Categorizing posts based on type of post
MAKAMU wa Rais wa Marekani, Kamala Harris amesema miongoni mwa msururu wa hatua mpya za kuimarisha uhusiano wa kiuchumi na Tanzania, Benki ya...
By Masalu ErastoMarch 30, 2023KATIKA kuimaridha uhusiano wa kibiashara na kiuchumi baina ya Tanzania na Marekani, Makamu wa Rais wa Taifa hilo kubwa duniani, Kamala Harris, amesema...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023UKAGUZI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuhusu fedha makubaliano ya washatakiwa na Ofisi ya Taifa ya Mwendesha Mashitaka...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2023MIKUMI ni miongoni mwa hifadhi za Taifa, inashika nafasi ya 9 kwa ukubwa kati ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la Hifadhi za...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kicheere ametoa hati mbaya kwa Wakala wa Umeme na Ufundi Tanzania (TEMESA)...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema amebaini upotevu wa kodi ya zuio ya Sh 749 uliotokana...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023MKUU wa Wilaya ya Same, mkoani Kilimanjaro, Kasilda Mgeni amewataka wazazi kupeleka chakula shuleni, ili watoto wasiwe watoro, hali ambayo itaongeza ufaulu....
By Mwandishi WetuMarch 29, 2023TANZANIA ni miongoni mwa nchi tatu ambazo zimebahatika kutembelewa na Makamu wa Rais wa Marekani ziara ambayo inatajwa kuwa ya kihistoria kutokana...
By Jonas MushiMarch 28, 2023SERIKALI imewahamasisha vijana kujiunga na program atamizi inayotolewa na Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), ili wapate ujuzi wa biashara na hatimaye...
By Kelvin MwaipunguMarch 27, 2023MNAMO Februari 2017, miaka sita sasa imepita, niliandika, kupitia ukurusa wangu wa Facebook, makala haya kuelekea kuadhimisha miaka 50 ya Azimio la...
By Mwandishi MaalumMarch 27, 2023ZAIDI ya Sh. bilioni 223.9 zimepelekwa Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kusimamia shughuli mbalimbali za maendeleo tangu mwezi Machi 2021 – Machi...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2023WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema ugonjwa wa ajabu uliosababisha vifo vya watu watano kati ya wanane waliougua wilayani Bukoba Vijijini mkoani Kagera...
By Mwandishi WetuMarch 21, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewaagiza mawaziri kuunda kamati ya pamoja kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa mashamba makubwa ya pamoja...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023Tarehe 19 ya mwezi Machi, ni siku muhimu sana kwa taifa letu, watu wake na historia ya nchi yetu. Kama nchi, tunaungana kusherehekea...
By Mwandishi WetuMarch 20, 2023MACHI 19, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan anatamiza miaka miwili ya kuiongoza Tanzania baada ya kifo cha Rais wa awamu ya tano, John...
By Mwandishi WetuMarch 18, 2023JUMLA ya watu watano wanaidaiwa kufariki dunia katika vijiji vya Bulinda na Butayaibega vilivyopo kata ya Maruku na Kanyangereko wilaya ya Bukoba vijijini...
By Gabriel MushiMarch 16, 2023ALIYEKUWA Kamishna wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya ameteuliwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
By Mwandishi WetuMarch 16, 2023CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimewataka wenye kampuni na taasisi mbalimbali kupeleka wafanyakazi wake kupata mafunzo yatakayowawezesha kuboresha ujuzi wao sehemu za...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023MWENYEKITI wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mzee Sylvester Masinde amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando...
By Mwandishi WetuMarch 15, 2023KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema Katibu Mkuu wa chama hicho, Ado Shaibu atavaa viatu vyake vya uongozi...
By Mwandishi WetuMarch 14, 2023MWENYEKITI wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, Felix Kamugisha, ameitaka Serikali kurekebisha vifungu vinavyozuia vijana...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023SERIKALI ya Marekani imesema ziara ya Makamu wa Rais wa Taifa hilo, Kamala Harris kwa nchi za Afrika ikiwamo Tanzania, ni kujadili vipaumbele...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewafunda Wakuu wa Wilaya kwa kuwapa maelekezo saba yakuzingatia ili kuwasaidia kutimiza majukumu yao...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MAKAMU wa Rais nchini Tanzania, Dk. Philip Mpango, amewataka Wakuu wa Wilaya kote nchini kudhibiti uvujaji wa siri za serikali kwa kuepuka...
