Saturday , 4 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Kilio uhaba wa maji kuwa historia Musoma Vijijini

  CHANGAMOTO ya uhaba wa maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, iko mbioni kuisha baada ya Serikali kupeleka miradi ya maji...

Habari za Siasa

Tanzania yalaani mapigano Sudan, kuwarejesha nyumbani Watanzania 210

  SERIKALI ya Tanzania, imezitaka pande mbili zinazosigana nchini Sudan na kusababisha mapigano yaliyogharimu maisha ya watu zaidi ya 180 na majeruhi 1,000,...

Habari za Siasa

Kesi ya kina Mdee kupinga kufukuzwa Chadema yapigwa kalenda

KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, imeahirishwa hadi tarehe 18 na 19 Mei,2023 kutokana na Jaji anayeisikiliza, Cyprian...

Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi Mwanza

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka Mwigulu, Mbarawa washtakiwe kwa uhujumu uchumi

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atangaza kibano waliotajwa ripoti ya CAG

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kuwa wamefanya ubadhirifu...

Makala & Uchambuzi

Ripoti CAG; Hii ndio sababu REA kujiendesha kwa hasara

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...

Habari za Siasa

Rais Samia avunja bodi TRC, amtumbua bosi TGFA

RAIS Samia Suluhu Hassan leo  tarehe 9 Aprili 2023 ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kutengua nafasi ya...

Makala & Uchambuzi

Kama Ripoti ya CAG ni nzuri, Rais ni mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii,...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aongoza kumbukizi miaka 51 kifo cha Hayati Karume

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameongoza maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza visiwani humo,...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo ampa tano Rais Samia

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha kiasi cha Sh. 4.75 bilioni,...

Makala & Uchambuzi

Ripoti za CAG: Ufisadi haujazidi nchini, kilichozidi ni uhuru

  RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...

Habari za Siasa

Spika Tulia atoa maagizo serikalini ajira za watumishi wanaojitolea

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili wapewe kipaumbele...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatinga bungeni

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini Dodoma, kwa...

Habari za Siasa

Lissu arudi tena, “Si mlisema nimekimbia!”

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano amerudi jijini Dar es Salaam kutokea nchini Ubelgiji ambako alidai kwenda...

Habari za Siasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai,  Lengai Ole Sabaya, ambaye alikuwa akikabiliana na  mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na...

Tangulizi

Prof. Muhongo agawa msaada kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ametoa msaada wa dharura ikiwemo vyakula, kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya mvua jimboni humo....

Habari za Siasa

Wabunge wapania kuwanyoosha bungeni waliotajwa ripoti ya CAG

  BUNGE la Tanzania, limeombwa kutenga muda wa kutosha kwa ajili ya kuwashughulikia baadhi ya watumishi wa umma waliotuhuma kwa makosa ya ubadhirifu...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema watolea uvivu wabunge wa CCM bungeni

  MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge walia na serikali uchakavu vituo vya afya

  BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...

Habari za Siasa

Zitto atia neno maandalizi Dira ya Taifa 2050

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka mambo sita yazingatiwe uandaaji Dira ya Taifa 2050

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ametaka mambo sita yazingatiwe katika uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Simbachawene, Jenista wala kiapo Ikulu

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua mawaziri

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

RC mstaafu afariki dunia, CCM yamlilia

ALIYEWAHI kuwa mkuu wa mikoa ya Dodoma, Mara, Mtwara na Arusha kwa nyakati tofauti, Isdory Shirima amefariki dunia leo tarehe 31 Machi 2023....

Habari za Siasa

Marekani kuwekeza Dola 500 Mil kupeleka bidhaa na huduma Tanzania

MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema miongoni mwa msururu wa hatua mpya za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Tanzania, Benki ya...

Habari za Siasa

Kamala ataja hatua mpya kuimarisha uhusiano wa kibiashara Tanzania, Marekani

KATIKA kuimaridha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Marekani, Makamu wa Rais wa Taifa hilo kubwa duniani, Kamala Harris, amesema...

Habari za Siasa

Ukaguzi wa CAG yabaini madudu ‘Plea Bargain’

  UKAGUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu fedha makubaliano ya washatakiwa na Ofisi ya Taifa ya Mwendesha Mashitaka...

