ya Mamlaka ya Bandari (TPA) na kampuni ya DP...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na UAE katika ushirikiano...
By Gabriel MushiJune 8, 2023MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema Serikali ya Tanzania bado haijasaini mikataba ya utekelezaji wa mkataba...
By Mwandishi WetuJune 8, 2023HEDHI ni sehemu ya maisha ya kawaida na yenye afya, lakini kwa watu wengi wanaopata hedhi, ni chanzo cha aibu, hofu na ubaguzi....
By Mwandishi WetuJune 8, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hakuna ukweli wowote juu ya muda wa miaka 100 wa uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023ALIYEKUWA mbunge wa Kinondoni, kupitia vyama vya The Civil United Front – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati ya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023“HAKUNA namna ambayo serikali yaweza kukimbia maamuzi ya Mahakama kwa kutekeleza kile ambacho kimeamriwa kisimame; na au kinyume cha sheria. Pale ambapo...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023WAZIRI wa Katiba na Sheria nchini Tanzania, Dk. Damas Ndumbaro, amekana madai kuwa serikali yake, alisema, baadhi ya wananchi wa kabila la Wamasai,...
By Mwandishi WetuJune 6, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ameitaka klabu ya Yanga kumaliza tofauti zake na mchezaji wake wa...
By Mwandishi WetuJune 5, 2023TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora nchini (THBUB), imetoa matokeo ya uchunguzi wa kifo cha Nusura Abdallah, mwanafunzi wa Chuo Kikuu...
By Mwandishi WetuJune 3, 2023ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Bima la Taifa (NIC), Samwel Peter Kamanga na wenzake sita, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Mwandishi WetuJune 2, 2023MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Livingston Lusinde amesema CCM haina mpango wakuliachia jimbo la Moshi mjini pamoja halmashauri ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023IKULU Visiwani Zanzibar, imeeleza kuwa eneo la kiwanda cha sukari cha Bagamoyo, siyo sehemu ya shamba linalomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
By Saed KubeneaJune 1, 2023SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza rasmi kwamba shamba la Razaba lilipo eneo la Bagamoyo, mkoani Pwani, ni mali halali ya serikali...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023JESHI rasmi la serikali ya Sudan, limesitisha ushiriki wake katika mazungumzo ya kusimamisha mapigano kati yake na wanamgambo wa Rapid Support Forces...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Ally Mwinyi, amezindua Kamati ya Maridhiano Visiwani, yenye lengo la kuendeleza dhamira ya...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023BAADHI ya wananchi wanaozunguka kampuni ya uchimbaji madini ya Ashanta kata ya Mang’onyi wilayani hapa wamedai kutonufaika na uwekezaji wake. Anaripoti Selemani...
By Seleman MsuyaMay 31, 2023SERIKALI iko mbioni, kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya Idara ya Usalama wa taifa (TISS), uliosheheni utata, ikiwamo kuweka kinga...
By Mwandishi WetuMay 30, 2023MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), imepanga kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na Bob Chacha Wangwe, dhidi ya...
By Mwandishi WetuMay 26, 2023JESHI la Polisi Nchini limesema kuwa katika kukabiliana na mabadiliko ya sayansi na technolojia limepanga kuja na mkakati wa Pamoja kwa kushirikiana...
By Mwandishi WetuMay 25, 2023MMOJA wa watuhumiwa wakuu wa mauaji ya Kimbari ya Rwanda (1994), Fulgence Kayishema, amekamatwa nchini Afrika Kusini, baada ya msako wa zaidi...
By Mwandishi WetuMay 25, 2023JIMBO la Musoma Vijijini, mkoani Mara, limeomba Serikali kuhakikisha ujenzi wa Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera, unaanza baraka baada ya mwaka mpya wa fedha (2023/24),...
By Mwandishi WetuMay 23, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi juu ya uelekeo wa Serikali na mjadala unaondelea Bunge kuhusu ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye ujenzi wa...
By Faki SosiMay 23, 2023HATIMAYE Jeshi la Polisi nchini limewadaka watuhumiwa watatu wa mauaji ya Dk. Isack Daniel Athumani aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Kerende...
By Mwandishi WetuMay 15, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa kampuni za simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezesha kila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023JAJI Mustapha Ismail Kambona, msemaji wa familia ya marehemu Bernard Kamilius Membe, aliyeaga dunia mapema leo asubuhi, ametangaza kuwa mazishi ya mwanasiasa...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2023TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 12, 2023ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia, asubuhi...
By Saed KubeneaMay 12, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemlilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, aliyefariki Dunia ghafla jijini Dar es Salaam. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 12, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama amesema kabla ya mwaka huu 2023 kumalizika, Serikali itakuwa imepeleka...
By Gabriel MushiMay 8, 2023