By Mwandishi WetuMarch 13, 2023MKUU wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Camillus Wambura, amesema Rais Samia Suluhu Hassan, amempandisha cheo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023JUMLA ya wanachama 384 wanachama wa Chama cha Wananchi CUF akiwamo aliyekuwa Mkurugenzi wa habari na uenezi wa chama hicho, Abdul Kambaya, wametangaza...
By Mwandishi WetuMarch 11, 2023DAKTARI Sikujua Omar Hamdan anaamini Zanzibar inahitaji “sheria za pamoja” za kushughulikia tatizo linalokua la udhalilishaji na ukatili wa kijinsia dhidi ya...
By Jabir IdrissaMarch 10, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof. Azavel Lwaitama, amesema atakuwa wa kwanza kuwatetea wabunge viti maalum...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama, amedai wanachama 19 waliofukuzwa na chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 10, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la upande wa Serikali kuwahoji wajumbe wa Baraza la Wadhamini la Chama...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023UTEUZI wa wabunge wa viti maalum 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wakiongozwa na Halima Mdee, umeibua mvutano wakati Mjumbe wa...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023WAJUMBE wa Bodi ya Wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Azavel Lwaitama na Ruth Mollel, wanaanza kuhojiwa na mawakili...
By Mwandishi WetuMarch 9, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hivi karibuni Serikali yake itatangaza kamati itakayokuwa na jukumu la kusimamia ufufuaji mchakato wa marekebisho ya katiba,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amekataa kukubali ombi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuingilia kati sakatala la wabunge viti maalum 19,...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema watu wasiotaka mabadiliko na mageuzi anayoyafanya kupitia maridhiano, wako ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MTU anapojitambulisha kuwa anafanya kazi mgodini, watu wengi hudhani kuwa kazi zilizopo ni kuingia chini ya ardhi kutafuta madini pekee. Dhana hiyo imesababisha...
By Gabriel MushiMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), limemtaka Rais Samia Suluhu Hassan asikatishwe tamaa na baadhi ya watu wanaopinga...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bawacha), Mkoa wa Kilimanjaro, wamemchongea kwa Rais Samia Suluhu Hassan mtumishi wa Shule...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023MACHI 8 kila mwaka Siku ya Kimataifa ya Wanawake duniani ambayo huadhimishwa kwa lengo kuongeza chachu katika harakati za mapambano ya kuleta usawa...
By Mwandishi WetuMarch 8, 2023TANZANIA imeungana na mataifa 180 duniani kushiriki maonesho makubwa ya utalii duniani (International Tourism – Börse Berlin) yanayofanyika katika jiji la Berlin...
By Mwandishi WetuMarch 7, 2023KUTAWALA kwa vurugu na rushwa kumetajwa kuwa chanzo cha kutofanyika kwa Mkutano Mkuu wa Chama cha TLP ambao ulikuwa na ajenda ya...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imekubali ombi la wabunge viti maalum 19, kuwahoji baadhi ya wajumbe wa Bodi ya...
By Regina MkondeMarch 6, 2023MAWAKILI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameiomba Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, wafunge maswali ya dodoso kwa baadhi...
By Mwandishi WetuMarch 6, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema changamoto zinazoikabili Bandari ya Malindi, Zanzibar, haitokani na kuwa na gati moja, kama ilivyoelezwa na Rais wa visiwa...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na watendaji wa Serikali, kuacha kufanya maamuzi kwa kisingizio cha maagizo kutoka juu, bali kwa kufuata...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeendelea kuvuna wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) baada ya kuwapokea 305 kupitia mkutano wake wa hadhara uliofanyika Viwanja...
By Mwandishi WetuMarch 5, 2023NDOA baina ya Jesca David Kishoa, mbunge wa Viti Maalum katika Bunge la Jamhuri na David Kafulila, Kamishena katika wizara ya fedha,...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023MWAKILISHI wa Jimbo la Mtambwe, visiwani Zanzibar, kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Habib Ali Mohamed, amefariki dunia, wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya...
By Mwandishi WetuMarch 3, 2023WAKULIMA wa alizeti mkoani Singida, wamemwomba Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, kuishauri serikali iongeze kodi ya mafuta ya...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameonesha kutoridhika na kitendo cha baadhi ya Mawaziri kuajiri maafisa habari binafsi kwaajili ya kuripoti habari zao na...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023