Makala & Uchambuzi

Kondomu zinavyotumika kufukuza Tembo

MIKUMI ni miongoni mwa hifadhi za Taifa, inashika nafasi ya 9 kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la Hifadhi za...

Habari za Siasa

TEMESA iliyokarabati Kivuko kwa Bil 7.5 yapata hati chafu

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere ametoa hati mbaya kwa Wakala wa Umeme na Ufundi Tanzania (TEMESA)...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yakusanya Mil 8.5/- kodi ya zuio na kutokomea nazo

  MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini upotevu wa kodi ya zuio ya Sh 749 uliotokana...

Habari za Siasa

DC Kasilda Mgeni ahamasisha chakula shuleni

  MKUU wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wazazi kupeleka chakula shuleni, ili watoto wasiwe watoro, hali ambayo itaongeza ufaulu....

Makala & Uchambuzi

Ujio wa Kamala Harris: Fahamu uhusiano uliopo baina ya Tanzania na Marekani

  TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu ambazo zimebahatika kutembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani ziara ambayo inatajwa kuwa ya kihistoria kutokana...

ElimuHabari

Serikali yataka vijana  wajiunge na program atamizi ya biashara CBE

  SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye...

Makala & Uchambuzi

ZITTO: Hii ndio sababu Malaysia kuushinda umasikini kupitia kilimo, Tanzania ikikwama

  MNAMO Februari 2017, miaka sita sasa imepita, niliandika, kupitia ukurusa wangu wa Facebook, makala haya kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la...

Habari za Siasa

Bilioni 223.9 zapelekwa Tunduru ndani ya miaka 2 ya SSH

  ZAIDI ya Sh. bilioni 223.9 zimepelekwa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu mwezi Machi 2021 – Machi...

AfyaHabari

Ugonjwa wa ajabu ulioua watano Bukoka ni Marburg

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...

Habari za Siasa

Rais Samia aagiza iundwe kamati ya pamoja ya Mawaziri mradi wa BBT

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati ya pamoja kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mashamba makubwa ya pamoja...

Makala & Uchambuzi

Ruth Zaipuna: Sekta ya kibenki imeimarika maradufu miaka miwili ya Dk. Samia

Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...

Habari MchanganyikoMakala & Uchambuzi

Miaka miwili ya Rais Samia, TMA yaimarika, yatoa utabiri kwa usahihi

MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...

AfyaHabariHabari

Ugonjwa wa ajabu wadaiwa kuua watano Kagera, Serikali yatoa tahadhari

JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia  katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua makatibu tawala mikoa, ateua Kamishna DCEA

ALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ameteuliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...

ElimuHabari

CBE yaanzisha Shahada 10 za Uzamili, CBE yajivunia wahitimu wanaoajirika

CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye  kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha ujuzi wao sehemu za...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

M/kiti bodi ya wadhamini Chadema afariki dunia

MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Sylvester Masinde amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando...

Habari za Siasa

Zitto: Nikifa Ado atavaa viatu vyangu

  KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu atavaa viatu vyake vya uongozi...

Habari za Siasa

Ataka vifungu vinavyowabana vijana kugombea uongozi viondolewe

  MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, ameitaka Serikali kurekebisha vifungu vinavyozuia vijana...

Habari za SiasaKimataifa

Marekani yataja sababu Kamala Harris kutua nchini

SERIKALI ya Marekani imesema ziara ya Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Kamala Harris kwa nchi za Afrika ikiwamo Tanzania, ni kujadili vipaumbele...

Habari za Siasa

Dk. Mpango awafunda Ma-DC, atoa maelekezo saba

  MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewafunda Wakuu wa Wilaya kwa kuwapa maelekezo saba yakuzingatia ili kuwasaidia kutimiza majukumu yao...

Habari za Siasa

Dk. Mpango: Siri ndiyo uhai wa Serikali

  MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewataka Wakuu wa Wilaya kote nchini kudhibiti uvujaji wa siri za serikali kwa kuepuka...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia ampandisha cheo RPC wa Dar

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar...

error: Content is protected !!